McBenvics

McBenvics Elius Kamuhangire | Marketing I help College Graduates with no Capital To start Digital Businesses.

I help business owners marketing their businesses and Building Customer acquisition systems

15/08/2026
Unaweza kutumia ChatGPT kujifunza chochote kinachohusu biashara yako.Lakini kujifunza pekee hakutoshi.Maarifa yanakuwa b...
13/08/2026

Unaweza kutumia ChatGPT kujifunza chochote kinachohusu biashara yako.

Lakini kujifunza pekee hakutoshi.

Maarifa yanakuwa biashara pale unapoyapanga kuwa mfumo:

Unajua unamsaidia nani.
Unatengeneza content inayojenga trust.
Unampeleka anayekufuatilia WhatsApp.
Unakuwa na process ya kumgeuza kuwa mteja.
Halafu unafanya follow-up ili asipotee.

Hapo ndipo content yako inaacha kuwa elimu ya bure tu—inaanza kuwa sehemu ya sales system.

Kwenye Tumia AI Kuuza Online Masterclass, utajifunza kutumia AI kujenga mfumo huu kuanzia positioning, content, conversion mpaka retention.

Comment “TUMIA” nikutumie access.

13/08/2026

Unaweza kuwa na salons na resellers wengi sana kwenye contacts zako…

lakini bado ukapoteza repeat sales kila mwezi.

Kwa sababu biashara yako haijui:

Nani anakaribia kuhitaji restock?
Nani amechelewa kuorder?
Nani alikuwa ananunua regularly halafu akaacha?
Na kwanini akaacha?

Mbaya zaidi, taarifa hizi zikiwa kichwani kwa sales reps tofauti tofauti, customer akipotea unaweza hata usijue.

Hili sio tatizo la kupata customers wapya.

Ni follow-up problem.

Unahitaji mfumo wa CRM + Follow-up Engine + Retention System ambao una-track purchase history ya kila account, reorder cycle, follow-ups na customers wanaoanza kupotea.

Kwa sababu unaweza kutumia pesa nyingi kutafuta customer mpya…

wakati customer aliyekwisha kukuamini anasubiri tu mtu amkumbushe kufanya order nyingine.

Ukiwa hufuatilii customers wako, competitor wako atawafuatilia.

12/08/2026

K**a wewe ni coach na clients wako wengi wanauliza maswali yanayofanana, halafu kila call unajikuta unaelezea frameworks zilezile from scratch, kuna kitu hakijakaa sawa.

Knowledge yako bado ipo kichwani kwako, badala ya kuwa sehemu ya mfumo wa biashara.

Badala ya client kuja kwenye call ili umfundishe kila kitu mwanzo, angeweza kupata:

• Frameworks zako kabla ya call
• Videos au resources za concepts zinazojirudia
• Exercises za kufanya kabla hamjakutana
• AI agent inayoweza kujibu basic questions kwa kutumia knowledge yako
• Mfumo unaokuonyesha client yupo hatua gani na anahitaji nini next

Then muda wako kwenye call hautumiki kurudia information.

Unatumika kwenye diagnosis, strategy na high-level decisions ambazo kweli zinahitaji wewe.

Hyo ndo coaching ambayo inatoka kwenye kuwa service inayokutegemea wewe kila dakika… na kuanza kuwa productized system inayoweza kuscale.

Goal sio kuondoa coaching…

Goal ni kuhakikisha coach hafanyi kazi ambayo mfumo ungeweza kufanya.

K**a unahitaji kubadilisha biashara yako na kuifanya iwe AI OPERATED BUSINESS join Zillim Digital | Your AI Adoption Partner 🇹🇿

12/08/2026

Zillim Digital | Your AI Adoption Partner 🇹🇿

10/08/2026

Biashara yako ikisimama pale tu unapokosekana, bado hujajenga biashara umejitengenezea ajira.

Mmiliki wa salon alinitumia changamoto hizi:

Wateja wanataka kuhudumiwa na yeye pekee. Akisafiri au kuumwa, mapato yanapungua hata k**a wafanyakazi wapo. Appointments nyingi zipo kichwani au WhatsApp.

Hapa kuna business problems tatu tofauti:

1. Branding issue
Umejibrand k**a specialist, badala ya kujibrand k**a entrepreneur anayeongoza team yenye uwezo wa kutoa matokeo yale yale.

2. Process issue
K**a staff hawawezi kufanya kazi vizuri bila uwepo wako, unahitaji kudocument processes na kutengeneza SOPs zinazoonyesha huduma inatolewa vipi—step by step.

3. Systems issue
Bookings hazipaswi kubaki kichwani au kupotelea WhatsApp. Unaweza kujenga AI Operating System ambayo wateja wanabook, staff wanaona appointments na huduma zinazohitajika, huku wewe ukisimamia numbers na performance.

Hivi ndivyo unavyobadilisha salon inayokutegemea kuwa biashara inayoweza kujiendesha hata usipokuwepo.

Goal sio kufanya kila kitu mwenyewe. Goal ni kujenga mfumo unaotoa matokeo bila kutegemea uwepo wako kila siku.

10/08/2026

Huwa unapata message kutoka kwa mazombie?

09/08/2026

😂😂😂😂

Address

Bunju, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Tuesday 10:00 - 14:00
Wednesday 10:00 - 14:00
Thursday 10:00 - 14:00
Friday 10:00 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when McBenvics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share