khaju farm

khaju  farm usimamiz wa mashamba,kwa mkataba, kulea vifaranga kwa mwezi mmoja kwa mkataba,kukutafutia soko

16/10/2023

Khaju Farm limited ni kampuni inayotoa huduma za kilimo cha kisasa, ufugaji wa kisasa,ufugaji wa kisasa.

HUDUMA ZETU

✔️Kusimamia shamba la kilimo, mifugo na uvuvi
✔️kukulelea vifaranga vya kuku ndani ya mwez mmoja
✔️kulea na kuwahudumia kuku wa nyama ndani ya mwez mmoja.
✔️kukutaftia soko la kuku wa nyama {broiler}
✔️tuna vijana wazoefu wa kuhudumia mifugo yako
✔️kampuni itakufugia kuku wa mayai na kununua mayai kutoka kwako.
✔️mfugaji au mkulima hutapata changamoto ya soko
✔️uchimbaji wa mabwawa ya samaki.
✔️tunatoa elimu bora kwa zao lolote.
✔️tuna madaktali wazoefu wa kujua kuku wako au mifugo yako inasumbuliwa na nini.
✔️tuna wataalamu wa shambani, bwanashamba,bibi shamba
✔️tunauza maziwa mazuri ambayo hayajatiwa maji kutoka shambani kwetu.

kwa mawasiliano zaidi tupigie 0715 873 126

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255715873126

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when khaju farm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to khaju farm:

Share