07/06/2026
Siyo kusafirisha mashine tu.
Ni kusogeza mbele maendeleo ya viwanda, migodi na miradi ya wateja wetu.
Mzigo mwingine umeondoka salama kuelekea kwa mteja.
Tumejengwa juu ya uaminifu.
Tunaongozwa na ubora.
Tunawasilisha kwa uhakika.
📞 Simu / WhatsApp: +255 718 590 254
📍 Urafiki (Kiwandani Textile), Dar es Salaam
IMARA GROUP
Powering Industry. Delivering Reliability.