11/02/2017
Habari ya asubuhi, Tunapenda kuwakumbusha tunauza mbegu za kanga weupe pamoja na kuku wa Malawi,Uganda na Kenya pia tunatoa ushauri bure juu ya ufugaji wa kisasa kwa kuku wa kienyeji.
Kerosene Incubator zinapatikana pia kwa mahitaji ya Mayai 150 ni Tsh 750,000 na kwa Mayai 300 ni Tsh 1,200,000 karibuni sana
Kwa mawasiliano 0715-275276