Kishombi China

Kishombi China Allen Laurent Chuma

Kishombi China inakutakia Eid Mubarak 2025! πŸŒ™βœ¨Allah akubariki kwa amani, furaha na mafanikio tele! πŸ€²πŸ½πŸŽ‰
31/03/2025

Kishombi China inakutakia Eid Mubarak 2025! πŸŒ™βœ¨
Allah akubariki kwa amani, furaha na mafanikio tele! πŸ€²πŸ½πŸŽ‰

Ni wakati wa furaha! Kishombi China inawatakia Krismasi yenye baraka na Mwaka Mpya 2025 uliojaa afya, amani, na mafaniki...
25/12/2024

Ni wakati wa furaha! Kishombi China inawatakia Krismasi yenye baraka na Mwaka Mpya 2025 uliojaa afya, amani, na mafanikio. Asante kwa kuwa sehemu ya safari yetu. Tunatarajia kukuhudumia vyema zaidi mwaka ujao. Krismasi Njema na Mwaka Mpya Mwema!

KARIBU KISHOMBI CHINA πŸ‡¨πŸ‡³πŸ‡ΉπŸ‡ΏUtaratibu wa kupata mizigo kutoka China kupitia sisi ni k**a ifuatavyo: πŸ‘‡Kwa Wateja Wapya kati...
12/12/2024

KARIBU KISHOMBI CHINA πŸ‡¨πŸ‡³πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Utaratibu wa kupata mizigo kutoka China kupitia sisi ni k**a ifuatavyo: πŸ‘‡

Kwa Wateja Wapya katika Magroup Yetu:
Hakikisha unafuata maelezo yafuatayo kwa ufanisi wa huduma zetu:

Ununuzi wa Bidhaa Zilizotangazwa
Ukiona bidhaa iliyotangazwa ipo kwenye order, fanya malipo ya bidhaa unayohitaji.
Tuma muamala wako, majina yako kamili, bidhaa unayohitaji, na idadi yake kwa usahihi. βœ…

Order Maalum (Personal Order)
Ikiwa unahitaji bidhaa ambayo haijatangazwa, tafadhali wasiliana nasi moja kwa moja kupitia inbox.
Hakikisha unaelewa idadi ya chini inayokubalika kwa order binafsi. βœ…

Usafirishaji wa Mizigo
Mizigo yote husafirishwa kwa njia ya meli.
Safari huchukua siku 45-60 kufika Tanzania. βœ…

Malipo ya Ushuru
Malipo ya awali ni kwa ajili ya manunuzi pekee.
Ushuru hulipwa baada ya mzigo kufika bandarini Tanzania.
Taarifa za mizigo zitatangazwa kupitia magroup yetu ya biashara. βœ…

Gharama za Usafirishaji
Gharama za usafirishaji hutegemea bidhaa na mabadiliko ya thamani ya dola.
Tunatoa makadirio ya gharama kulingana na uzoefu wetu wa kusafirisha bidhaa. βœ…

Taarifa za Mizigo Inapowasili
Punde tu mizigo inapoingia kwenye kontena, tutakujulisha.
Utapewa muda wa kujipanga na malipo ya ushuru (si chini ya wiki 3). βœ…

Kupokea Mizigo
Mizigo yote ikifika Tanzania hupokelewa kwenye ofisi yetu iliyopo Kimara Stop Over.
Siku ya kupokea mizigo tutatoa live location.
Wateja wa mikoani au nje ya nchi, mtatuma taarifa zenu kamili kwa ajili ya usafirishaji zaidi. βœ…

Malipo ya Ushuru kwa Wakati
Hakikisha unalipa ushuru wako kwa wakati ili kuepuka changamoto.
Kumbuka: Ukishindwa kulipa ushuru kwa muda uliopangwa, hakutakuwa na refund wala exchange ya bidhaa zako. βœ…

Taarifa za Mzigo Wako
Utapokea taarifa za maendeleo ya mzigo wako mara kwa mara kupitia:

Group letu la biashara
SMS
Email
Hii itakusaidia kufuatilia mzigo wako kwa urahisi na uhakika. βœ…
Zingatia Mwongozo Kabla ya Malipo
Malipo hayatarejeshwa endapo utashindwa kulipa ushuru.
Soma na zingatia muongozo huu kabla ya kuendelea na malipo. ❌❌❌

Ofisi Yetu
πŸ“ Ipo: Kimara Stop Over, Dar es Salaam
πŸ“ž Mawasiliano: +255 656 952 130

KARIBU KISHOMBI CHINA – Huduma Bora kwa Wateja Bora!

ANGALIZO MUHIMU! Njia za malipo halali ni hizi pekee: Tigo Pesa Lipa Namba 9518438, M-Pesa 0761751313, na NMB Account 25...
12/12/2024

ANGALIZO MUHIMU! Njia za malipo halali ni hizi pekee: Tigo Pesa Lipa Namba 9518438, M-Pesa 0761751313, na NMB Account 25110046011. Hakikisha unafanya malipo kwa namba hizi tu na baada ya malipo toa taarifa zako kwa admin ili upewe risiti yako rasmi. Epuka matapeli, tunathamini usalama wako

 ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  , ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,  ,
30/11/2024

, , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , , ,

AGIZA POCH HIZI ZA KIREMBO SANA KUANZIA PC KUMI UTAPATA KWA TCH 4,500 PC MOJA NI 8,000
30/11/2024

AGIZA POCH HIZI ZA KIREMBO SANA KUANZIA PC KUMI UTAPATA KWA TCH 4,500 PC MOJA NI 8,000

AGIZA POCH HIZI ZA KIREMBO SANA KUANZIA PC KUMI UTAPATA KWA TCH 5,000 PC MOJA NI 8,000
30/11/2024

AGIZA POCH HIZI ZA KIREMBO SANA KUANZIA PC KUMI UTAPATA KWA TCH 5,000 PC MOJA NI 8,000

AGIZA KWA TSH 7,000 TU KUANZIA PC 10 KWA PC MOJA NI 80000
30/11/2024

AGIZA KWA TSH 7,000 TU KUANZIA PC 10 KWA PC MOJA NI 80000

AGIZA KWA TSH 7,000 TU KUANZIA PC 10  KWA PC MOJA NI 10000
30/11/2024

AGIZA KWA TSH 7,000 TU KUANZIA PC 10 KWA PC MOJA NI 10000

✨πŸ”₯ HELENI NZURI ZISIZO PAUKA! πŸ”₯✨Unatafuta heleni za kipekee kwa bei nafuu? Hizi hapa kwa Tsh 500 TU!πŸ“¦ Order ni kuanzia p...
19/11/2024

✨πŸ”₯ HELENI NZURI ZISIZO PAUKA! πŸ”₯✨

Unatafuta heleni za kipekee kwa bei nafuu? Hizi hapa kwa Tsh 500 TU!
πŸ“¦ Order ni kuanzia pc 1,000

πŸ’Ž FAIDA ZA HELENI ZETU:
βœ… Hazipauki – zinadumu na kung'aa muda mrefu
βœ… Ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu
βœ… Zinapendeza kwa kila tukio

⏳ JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP kwa maelezo zaidi na kuweka oda:
🌐 Bonyeza Hapa Kujiunga

✨πŸ”₯ T-SHIRT ZA K**E KWA BEI YA OFA! πŸ”₯βœ¨πŸ’ƒ Unapata T-Shirt za k**e kwa bei ya Tsh 1,800 TU!πŸ“¦ Order ni kuanzia pc 100πŸ’₯ FAIDA ...
19/11/2024

✨πŸ”₯ T-SHIRT ZA K**E KWA BEI YA OFA! πŸ”₯✨

πŸ’ƒ Unapata T-Shirt za k**e kwa bei ya Tsh 1,800 TU!
πŸ“¦ Order ni kuanzia pc 100

πŸ’₯ FAIDA ZA T-SHIRT ZETU:
βœ… Ubora wa hali ya juu
βœ… Zinapendeza kwa kila tukio
βœ… Bei nafuu kwa biashara au matumizi ya kawaida

⏳ JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP kuweka oda na kupata maelezo zaidi:
🌐 Bonyeza Hapa Kujiunga

Wahi sasa, nafasi !

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
00255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kishombi China posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kishombi China:

Share