Studio Ukonga by Speedup Ezekiel

Studio Ukonga by Speedup Ezekiel Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Studio Ukonga by Speedup Ezekiel, Business service, KIPUNGUNI, Dar es Salaam.

| Dar es Salaam
✅your Best Events Management Company
✅School of Content Creation and AI
✅Media and Music Production Service
✅ Business Branding Solutions
✅AIvideos and Ads


tiktok.com/

30/07/2026

Job memes

15/07/2026

Tuliochukua Maasai Tanzania tuka-add Mobeto Styles tukapata MAASAI BRIDE

rate us 4 stars 👇

12/07/2026

Taja ya tabia zako nzuri zaidi tatu na tabia yakobolaya zaidi moja tu upate 👇
No cheating! 100k only 🤣

Mwaka jana tulikwenda POSTA nikamkuta huyu Dragon 👇👇haya wabongo mpeni jina huyu 10k comments zinatosha Speed'up Ezekiel...
10/07/2026

Mwaka jana tulikwenda POSTA nikamkuta huyu Dragon 👇👇haya wabongo mpeni jina huyu 10k comments zinatosha

Speed'up Ezekiel

Watch, follow, and discover more trending content.

  Umoja wa Mataifa unataka usalama wa watoto uwe kitovu cha sera za AI huku ripoti mpya ikionya kuhusu mrundiko wa tekno...
06/07/2026

Umoja wa Mataifa unataka usalama wa watoto uwe kitovu cha sera za AI huku ripoti mpya ikionya kuhusu mrundiko wa teknolojia hiyo katika mataifa machache yenye nguvu.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameonya kuwa teknolojia ya Akili Mnemba, AI, inakua kwa kasi kubwa kuliko uwezo wa serikali na taasisi nyingi kuifuatilia, akitaka kuwepo kwa kanuni za kimataifa za usimamizi wake.

Akizungumza katika mkutano wa kwanza wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa kuhusu usimamizi wa AI mjini Geneva, Guterres amesema ubunifu huo unahitaji mipaka na usimamizi madhubuti kwa kuwa unaweza kubadili uchumi, ajira, uchaguzi na usalama duniani.

Guterres amesisitiza kwamba usalama wa watoto uwe kipaumbele, akipendekeza makampuni ya teknolojia kuthibitisha kwanza usalama wa mifumo yao kabla ya kuwaruhusu watoto kutumia huduma hizo.

Aidha, ameonya kuwa maendeleo ya AI yamejikita zaidi katika mataifa machache, huku ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa ikionyesha Marekani inamiliki asilimia 75 ya uwezo wa kompyuta kuu za AI duniani na China

Tulimwambia mjomba aache kudance k**a Michael Jackson 😂Sasa angalia alichofanya na AI Wewe unadhani amefaulu? Comment 👇S...
05/07/2026

Tulimwambia mjomba aache kudance k**a Michael Jackson 😂
Sasa angalia alichofanya na AI

Wewe unadhani amefaulu? Comment 👇
Studio Ukonga by Speedup Ezekiel hatuchezi tunapika content! 🎤

03/07/2026

When AI tell you to pick three uncles to dance 🤣🤣🤣 Sisi hatuwezi......tunapika Content '
Tag your friend who can dance POP like them 👇👇👇

Address

KIPUNGUNI
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Studio Ukonga by Speedup Ezekiel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share