Mnada Online Tanzania

Mnada Online Tanzania 🛒 2026 | Mfungo Huu Hakuna Njaa
🥗 Bei Nafuu |🧆 Bidhaa Zote |👫 Kwa Kila Mtu
🛍️ Karibu Manunuzi bila presha 🤝
📍Mwenge Stand
💰UZA & NUNUA KWA BEI NAFUU.

Kuna mfungo… Lakini safari hii hakuna njaa 🔥📅 16–18/03 2026✨ Fursa • Msaada • Ushirikiano • Biashara • Maisha📞 Wasiliana...
12/02/2026

Kuna mfungo… Lakini safari hii hakuna njaa 🔥

📅 16–18/03 2026
✨ Fursa • Msaada • Ushirikiano • Biashara • Maisha
📞 Wasiliana nasi: | +255 653 980 892

Hakuna kukosa 🙅🏽‍♂️ Don’t miss this moment

11/02/2026

Kuna mfungo…
Lakini safari hii hakuna njaa 🔥

📅 16–18/03 2026
✨ Fursa • Msaada • Ushirikiano • Biashara • Maisha
📞 Wasiliana nasi: | +255 653 980 892

Hakuna kukosa 🙅🏽‍♂️ Don’t miss this moment

Isha , labda jina lako lilimaanisha unachoanzisha utakifanya kwa ustadi mpaka mwisho yaani mpaka kita-isha , na kuonyesh...
31/03/2025

Isha , labda jina lako lilimaanisha unachoanzisha utakifanya kwa ustadi mpaka mwisho yaani mpaka kita-isha , na kuonyesha matokeo, lakini cha kushangaza chakula chako utamu hauishi😝😝, unajua sana, umejua kutukonga Mioyo pale mnadani , hakika tumefurahi, nina hakika hutawahi acha kuja kutupikia kuanzia asubuhi mpaka usiku , asante kwa ule uji wa pushi la zaidi ya hotel za nyota tano, ile chapati ishaa 😊😊 , tunashukuru kwa uwepo wako hata ambao hatukufunga tulisubiri futari

Namba hazidanganyi , vivyo na utendaji kazi haudanganyi , JACKLINE MANGI WOLPER  k**a mangi anaeenda kuhemea soko la mab...
31/03/2025

Namba hazidanganyi , vivyo na utendaji kazi haudanganyi , JACKLINE MANGI WOLPER k**a mangi anaeenda kuhemea soko la mabibo saa 11 asubuhi , nmeshuhudia kwake, hajaleta Maringo ya U-star , yani kalala saa saba saa 11 asubuhi yupo macho nakuta amenitumia voice, saa mbili asubuhi ananiambia yupo njiani anakuja mnadani, mnadani hata mda wa lunch hapati , jana nmekuta anakula saa 12 jioni na anakula huku anahudumia mteja

nimefanya kazi na wasanii wengi MDA WA ASUBUHI AMBAO WATU WANACLOSE MADEAL WAO WAMELALA, na hawatafuti kazi wanasubiri sumu ziite na zikiita wamelala, meneja nae sabu kakesha na msanii nae hapatikani wasanii hawaamki kwenda kugonga hodi kwenye taasisi kutafuta madili na wakipatikana bado hawajui hata customer care , lakini hili sio kwa mpaka kuna mtu akasema wolper ni shilole wa bongo movie aliechangamka 😃😃 shilole ni Mbombo Mbombo kwenye mziki mnene na chanjo ilibidi nmtumie k**a alarm aniamshie wasanii wenzie , Mama Ela zako za halali , pia nmefanya na hahaha ile Muziki wa mama tulikua na kikao saa 12 asubuhi posta aliwahi kuliko sisi, akiwa na lake mpaka nahisi usumbufu hasuburi meneja

ulikua siku 3, wolper kafika zote kasimama mda wote mpk Buti alizovaa ilibidi avue, JACKY WEWE NI RECEPTION, hutumi mtu , unajituma monyewe ,asante Jackline Mangi Wolper , tukutane mnada ujao, k**a nilivyoahidi nakuandalia marketing plan ya Mwaka bure.

Ajira kwenye nchi za falme za kiarabu , kwa wenye Taaluma na wasio na Taaluma  nchini Dubai, Qatar, Saudi Arabia , Oman ...
26/03/2025

Ajira kwenye nchi za falme za kiarabu , kwa wenye Taaluma na wasio na Taaluma nchini Dubai, Qatar, Saudi Arabia , Oman na Bahrain

Kazi zilizopo , Madaktari, wauguzi, Maabara, Dereva(lori,Tax,Mitambo na Mabasi) , kazi za ulinzi, Fundi ujenzi, seremala, umeme, gari Ac nk) , usafi airpot na kwenye ndege, wahudumu wa hoteli, kazi za super market nk

Kwa kifupi kazi ni nyingi k**a unahitaji fika Mnadani , Usajiliwe

Umri kuanzia miaka 20

Mnada, Mnada Mnada 2025 Huku huduma za serikali buree, huku upimaji afya buree , huku biashara na burudani utachagua wew...
19/03/2025

Mnada, Mnada Mnada 2025

Huku huduma za serikali buree, huku upimaji afya buree , huku biashara na burudani utachagua wewe pa kuanzia

Anza kujichanga mdogo mdogo eid na pasaka isiiche kinyonge

Mnada tar 28,29 &30

Unajiuliza sikukuu  na vifaa vya shule utashop wapi? Njoo Mnadani Mwenge,  Chimbo la Bei chee, sio tu viungo vya pilau, ...
12/12/2024

Unajiuliza sikukuu na vifaa vya shule utashop wapi? Njoo Mnadani Mwenge, Chimbo la Bei chee, sio tu viungo vya pilau, bag za shule , vifaa vya electronics , SIMU ZA MKOPO, KING’AMUZI NA DISH bei ya Kitonga na UFUNDI BURE, Viatu vya samba original kwa bei ya Mnada elfu 30,000 tu, T-shirt kali kwa 5000 tu.

Mambo ni Mengi Sogea Mnadani Ujizolee tar 18-22

This is WATER FROM AIR PROJECT, New Technology and for the first time it has been launched here in Zanzibar Kendwa rocks...
07/12/2024

This is WATER FROM AIR PROJECT, New Technology and for the first time it has been launched here in Zanzibar Kendwa rocks,, that fear of Water poverty ends here, thats fear about the statistics which says the greatest coming world war will be caused by Water scarcity now here is the solution… im happy to be party of … and proud of our partner in Africa Kevin Nyerere in Tanzania ,

SERVICE YA PIKIPIKI NA BAJAJI BURE  KWENYE MNADA WA EFM-Mwenge Stand ya zamani.  ipo hivi, kuanzia tarehe 1/11 tarehe 2/...
30/10/2024

SERVICE YA PIKIPIKI NA BAJAJI BURE KWENYE MNADA WA EFM-Mwenge Stand ya zamani. ipo hivi, kuanzia tarehe 1/11 tarehe 2/11 na tarehe 3/11 wana tumesimilizwa, unafanyiwa service free ya chombo , unachotakiwa ni kununua tu OIL ya GSM kwa shilingi 9000 tu, na utajituliza na Maji ya GSM sogea mwenge na chombo chako na k**a haitoshi bidhaa nyingi zimeshushwa bei

Nimetazama  kuitika kwa Kizimkazi, wasanii walivyoitika, wakazi wa bara na visiwani , viongozi  na mataifa  kweli wameit...
25/08/2024

Nimetazama kuitika kwa Kizimkazi, wasanii walivyoitika, wakazi wa bara na visiwani , viongozi na mataifa kweli wameitika , naona faraja na kushukuru Mungu kwa kufanikiwa kwa kazi ya ubunifu wetu.

Mwaka 2023, tulipewa kazi ya kubuni dira ya ndipo hapo NILIPOPENDEKEZA kwamba tuongozwe na kauli mbiu ya .

Slogan hiyo ilifanikisha promosheni hadi uratibu, tamasha likaenda mbali kiasi ambacho tulihisi Mji wa Kizimkazi wenyewe Umeitika kwa maana ya kuitika wito wa kukaribisha watu.

Mwaka huu tumependekeza iwe kwa sababu maelfu mia ya watu sasa wanatamani kwenda Kizimkazi, mji umeitika wito wa kukaribisha wengi kwa ajili ya burudani, utalii na ufunguzi wa miradi.

Nashukuru Mungu kwa zawadi ya Ubunifu alionijalia, Ofisi Binafsi ya Rais na wadau wote wanaoshiriki katika Tamasha hili, inapendeza kuona ubunifu wetu unavyosukuma ajenda hii na kuwa mjadala mkubwa wa kitaifa kubwa , na kuwa sehemu ya kuonyesha ubunifu ambao sasa Tanzania na dunia inajua, shukrani zaidi kwa The master plan behind this .

Address

Shekilango Raod
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mnada Online Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mnada Online Tanzania:

Share