brotherlucas

brotherlucas business
and Marketing

karibu katika page hiii ya kusuport kile ambacho nakifanya namaanisha nna ndoto za kuinua vipaji vya vijana wenzangu wqa kitanzania na kutetea fursa muhimu zinazo tuhusu sisi vijana ungana nami katika hilo kwa kulike page.NB UTAPATA HABARI KILA INAPOITWA LEO

NINGEKUFA KWA AJILI YA  MWANAMKE!!   Siku moja,   nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada ...
24/02/2019

NINGEKUFA KWA AJILI YA MWANAMKE!!

Siku moja, nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake??
Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu...
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada.. hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu...
Wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!!
Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka...
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!!

*Nikaondoka na funzo langu*......

*Shikamoo wanawake*... 🚢🚢🚢

MSICHANA:    Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Not...
26/12/2018

MSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)

JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema:)

Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.

*Nikaamka kwa mshtuko MKUBWA SANA kwani kwa uzoefu wangu wote sijawahi ota ndoto yakutisha k**a hii*
😁😁😁😁😁😁😁😁

Happy boxing day

23/12/2018
IPhone 5 gb 16 black  @ Dar es Salaam, Tanzania
20/12/2018

IPhone 5 gb 16 black @ Dar es Salaam, Tanzania

IPhone 64 gb  in the box Price is tsh.700,000//=Call me. ...0782980022 Follow us
19/12/2018

IPhone 64 gb in the box
Price is tsh.700,000//=
Call me. ...0782980022
Follow us

HELLO OFFER KUUUUBWA SANA TANZANIASamsung Galaxy s8 plus tsh.950000I phone 6pluss gb 16 tsh.650000IPhone 6pluss gb 64 ts...
19/12/2018

HELLO OFFER KUUUUBWA SANA TANZANIA
Samsung Galaxy s8 plus tsh.950000
I phone 6pluss gb 16 tsh.650000
IPhone 6pluss gb 64 tsh.700000
IPhone 5s gb 16 tsh.300000
IPhone 5 gb 16 tsh .250000
Samsung s7edge tsh.690000
Samsung s6 edge tsh.520,000

TUPIGIE SASA 0782980022
UPATE OFFERS

OFFER OFFER OFFER MSIMU WA CHRISTMAS Samsung Galaxy note 8pluss 950,000/= IPhone  5s gb 16 tsh 300,000IPhone 5 gb 16 250...
13/12/2018

OFFER OFFER OFFER MSIMU WA CHRISTMAS
Samsung Galaxy note 8pluss 950,000/=
IPhone 5s gb 16 tsh 300,000
IPhone 5 gb 16 250,000/=
IPhone x 1,900,000/=
Samsung Galaxy s7 tsh.650,000/=
Na zingine nyingi sana
Follow brotherlucas
Whatsapp me +8613205286203
Or call me in Tanzania 0782980022
@ Kinondoni, Dar Es Salaam, Tanzania

Samsung inc 27 HDMI AV VGA USB βœ”Tsh.350,000   #0713980022  @ Dar es Salaam, Tanzania
06/09/2018

Samsung inc 27 HDMI AV VGA USB βœ”
Tsh.350,000
#0713980022
@ Dar es Salaam, Tanzania

Welcomed lg tc just for only 300,000HDMI VGA AV FLUSH πŸ“£     #0713980022  @ Dar es Salaam
06/09/2018

Welcomed lg tc just for only 300,000
HDMI VGA AV FLUSH πŸ“£
#0713980022 @ Dar es Salaam

Iphone 6 gb 16 Only  550,000tsh.With full box
01/09/2018

Iphone 6 gb 16
Only 550,000tsh.
With full box

Nokia 105Price tsh.45,000Location dar ilalaDual    #0713980022  @ Dar es Salaam
31/08/2018

Nokia 105
Price tsh.45,000
Location dar ilala
Dual
#0713980022 @ Dar es Salaam

Address

Dar Es Salaam
14113

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when brotherlucas posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to brotherlucas:

Share