28/01/2020
Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume
Awali ya yote nitoe pongezi kwa mama K na Baba K wote popote walipo kwa kazi nzuri na baraka ambayo wanaisubiri kutoka kwa Mungu (mtoto).
Mojawapo ya mambo ambayo yanatia furaha katika maisha ya ndoa ni pale wanandoa wanapokuwa wapo kwenye kipindi cha kutegemea mtoto.
Mambo mengi huwa yanaleta hamasa na ushawishi kuhusiana na huyo mtoto. Mambo k**a jinsia yake k**a ni wa kiume au wa k**e nk.
Maandalizi kadhaa huanza kufanywa kabla hata ya mtoto kuzaliwa, hii ikijumuisha manunuzi ya vitu kwa ajili ya mtoto na majina wakati atakapo zaliwa.
Madaktari wana uwezo wa kujua jinsia ya mtoto ambaye hajazaliwa kwa kutumia kipimo cha ULTRASOUND.
Watu wengi hawajuwi kuwa wanaweza kufahamu jinsia ya mtoto kutokana na dalili ambazo mama mjamzito anazionyesha, kuanzia mabadiliko ya kimwili, kulala na mpaka upendo wa vyakula fulani.
Soma hii pia > Dawa ya asili ya kupata mimba haraka
Utastaajabu kujua kuna uwezekano wa viashiria kuhusiana na jinsia ya mtoto anaetegemewa, bila kwenda hospitali na kutumia ULTRASOUND.
Kuna dalili nyingi ambazo sinaweza kukupa taarifa kuhusiana na jinsia ya mtoto kabla ya kuzaliwa. Kutokana na utafiti, ume baini haya yafutayo k**a viashiria vya kujua jinsia ya mtoto kabla hata hajazaliwa;
1) Umachachari wa mjamzito (Clumsiness).
Kwa kila jinsi mwili/tumbo la mjamzito linavyokua, umachachari hua haukosekani, ila unapopitiliza mipaka kuliko kawaida, basi kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto mwenye jinsia ya KIUME.
2) Kukua kwa Maziwa/Matiti (Breast Size).
Katika kila hatua ya mimba, mwanamke hua anagundua ni jinsi gani maziwa/matiti yake hubadilika kwa kukua. K**a ziwa/titi lake la kulia likitokea kuwa kubwa kuliko la kushoto, basi kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto wa KIUME. Na k**a titi/ziwa la kulia likiwa kubwa kuliko la kushoto, basi kuna uwezekano mkubwa wa kujifungua mtoto wa K**E.
3) Rangi ya Chuchu (Ni**le Color).
Rangi ya chuchu kipindi cha ujauzito zinaweza kuashiri jinsia ya mtoto, rangi inapokua ya kiza (darker) kuliko kawaida ni dalili ya kujifungua mtoto wa KIUME, na k**a rangi haijabadilika katika hatua za mimba ni dalili ya mtoto wa K**E.
4) Aina ya Ulalaji (Sleeping Position).
Kupendelea kulalia ubavu wa kulia ni dalili za kujifungua mtoto wa KIUME, na kupendelea kulalia ubavu wa kushoto ni dalili ya kujifungua mtoto wa K**E.
5) Kuumwa Kichwa (Headache).
K**a mjamzito atakua na matatizo ya kuumwa kichwa mara kwa mara, mtoto wa KIUME yupo njiani kuja. Na k**a hatokua na matatizo ya kichwa, basi uwezekano wa mtoto wa K**E kuzaliwa.
6) Uzito wa Baba (Dadās Weight).
K**a mzazi wa kiume akiongezeka kilo, ni dalili za mama mjamzito kujifungua mtoto wa K**E, na k**a mzazi wa kiume asipo ongezeka kilo/au kupungua kilo ni dalili za mtoto wa KIUME.
7) Tumbo la Uzazi Kua Juu au Chini (Carrying High or Low).
K**a tumbo la mjamzito litakua juu, ni dalili za kuzaliwa mtoto wa K**E, na k**a tumbo la uzazi litakua chini basi inaashiria mtoto wa KIUME.
8) Tamaa ya Chakula (Food Craving).
Tamaa ya kupendelea vyakula vya chumvi/ukali basi ni dalili ya kupata mtoto wa KIUME, na kupendelea kula vyakula vya sukari ni dalili ya mtoto wa K**E.
9) Miguu Kuvimba (Foot Swelling).
K**a miguu ya mjamzito haivimbi, basi inaashiria mtoto wa K**E, kwani mtoto wa KIUME ana uwezo wa kumwongezea mjamzito uvimbaji wa miguu, mara mbili ya size ya huyo mjamzito miguu yake.
10) Joto la Nyayo za Miguu (Foot Temperature).
K**a nyayo za miguu zitakua za baridi, kuna dalili ya kujifungua mtoto wa KIUME, na k**a nyayo hazijabadilika joto lake halisia ni dalili za mtoto wa K**E.
11) Kugawanyika Kwa Uzito Mwilini (Weight Distribution).
K**a mjamzito ataongezeka kilo/uzito mwili mzima, ni dalili za kujifungua mtoto wa K**E. Na k**a ataongezeka uzito kwenye tumbo tu ni dalili za mtoto wa KIUME kuwa njiani.
12) Nywele za Mwilini (Body Hair).
Nywele za mwilini kukua kwa haraka na kua imara, ni dalili za mtoto wa KIUME kuzaliwa, wakati dalili za mtoto wa K**E hua nywele hazioti mwilini.
13) Unawiri wa Nywele Kichwani (Hair Texture).
Nywele nzito na zenye mafuta/kunawiri ni kiashiro cha kujifungua mtoto wa KIUME, na nywele kavu/kukatika/kukosa mvuto/rough ni dalili ya kujifugua mtoto wa K**E.
14) Kipimo Cha BAKING-SODA (The Baking Soda Test).
Chukua vijiko viwili vya baking soda na kisha changanya na mkojo wa mjamzito, k**a baking soda itatoa mapovu ya gas na mliok**a wa kuchemka (fizzes), ni mtoto wa KIUME anakuja. Kinyume na hapo basi atakua wa K**E.
15) Mstari Tumboni (Linea Nigra).
Huu ni msitari ambao hutokea katika tumbo la mjamzito, mstari huu ukitokea na kuishia chini ya kitovu, basi inaashiria ujio wa mtoto wa K**E, na k**a ukipitiliza mpaka juu ya kitovu, ni kiashirio cha kuja kwa mtoto wa KIUME.
16) Furaha/Muwako/Kunawiri Usoni (The Glow).
Ni mtoto wa KIUME pekee ndio ambae humpa muwako/sura ya furaha/kunawiri kwa uso wa mama mjamzito. Mtoto wa k**e humchosha sura mama yake muda wote.
17) Chunusi (Acne).
Kubemba mimba ya mtoto wa K**E huwaletea wajawazito chunusi usoni, ni dalili moja wapo. Vinginevyo, atakua mtoto wa KIUME.
18) Mabadiliko Ya Ngozi (Skin Changes).
K**a ngozi ya mjamzito ikibadilika na kua yenye mafuta (oily skin) ni dalili za kuashiria mtoto ajae ni wa K**E, na k**a ngozi ikibakia kua kavu (dry skin) ni dalili za ujio wa mtoto wa KIUME.
K**a unatafuta dawa ya asili kwa ajili ya kupata ujauzito, niachie tu ujumbe WhatsApp +
C&p