27/05/2020
DSN 40: Ramani ya nyumba ya kisasa ina yenye ukubwa urefu mita 14 na upana mita 13.6
JUU
Ina vyumba vitatu, kimoja master(ndani yamaster kuna room ndogo na Dressing room) na vyumba viwili bedroom zakawaida na public toilet.
CHINI
Ina vyumba viwili self room na bedroom, sitting room, dinning, kitchen, store, laundry na public toilet.
Gharama ya ramani hii ni Tsh 1,700,000/= hii inajumuisha mchoro wenyewe(Architectural), Structural drawings na zote zinagongwa mihuri
Ukihihitaji wasiliana nasi kwa Kupiga/whatsup 0714020564 au Piga 0788684623