30/01/2026
Hayo ni Machupa ya uji yanahistoria katika maisha yangu hapo nimeyatoa kwa WATOTO YATIMA BURAHATI Dar es salaam Wakati tukipata dua ya Shukran kwa mwaka 2025 ❤️🙏🏽miaka 5 iliyopita nilivyofika dar sikutaka kukaa kwa ndugu yoyote yule kutokana na changamoto ambayo nilikuwa nimeshaipitia nilipokuja tu kutembea kwa ndugu hivo niliahidi niondoke na nijipange kurudi tena Alhamdulillah nilipoamua kurudi basi nilipanga nyumba Mbagara nakuanza maisha yangu na hapo sikuwa na chakufanya zaidi yakula nakulala kwa akiba niliyotoka nayo nyumban na hapo nililostika baada ya korona nikashindwa kuendelea biashara yangu ya nguo nimekaa muda mfupi nikaona UJUMBE mtandaoni ukielezea biashara hapo ndio o nilifanya maamuzi ya kwenda kujifunza na nikaipenda sana chakusikitisha sikuwa na mtaji na sikutaka kumuomba ndg yoyote pesa sababu nilijuwa hawaelewi kuhusu hii biashara baada ya hapo ikanibidi nianze kuuza uji Eneo lile lile nililofundishwa biashara ili kutafuta mtaji bila kujari nilikuwa nani au ninahistoria gani au watu watanionaje Ila niliuza uji😭😭😭😭dah
*NINESHINDWA KUANDIKA TUTAENDELEA USIKOSE PART2*