Afya kwanza_Afya ndio msingi wa mafanikio yako

Afya kwanza_Afya ndio msingi wa mafanikio yako loose weight care your health

*Ugonjwa wa Kisukari wa Figo*  *Ugonjwa wa figo unaoletwa na kisukari* Idadi ya wagonjwa wa kisukari(diabetes)inaongezek...
13/03/2022

*Ugonjwa wa Kisukari wa Figo*

*Ugonjwa wa figo unaoletwa na kisukari*

Idadi ya wagonjwa wa kisukari(diabetes)inaongezeka kwa kasi mno,ulimwenguni kote.Tatizo kuu ni ongezeko la ugonjwa wa figo unaosababishwa na ugonjwa wa kisukari. Ugonjwa wa figo unaoletwa na kisukari ni moja ya matokeo mabaya sana ya kisukari na huleta vifo vingi.

Ugonjwa wa figo wa kisukari ni upi?
vya figo kuharibika.Vinapoharibika, protini hupotea kwenye mkojo. Hali hii nayo husababisha shinikizo la damu (hypertension) , mwili kuvimba na figo kuanza kudhoofika. Mwisho figo hushindwa kufanya kazi (ESKD). Huu ndio ugonjwa wa figo wa kisukari (Diabetic nephropathy).

Kwa nini ni muhimu kujua kuhusu ugonjwa wa figo unaotokana na kisukari?

• Ugonjwa wa kisukari unaongezeka kwa kasi kubwa mno duniani kote.

• Ugonjwa huu ndio chanzo kikuu cha ugonjwa sugu wa figo.

• Wagonjwa k**a asilimia arobaini hadi hamsini walio katika kipindi cha mwisho cha ugonjwa wa figo(ESKD) ni wagonjwa wa kisukari.

• Ugonjwa wa figo unahitaji tiba ya gharama kubwa kutibiwa na watu wengi katika nchi zinazoendelea hawawezi kugharamia.

• Utambuzi na matibabu ya mapema yanaweza kuzuia ugonjwa wa figo. Kwa wenye kisukari ambao wana ugonjwa sugu wa figo, matibabu ya mapema huhairisha haja ya dayalisisi au kupatiwa figo.

• Ugonjwa wa figo wa kisukari huongeza hatari ya kufa kutokana na matatizo ya moyo.

• Hivyo utambuzi wa mapema wa ugonjwa huu wa figo unaotokana na kisukari ni muhimu sana.

Ugonjwa wa kisukari ndio mara nyingi husababisha ugonjwa sugu wa figo.

Ni wagonjwa wangapi wa kisukari hupata ugonjwa wa figo?

Ugonjwa wa kisukari ni wa aina mbili. Lakini kila aina ina hatari yake ya kusababisha ugonjwa wa figo.

Aina ya ugonjwa wa kisukari unaohitaji dawa ya insulin (Aina 1)

Aina ya kwanza (Type -1) huanza mtu akiwa na umri mdogo na huhitaji dawa ili kuuthibiti . Aslimia 30 - 35 ya walio na aina hii hupata ugonjwa wa figo.

Aina ya ugonjwa wa kisukari usiotegemea insulin (Aina 2)

Aina ya -2 ya kisukari sana sana huwapata watu wazima na mara nyingine huweza kuthibitiwa bila insulin. Asilimia 10- 40 ya wagonjwa wa aina hii ya kisukari huenda wakapata ugonjwa wa figo.Aina hii ya pili ndio chanzo kikuu cha ugonjwa wa figo usiopona. Mtu mmoja kati ya wagonjwa wapya watatu hupata shida hii.

Ni mgonjwa yupi wa kisukari anaweza kupata ugonjwa wa figo?

Ni vigumu kujua mgonjwa yupi aliye katika hatari zaidi ya kuupata ugonjwa wa figo,ingawaje kuna ishara zinazoashiria k**a:

Kisukari ni chanzo kikuu cha ugonjwa wa figo ulio katika hatua ya mwisho, mgonjwa mmoja kati ya watatu huwa na shida hiyo.

• Mtu kapata aina ya kwanza ya kisukari kabla ya kufikisha umri wa miaka ishirini.

• Ugonjwa wa kisukari usiotibiwa vizuri.( kiasi cha juu cha HbA1c)

• Shinikizo la damu lisilotibiwa/lisilodhibitiwa vizuri.

• Historia ya kisukari kwenye familia na hasa ikiambatana na ugonjwa sugu wa figo.

• Matatizo ya macho.(diabetic retinopathy), au uaribifu /tatizo la neve kwa sababu ya kisukari (diabetic neuropathy).

• Protini kwenye mkojo,uzito mkubwa,uvutaji wa sigara na ongezeko la mafuta kwenye damu.

Ugonjwa wa figo huanza lini kwa mgonjwa wa kisukari?

Ugonjwa sugu wa figo huchukua muda mrefu kwa hiyo ni vigumu kuupata katika miaka kumi ya kwanza ya kisukari. Dalili huonekana k**a miaka kumi na mitano hadi ishirini baada ya aina ya kwanza ya kisukari kuanza.

Iwapo mgonjwa wa kisukari hajapata ugonjwa wa figo baada ya miaka ishirini na mitano,basi hatari ya kuupata hupungua.

Je ni lini mgonjwa wa kisukari anaweza kuwa na ugonjwa wa figo:

• Anapokojoa mkojo wenye povu au kuna protini kwenye mkojo akipimwa.

• Anapopata shinikizo la damu au k**a alikuwa na shinikizo la damu basi hali hiyo kuzidi kuwa mbaya.

• Vifundo vya miguu, miguu na uso kuvimba, mkojo kupungua na uzito wa mwili kuongezeka.

Dalili za madhara ya kisukari huwa ni protini kwenye mkojo unapopimwa, shinikizo la damu na kuvimba mwili.

• Kupungua mahitaji ya dawa ya insulin na dawa nyingine zinazotumika kutibu kisukari.

• Mgonjwa ambaye ghafla anakuwa na historia ya kuhitaji kipimo cha dawa kidogo kuiweka sukari yake kuwa chini.

• Historia ya mgonjwa kuwa na matukio ya kisukari mwilini kushuka. Aidha kusaidiwa na dawa za kisukari ambazo hapo awali zilikuwa hazimsaidii.

• Mgonjwa kujihisi vyema hata bila kutumia dawa.Wagonjwa wengi hufurahi kupona kisukari lakini ukweli ni kwamba figo za mgonjwa sasa huwa zinazidi kudhoofika.

• Dalili za ugonjwa sugu wa figo huanza kuonekana; k**a vile uchovu/kuchoka, kukosa hamu ya chakula, kichefuchefu, kutapika, kujikuna, kuonekana mgonjwa mgonjwa, na kushindwa kupumua.Hizi ni dalili ambazo huonekana ugonjwa ukiwa umeendelea zaidi.

• Vipimo vya kreatinini na yurea huwa juu katika damu.

Je,ugonjwa wa figo unaoletwa na kisukari hujulikanaje na ni uchunguzi upi unaweza kuutambua mapema?

Vipimo viwili ambavyo ni muhimu sana ni kile cha protini kwenye mkojo na kreatinini kwenye damu. Kipimo cha kwanza ambacho huweza kutambua ugonjwa huu wa figo,mapema ni kile kinachoweza kuonyesha kiasi kidogo kabisa cha albumin kwenye mkojo. Albumini ni aina ya protini k**a ile inayopatikana katika uteyai.

Kipimo kingine ni kile cha kawaida kinachoonyesha uwepo wa albumin nyingi kwenye mkojo.

Kipimo cha kreatinini ndicho huonyesha kazi inayofanywa na figo. Kiasi cha kreatinini huongezeka kwenye damu katika kipindi cha mwisho, yaani ugonjwa ukiwa umekomaa sana.

ONYO:K**a sukari katika damu inashuka mara kwa mara au kisukari kinajidhibiti bila dawa, ni muhimu ufikirie uwepo wa ugonjwa wa figo
What's up call/ 0755467415

au bonyeza link kuja whatsap
https://wa.me/255755467415

ZIFAHAMU RANGI ZA MKOJO NA MAANA YAKEMkojo unakuwa na rangi mbali mbali.Ni wazi kuwa kila rangi inaashiria kitu Fulani k...
12/03/2022

ZIFAHAMU RANGI ZA MKOJO NA MAANA YAKE

Mkojo unakuwa na rangi mbali mbali.Ni wazi kuwa kila rangi inaashiria kitu Fulani katika miili yetu.
Katika somo hili tutasoma kuhusu rangi mbali mbali za mkojo na chini ni maana ya kila rangi.

1.HAKUNA RANGI/ANGAVU
Unakunywa maji mengi sana

2.RANGI YA MAJANI MAKAVU YA NGANO
Uko sawa kiafya

3.NJANO ANGAVU
Uko sawa kiafya

4.NJANO ILIYOKOZA WEUSI
Uko sawa lakini jitahidi kunywa maji ya kutosha.

5.RANGI YA ASALI
Mwili wako haupati maji ya kutosha

6.KAHAWIA ILIYOKOZA WEUSI
Uenda una tatizo la ini
Uenda hunywi maji ya kutosha.Jitahidi kunywa maji ya kutosha sasa na endapo itaendelea mwone Daktari

7.WARIDI YENYE WEKUNDU
Je umekula matunda au vyakula vyenye rangi hivi karibuni?
K**a hapana inawezekana kuna damu kwenye mkojo
Yawezekana una matatizo ya Figo au sehemu nyingine za mfumo wa mkojo.
Yawezekana umeathiriwa na madini ya zebaki au risasi.Inashauriwa kumwona daktari

8.MACHUNGWA
Yawezekana hunywi maji ya kutosha
Inaweza kuwa una matatizo ya ini au tezi ya nyongo
Yawezekana ikawa sababu ya rangi ya chakula.Inashauriwa umwone daktari

9.KIJANI AU BLUU
Kuna matatizo ya kimaumbile yanayoweza kupelekea hali hii.Pia kuna aina ya bakteria wanaoathiri mfumo wa mkojo na kupelekea hali hii.Inawezekana pia kutokea kwa sababu ya dawa au rangi ya chakula ulichokula.Mwone daktari

10.ZAMBARAU
Hii ni nadra sana kutokea.ila vyema umwone daktari mapema ufanyiwe vipimo

11.MKOJO UNATOA POVU
Hii haina madhara inaweza kutokana na Protini nyingi kwenye mlo. Inaweza kuwa matatizo kwenye Figo.Inapozidi mwone daktari

Kwa tiba nasaha na ushauri
wasiliana nami
Nurse Evelyne Mwalyego
https://wa.me/255755467415

*_✍🏻Magonjwa ya kudhoofisha figo yanaongezeka kwa haraka sana duniani kote._* Gusa link hapo chini kupata darasa la bure...
12/03/2022

*_✍🏻Magonjwa ya kudhoofisha figo yanaongezeka kwa haraka sana duniani kote._*

Gusa link hapo chini kupata darasa la bure👇👇👇https://wa.me/255755467415

Mtu mmoja kwa kila watu kumi ana aina fulani ya ugonjwa wa figo usiopona. Kuongezeka kwa kisukari, matatizo ya shinikizo la damu, unene zaidi,uvutaji wa tumbaku na mafuta mengi mwilini (cholesterol) ndizo sababu kuu za ongezeko la ugonjwa huu usiopona wa figo.

Ugonjwa Sugu wa Figo ni Upi?

✍🏻Figo kudhoofika kwa muda mrefu wa miezi hata miaka,na kushindwa kufanya kazi zake . Hali hii ndio ugonjwa sugu usiopona wa figo.Ishara kuu za ugonjwa huu ni ongezeko la umajimaji wa kreatinini katika damu na figo kupungua kwa ukubwa /kusinyaa.

Kwa wagonjwa wengi ne huwa hazishindwi kufanya kazi yake kabisa, bali uwezo wake hupungua kiasi. Kwa hivyo kufeli haina maana ya kushindwa kabisa na kazi zake.

Kipindi cha Mwisho cha Ugonjwa wa Figo ni Kipi?

✍🏻Kipindi hiki cha tano cha ugonjwa wa figo ndio husemekana kuwa figo zimefeli. Kazi yake hupungua sana, karibu kukoma kabisa. Ugonjwa huu unapozidi, kazi za figo hupungua hadi asili mia kumi (10%) ya zile za kawaida. Figo zinapofikisha kiasi hiki, huwa haziponi kwa kutumia matibabu yake ya msingi na huhitaji dayalisisi au kupatiwa figo ili kuendelea na uhai/maisha.

Chanzo cha Ugonjwa Sugu wa Figo

Sababu kuu za Ugonjwa wa Figo Usiopona ni:

1️⃣Kisukari

Kisukari husababisha ugonjwa wa figo. Asilimia 35-40 ya magonjwa ya figo yasiyopona yote huletwa na kisukari. Tuseme kwa kila watu watatu walio na ugonjwa wa kisukari, mmoja wao anaweza kupata ugonjwa sugu wa figo.

2️⃣Shinikizo la Damu

Hali hii isipotibiwa au isipodhibitiwa kwa njia ifaayo, huwa ni chanzo kikubwa cha ugonjwa wa figo. Asili mia 30 ya magonjwa ya figo yasiyopona huletwa na shinikizo la damu. Hata k**a ugonjwa wa figo umesababishwa na hali nyingine, shinikizo la damu hudhuru figo zaidi.

3️⃣Ugonjwa wa Uvimbe Kwenye Figo (Glomerulonephritis)

Ugonjwa huu ni wa tatu katika kuchangia magonjwa yote yanayoleta magonjwa sugu ya figo.

4️⃣Polycycystic Kidney Disease

Shida hii ya uvimbe kwenye figo zote mbili ni ugonjwa unaoweza kurithiwa (toka kwa wazazi). Hali hii husababisha ugonjwa wa figo kutokana na uvimb

*_✍🏻Magonjwa ya kudhoofisha figo yanaongezeka kwa haraka sana duniani kote._* Gusa link hapo chini kupata darasa la bure...
12/03/2022

*_✍🏻Magonjwa ya kudhoofisha figo yanaongezeka kwa haraka sana duniani kote._*

Gusa link hapo chini kupata darasa la bure👇👇👇https://wa.me/255755467415

Mtu mmoja kwa kila watu kumi ana aina fulani ya ugonjwa wa figo usiopona. Kuongezeka kwa kisukari, matatizo ya shinikizo la damu, unene zaidi,uvutaji wa tumbaku na mafuta mengi mwilini (cholesterol) ndizo sababu kuu za ongezeko la ugonjwa huu usiopona wa figo.

Ugonjwa Sugu wa Figo ni Upi?

✍🏻Figo kudhoofika kwa muda mrefu wa miezi hata miaka,na kushindwa kufanya kazi zake . Hali hii ndio ugonjwa sugu usiopona wa figo.Ishara kuu za ugonjwa huu ni ongezeko la umajimaji wa kreatinini katika damu na figo kupungua kwa ukubwa /kusinyaa.

Kwa wagonjwa wengi ne huwa hazishindwi kufanya kazi yake kabisa, bali uwezo wake hupungua kiasi. Kwa hivyo kufeli haina maana ya kushindwa kabisa na kazi zake.

Kipindi cha Mwisho cha Ugonjwa wa Figo ni Kipi?

✍🏻Kipindi hiki cha tano cha ugonjwa wa figo ndio husemekana kuwa figo zimefeli. Kazi yake hupungua sana, karibu kukoma kabisa. Ugonjwa huu unapozidi, kazi za figo hupungua hadi asili mia kumi (10%) ya zile za kawaida. Figo zinapofikisha kiasi hiki, huwa haziponi kwa kutumia matibabu yake ya msingi na huhitaji dayalisisi au kupatiwa figo ili kuendelea na uhai/maisha.

Chanzo cha Ugonjwa Sugu wa Figo

Sababu kuu za Ugonjwa wa Figo Usiopona ni:

1️⃣Kisukari

Kisukari husababisha ugonjwa wa figo. Asilimia 35-40 ya magonjwa ya figo yasiyopona yote huletwa na kisukari. Tuseme kwa kila watu watatu walio na ugonjwa wa kisukari, mmoja wao anaweza kupata ugonjwa sugu wa figo.

2️⃣Shinikizo la Damu

Hali hii isipotibiwa au isipodhibitiwa kwa njia ifaayo, huwa ni chanzo kikubwa cha ugonjwa wa figo. Asili mia 30 ya magonjwa ya figo yasiyopona huletwa na shinikizo la damu. Hata k**a ugonjwa wa figo umesababishwa na hali nyingine, shinikizo la damu hudhuru figo zaidi.

3️⃣Ugonjwa wa Uvimbe Kwenye Figo (Glomerulonephritis)

Ugonjwa huu ni wa tatu katika kuchangia magonjwa yote yanayoleta magonjwa sugu ya figo.

4️⃣Polycycystic Kidney Disease

Shida hii ya uvimbe kwenye figo zote mbili ni ugonjwa unaoweza kurithiwa (toka kwa wazazi). Hali hii husababisha ugonjwa wa figo kutokana na uvimbe (cysts) kwenye figo zote.

5️⃣Sababu Nyingine

👉Figo kuzeeka
👉Kufunga kwa mishipa iendayo kwenye figo (renal artery stenosis)
👉Mkojo kuzuiwa na mawe ya figo au tezi dume iliyo karibu na kibofu kuvimba,
👉Figo kuharibiwa na dawa Fulani fulani
👉Maambukizo ya figo ya mara kwa mara kwa watoto na pia kupunguka kwa ukubwa wa figo na mwisho mkojo kurudi nyuma.

Kupata Tiba ya Uhakika, piga/WhatsApp 0755467415

Gusa link hapo chini kupata darasa la bure👇👇👇👇
https://wa.me/255755467415

*UNAFAHAMU NINI KUHUSU MAWE KATIKA FIGO !?*♠️ *Unafahamu unaweza kupata tatizo hili hata ukiwa na Umri wa miaka 20 !?*i....
12/03/2022

*UNAFAHAMU NINI KUHUSU MAWE KATIKA FIGO !?*

♠️ *Unafahamu unaweza kupata tatizo hili hata ukiwa na Umri wa miaka 20 !?*

i. *Maumivu wakati wa kukojoa.*

ii. *Haja ndogo ya Mara kwa mara.*

iii. *Haja ndogo yenye chembe chembe ndani yake. (chenga chenga)*

iv. *Kutumia nguvu kubwa wakati wa kupata haja ndogo.*

v. *Kukojoa damu.*

vi. *Kupata miwasho baada ya kumaliza haja ndogo.*

*Hizi ni baadhi tuu ya dalili zake,*
*Maliza changamoto hii kwa njia hii bora salama.*

*SIKILIZA AUDIO HII, KUMALIZA KABISA TATIZO HILI, UKIWA NYUMBANI KWAKO.*

https://wa.me/255755467415...

bonyeza link kuja whatsap usikilize

Mungu n mwaminifu  akiamua kufanya anafanya kwa ukubwa💪💪💪💪💪unataka kupungua uzito kuboresha afya ya uzaz kwa mwanamke na...
02/03/2022

Mungu n mwaminifu akiamua kufanya anafanya kwa ukubwa
💪💪💪💪💪

unataka kupungua uzito kuboresha afya ya uzaz kwa mwanamke na mwanaume uwe na power na pumzi na mbegu bora karibu nikuhudumie

Kwa maelezo zaidi
Call/SmS: +255755467415
Au
bofya hapa kuja WhatsApp mojakwa moja kwa moja na andika neno


https://wa.me/255755467415....


*x

CHANGAMOTO YA VIUNGO K**A UTE UTE KUISHA , MAUNGIO(JOINTS) YANAUMA SANA, MIFUPA KUSAGIKA NA GANZI ZA MALA KWA MALA ZIMEK...
01/03/2022

CHANGAMOTO YA VIUNGO K**A UTE UTE KUISHA , MAUNGIO(JOINTS) YANAUMA SANA, MIFUPA KUSAGIKA NA GANZI ZA MALA KWA MALA ZIMEKUWA ZIKIWASUMBUWA WATU WENGI SANA

YAWEZEKANA N WEWE AU KUNA MTU UNAEMFAHAMU ANACHANGAMOTO HIYO BASI USISITE KUTUTAFUTA AU KUMAPATIA NAMBA ILI APATE SULUHISHO LA KUDUMU

TIBA IPO NA USHAURI NI BURE https://wa.me/255755467415. bonyeza link kutupata whatsap moja kwa moja

CHANGAMOTO YA VIUNGO K**A UTE UTE KUISHA , MAUNGIO(JOINTS) YANAUMA SANA, MIFUPA KUSAGIKA NA GANZI ZA MALA KWA MALA ZIMEK...
01/03/2022

CHANGAMOTO YA VIUNGO K**A UTE UTE KUISHA , MAUNGIO(JOINTS) YANAUMA SANA, MIFUPA KUSAGIKA NA GANZI ZA MALA KWA MALA ZIMEKUWA ZIKIWASUMBUWA WATU WENGI SANA

YAWEZEKANA N WEWE AU KUNA MTU UNAEMFAHAMU ANACHANGAMOTO HIYO BASI USISITE KUTUTAFUTA AU KUMAPATIA NAMBA ILI APATE SULUHISHO LA KUDUMU

TIBA IPO NA USHAURI NI BUREhttps://wa.me/255755467415. bonyeza link kutupata whatsap moja kwa moja

NILITESEKA NA TATIZO LA MIFUPA, JOINTS NA MGONGO KWA MIAKA MINGI HADI NILIPOIJUA SIRI HII!! Naitwa James. Nina umri wa m...
01/03/2022

NILITESEKA NA TATIZO LA MIFUPA, JOINTS NA MGONGO KWA MIAKA MINGI HADI NILIPOIJUA SIRI HII!!

Naitwa James. Nina umri wa miaka 47 sasa. Naishi Ukonga Dar es Salaam. Kwa kifupi sana ni kuwa nimepitia changamoto kubwa sana ya mifupa, joints na MGONGO kwa muda mrefu. Mwanzo haikuwa shida. Maumivu yalikuwa madogo. Hii ilikuwa ni miaka k**a 8 iliyopita. Mwaka jana tatizo likawa kubwa mno kiasi kwamba nikawa nashindwa hata kukaa vizuri.

Nilipata ushauri na "matibabu" kadhaa hospitali lakini sikufanikiwa. Nikatafuta matibabu sehemu nyingi lakini nikawa sioni mabadiliko makubwa. Nilikuwa napata nafuu ndiyo lakini ya muda tu. Baada ya mwezi tena maumivu yanarudi. Nikaanza kukata tamaa! Lakini miezi michache iliyopita nikaona makala moja hapa mtandaoni ikiongelea mambo ambayo mtu mwenye changamoto ya mifupa anapaswa kuyajua.

Nikaisoma na kujifunza sababu NYINGI SANA za kwa nini watu wanaendelea kuteseka na matatizo ya mifupa na joints! Sababu zingine niliona zinanihusu. Mfano kukimbilia DAWA ZA KUTULIZA MAUMIVU (pain killers) ambazo zenyewe zipo kwa ajili ya kumpa mhusika TEMPORARY RELIEF (nafuu ya muda tu) na siyo kudili na chanzo cha tatizo. Kingine walielezea kuwa watu wengi hawazingatii vitu vidogo k**a vile kiti anachokalia ofisini kipoje, mazoezi anayofanya yapoje na anafanya kwa KIPIMO kipi na kiwango na muda gani wa siku wa kuyafanya na ni lishe gani mhusika ale nk, Godoro analolalia na mito ipoje. Nk.

Lakini sasa huu ni mwezi wa tatu mfululizo nimeimarika sana. Naamini hadi mwaka huu uishe nitakuwa katika ubora mkubwa k**a enzi za ujana wangu! Naendelea na maelekezo yao na sasa nimerejea kwenye maisha yangu vizuri zaidi kazini na nyumbani pia k**a MUME WA MTU🔥🔥🔥

K**a wewe pia umehangaika k**a mimi kwa muda mrefu nakushauri watafute hawa wataalamu watakusaidia sana! Watumie neno MIFUPA NA JOINTS kwa WhatsApp namba yao https://wa.me/255755467415 utafikiwa kwa ukaribu

Address

Ulanga_ Morogoro _
Dar Es Salaam

Telephone

+255755467415

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya kwanza_Afya ndio msingi wa mafanikio yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya kwanza_Afya ndio msingi wa mafanikio yako:

Share