Rifaro Africa Business Opportunity

Rifaro Africa Business Opportunity Rifaro Africa Limited is a limited liability company fully registered in Tanzania that deals with sales and distribution of airtime.

BIG BUSINESS SEMINARMlengwa wa kwanza akiwa ni wewe, wewe, ndiyo wewe unayesoma hii message!Ni tukio ambalo hatupaswi ku...
16/07/2016

BIG BUSINESS SEMINAR

Mlengwa wa kwanza akiwa ni wewe, wewe, ndiyo wewe unayesoma hii message!

Ni tukio ambalo hatupaswi kulikosa, kuna mengi ya kujifunza kutoka katika fursa yetu ambayo ni mageni kabisa, kuna fursa ya kufahamiana na kujenga mahusiano na watu wengine pia.

Tufanye mialiko ya kutosha kwa ndugu,jamaa, marafiki, na watu baki, tukatishe ki Van damme siku ya kesho Jumapili 17/7/2016

Rifaro Africa ya mwendo kasi, ni pale pale Ubungo plaza, Blue Pearl Hotel kuanzia saa tisa alasiri.
★ Jisajili kupitia namba ★
Call 0653 390 552
Karibuni sana wapendwa.
# !

Ni  RIFARO AFRICA na SABASABA Ewe MGAVI wa RIFARO AFRICA jijini Dar, vitongoji vyake na mikoa sasa Amka.UMOJA WA WAGAVI ...
01/07/2016

Ni RIFARO AFRICA na SABASABA

Ewe MGAVI wa RIFARO AFRICA jijini Dar, vitongoji vyake na mikoa sasa Amka.

UMOJA WA WAGAVI WA MUDA WA MAONGEZI KWA NJIA YA MTANDAO TANZANIA (UWAMAMMTA) UMEKULETEA SIKU 10 ZA KUBADILISHA MWELEKEO WA KIPATO CHAKO KUPITIA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA NA KUJENGA TEAM YAKO.

Anza Mfumo mpya kwa MTAZAMO mpya, TEAM mpya, KASI Mpya na HARI mpya.

BANDA LA RIFARO AFRICA Lipo nyuma za ofisi ya TANTRADE, pita kushoto mara tu uingiapo geti kuu tupo mkabala na jengo la Zanzibar, Ndani ya TANTE JEUPE LA PILI NO. 62.
karibu ufanye kazi.
MADARASA YATAENDELEA KILA SIKU KUANZIA ASUBUHI HADI 11 JIONI.
Pia madarasa yataendelea kwenye ofisi zetu za HQ, POSTA na K/Koo Kwa Muda uliyo pangwa kwenye ratiba.

MKUFUNZI WETU MKUU ALEX JOHN atakuwepo akifundisha k**a kawaida yake na kaulimbiu yake HACHOMOKI MTU.
sasa kazi ni kwako.

FIKA KWENYE BANDA UFANYE USAJILI MAPEMA ( TUMIA NAMBA HII –330685 KUSAJILI)
★TUWASILIANE KUPITIA NAMBA +255653390552 KWA MSAADA ZAIDI.

Kaa mkao wa ku Win...Ni Songea sasa ni mwendo wa kuruka k**a JETI TAFADHALII!!! ✈✈✈✈✈✈✈Alika!!! Alika!! NA  Kualika!!! w...
18/06/2016

Kaa mkao wa ku Win...Ni Songea sasa ni mwendo wa kuruka k**a JETI TAFADHALII!!! ✈✈✈✈✈✈✈
Alika!!! Alika!! NA Kualika!!! watu wako wataelimishwa vizuri sana na pia watakua na bahati kubwa sana kwani watakutana na huu mfumo mpya.
Moto utawashwa Ndani ya SWISS HOTEL MAJENGO...barabara Kuu itokayo Songea mjini kuelekea Mbinga
Mtakutana na Trainer AMANDA MKUWA
Jumamosi tar18/06 saa 8:00 Mchana
Jumapili tar19/06 saa 8:00 Mchana
Usikose kualika njoo pia na members uelewe huu mfumo mpya
Hakika kila mmoja atatimiza ndoto yake ndani ya RIFARO AFRICA Ltd.

Kwa mawasiliano
0766539040
0653390552

MAFUNZO MUHIMU !!!!!Boda to Boda. Kesho nitakuwa Mji kasoro bahari  yaani Morogoro.  Nitakuwa natoa mafunzo muhimu sana....
19/05/2016

MAFUNZO MUHIMU !!!!!

Boda to Boda.

Kesho nitakuwa Mji kasoro bahari yaani Morogoro. Nitakuwa natoa mafunzo muhimu sana.
1) Jinsi ya kujenga timu yenye mafanikio makubwa.
2) Mafunzo ya mfumo mpya ulioboleshwa na Rifaro.

Mafunzo haya yameleta mafanikio makubwa Kwa waliojifunza.

Saa 9:00 mchana, itakuwa Ofisi ya Morogoro.
Kesho tarehe 20/5/2016
Ijumaa.

Hakikisha unahudhuria na watu wako wasikose mafunzo hayo.

Baada ya Morogoro kesho Ijumaa. Nitakuwa mbeya jmosi saa 9:00, tarehe 21/5 ukumbi wa ottu kabwe, mbeya mjini.

Baada ya mbeya jmosi, nitakuwa Njombe jpili ya tarehe 22/5
Hakikisha unatumia vizuri mikutano hii mitatu.

Wala hakuna kupumua, ni speed tu.
Fuatana nami nikutumikie ujenge timu imara katika biashara.

: 0653390552

💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥SEMINA SEMINA SEMINA💥💥 WALETE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WAELEKEZWE JINSI YA KUFAIDIKA KUTOKANA NA SIMU ZAO ZA...
13/05/2016

💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
💥💥SEMINA SEMINA SEMINA💥💥
WALETE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WAELEKEZWE JINSI YA KUFAIDIKA KUTOKANA NA SIMU ZAO ZA MKONONI.

💥ALIKA ALIKA ALIKA, WATAELIMISHWA, WATAPENDA WATACHUKUWA IPAD &RIFARO RETREATE WATAPENDA KUPUNGA UPEPO💥💥

Ni semina mkoa wa DAR-ES-SALAAM KESHO J/MOSI 14/05/2016. USIPANGE KUKOSA KUALIKA. kumbuka maji wako mkubwa ni watu.
📌📌RATIBA:-📌📌

➡K/KOO: SAA 5 Asb mpka saa 7mchana,
SAA 8 mchana mpaka 10 jioni. ✔

➡POSTA : Hakuna. ❌

➡SINZA MAKAO MAKUU :Saa 9 Alasiri ✔

➡BANANA : Kuanzia saa10 Jion mpaka 11:30.Jion✔

✅Masomo yameboreshwa,

✅Mfumo Umeboreshwa,

✅Walim wana Morali,

Usichelewe, wakati ni huu, zingatia WINGI WA KUALIKA NDO MAFANIKIO YAKO. ☄☄CHUKUWA HATUA☄☄
📝📝📝💵💵💵💵
💥💥💥💥💥💥💥💥💥

💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥SEMINA SEMINA SEMINA           Ni semina mkoa wa MBEYA Jumatano 11/05/2016 ⚡KABWE CHUMBA 250💥Semina kwa wenyej...
10/05/2016

💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
SEMINA SEMINA SEMINA

Ni semina mkoa wa MBEYA Jumatano 11/05/2016

⚡KABWE CHUMBA 250

💥Semina kwa wenyeji SAA 10:00 jioni

💥semina kwa wageni SAA 4:00 asubuhi

Mawasiliano:
0653390552 / 0712714446/

Muhimu:

(TUMIA NAMBA KUJISAJILI)

✅Masomo yameboreshwa,

✅Mfumo Umeboreshwa,

✅Walim wana Morali,

Usichelewe, wakati ni huu, zingatia Muda.
📝📝📝💵💵💵💵
💥💥💥💥💥💥💥💥💥foward kwa wenzio

MUHIMU........!!! LEO  TAREHE 04/05/2016Kumekucha Sasa.......😀Kazi imeanza upyaaaa.....tena kwa kasi ya ajabu.Tunaanza l...
04/05/2016

MUHIMU........!!! LEO TAREHE 04/05/2016

Kumekucha Sasa.......😀

Kazi imeanza upyaaaa.....tena kwa kasi ya ajabu.

Tunaanza leo kuwaeleza watanzania, kuwa Rifaro Africa ipo na tena imejiongeza zaidi.
Leo tunaanza na Channel10 Saa 4 usiku hadi Saa 5:30 usiku.

Wala hii siyo ya kukosa hata kidogo.

Anza kuwaalika watanzania kwenye TV leo usiku wasikose kutazama Ch 10 kwenye kipindi cha Mada moto.

Wajulishe wagavi wengine pia, waalike ndugu, Jamaa na marafiki.

RIFARO AFRICA ARUSHA       Mkutano mkubwa mwingine ndani ya Mji wa Arusha★ Tarehe 30/4/2016 ndani ya jengo la MEGA COMPL...
28/04/2016

RIFARO AFRICA ARUSHA

Mkutano mkubwa mwingine ndani ya Mji wa Arusha★


Tarehe 30/4/2016 ndani ya jengo la MEGA COMPLEX ilipo NBC BANK kuanzia saa 9 alasiri. Kutakuwa na mkutano mkubwa, moto utawashwa na MKURUGENZI MWENYEWE WA KAMPUNI.

Hivyo basi ni furaha yangu kukukaribisha wewe Mwanachama na usiye mwanachama,
Kwa wale Members alika watu kadri uwezavyo viti vipo vyakutosha sana.

NJOONI TUJIFUNZE JINSI YAKUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA SIMU ZETU ZA MKONONI.

KWA WALE MEMBER KARIBUNI TUWEZE KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WETU NA KUMUULIZA MASWALI YALE YANAYOTUTATIZA.

+255653390552 / +255757800552

NB; Kumbuka namba ya kujiungia/kujisajili ni ((R330685))

KARIBINI SANA

💥KIGAMBONI 💥KIGAMBONI 💥KIGAMBONI💥Tangazo!Kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde siku ya leo hatutaweza kuendesha mafumzo ...
23/04/2016

💥KIGAMBONI 💥KIGAMBONI 💥KIGAMBONI💥

Tangazo!

Kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde siku ya leo hatutaweza kuendesha mafumzo Vijibweni k**a ratiba ilivyoeleza awali kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitekoza.

Ila center kwa Urassa leo semina itakuwepo k**a kawaida 😀

Hivyo alika wengi kadri uwezavyo

🕵Mahali : Kigamboni, Kwa Urassa-Magangeni, karibu na kituo cha boda boda.

⌚Muda: Saa Kumi jioni

Wahimeze wageni kuzingatia muda,
Tumia namba hii-(( R330685 ))-Kujiunga , Fika na kalamu na karatasi kwaajili ya mafunzo.

Kwa maelezo zaidi
☎:0673 836 960
☎:0653390552

kipato cha week na RIFARO AFRICA, unao uwezo wa kuingiza zaidi ya hizi 2million ukiwa na Rifaro Africa
09/04/2016

kipato cha week na RIFARO AFRICA, unao uwezo wa kuingiza zaidi ya hizi 2million ukiwa na Rifaro Africa

Address

White Star Investment House Plot 8, Block 47, Sinza Mapambano Left Wing, 1st Floor, Block C P. O Box 34196 Dar Es Salaam, Tanzania. Phone: +255 222 701514 Mobile: 0653390552
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rifaro Africa Business Opportunity posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share