Timiza na ishi ndoto zako

Timiza na ishi ndoto zako NAWASAIDIA WAAJIRIWA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA BILA KUHARIBU RATIBA ZAO KUPITIA NETWORK MARKETING

25/04/2025
*Ujumbe Muhimu Kwa Waajiriwa, Graduates Na Wanavyuo.* Waajiriwa wengi wamekuwa wakihangaika na changamoto ya mshahara md...
07/04/2025

*Ujumbe Muhimu Kwa Waajiriwa, Graduates Na Wanavyuo.*

Waajiriwa wengi wamekuwa wakihangaika na changamoto ya mshahara mdogo na madeni yanayoongezeka, na huku wahitimu wa vyuo wakizidi kuhangaika na changamoto ya kutafuta ajira bila mafanikio, pia wanavyuo wakizidi kupambana na changamoto ya pesa za matumizi yao kwani boom haliwatoshi.

Na bila shaka wamejaribu kutumia njia mbalimbali kujiongezea kipato k**a kufanya miradi ya hapa na pale bila mafanikio na kuishia njiani .

Lakini vipi k**a kuna njia ya kubadili hali hii?

Kwa jina naitwa
*Avira* *Kaguna*

Ninawasaidia WAAJIRIWA, GRADUATES NA WANACHUO kujiongezea kipato na kujenga biashara ya mfumo wa kipato endelevu bila ya kuathiri ratiba na shughuli zao za kila siku.

Nataka kuandaa *mafunzo bure* kwa ajili yako,ya namna ya kujenga biashara ya mfumo wa kipato endelevu ili kuondokana na changamoto za kiuchumi ulizowahi kupitia na bila ya kuathiri ratiba zako za kazi au masomo.

Biashara hii itakupa Uhuru wa kipato,utaweza kusafiri dunia bure ukiwa na watu wenye mtazamo chanya na walio tayari kukuona ukikua kifikra na kufanikiwa zaidi .

K**a utapenda kupata mafunzo haya, naomba nitumie ujumbe **FURSA NA TEAM DIAMONDS** kwa njia ya Whatsapp kwenda namba 0759373880

Kisha nitawasiliana na wewe vizuri ili nipate kukuandalia mafunzo hayo bure kabisa kupitia Whatsup.

Nitumie ujumbe sasa hivi,upate kushiriki mafunzo haya kabla ya nafasi kujaa.

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,

AVIRA KAGUNA

Mkurugenzi wa **TEAM DIAMONDS**

Mbali na faida zake za mauzo ya kawaida ya kila siku, Yasinta Francis analipwa Milioni 2+ na kampuni k**a faida ya pili ...
13/03/2025

Mbali na faida zake za mauzo ya kawaida ya kila siku, Yasinta Francis analipwa Milioni 2+ na kampuni k**a faida ya pili ya biashara yake.
Imagine kutoka kufanya kazi za kujitolea baada ya kukosa ajira k**a nutritionist.
My dear graduate unayesoma hii caption na umekua ukiwaza nini ufanye kujiongezea kipato au kukwamua UCHUMI wako, your journey of writing a success story about yourself is bound to start now.
Nitafute nikufundishe kwa undani biashara itakayotimiza ndoto zako na utaifanya kwa muda wako wa ziada tu bila kuharibu ratiba zako.
Call/Whatsup #0759373880

Kutoka kwenye kazi za kujitolea baada ya kukosa ajira, Yasinta Francis sasa ni mfanyabiashara wa Kimataifa na amequalify...
13/03/2025

Kutoka kwenye kazi za kujitolea baada ya kukosa ajira, Yasinta Francis sasa ni mfanyabiashara wa Kimataifa na amequalify kwenye *Presidential Pursuit* inayofanyika South Africa mwezi huu wa March.
My dear graduates tengeneza hadithi yako ya tofauti pia,the right time is now.
story
pro

Umejifunza nini hapo rafiki?
17/04/2024

Umejifunza nini hapo rafiki?

Umejifunza nini hapo rafiki?
17/04/2024

Umejifunza nini hapo rafiki?

It's not easy but that doesn't mean it's impossible.   rahisi lakini hio haimaanishi kuwa haiwezekani. Unafanya kwa ajil...
17/04/2024

It's not easy but that doesn't mean it's impossible.
rahisi lakini hio haimaanishi kuwa haiwezekani.
Unafanya kwa ajili ya nini? Ukilifahamu hilo ,
ni hamasa tosha.
Nawapenda Sana,tuzidi kujitambua na hatimae kufanya maamuzi sahihi kuanza biashara itakayotimiza ndoto zetu💙💙👍👍

Blessed and favoured. Thanks Lord for bringing me out alive and more stronger to continue my purpose in life. The come b...
17/04/2024

Blessed and favoured. Thanks Lord for bringing me out alive and more stronger to continue my purpose in life.
The come back is real 🔥🔥. Avira

Address

Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 16:30 - 23:30
Tuesday 16:30 - 23:30
Wednesday 16:30 - 23:30
Thursday 16:30 - 23:30
Friday 16:30 - 23:30
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Telephone

+255759373880

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Timiza na ishi ndoto zako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Timiza na ishi ndoto zako:

Share