20/04/2026
Unajua unachokula kina mchango mkubwa kwenye afya yako ya kila siku?
Bidhaa za KilimoFocus zimeandaliwa kwa umakini mkubwa ili kukupa lishe bora, ladha halisi, na ubora usiotiliwa shaka.
🥣 Kwa nini uchague bidhaa zetu?
✔️ Zimetengenezwa kwa malighafi bora na asilia
✔️ Zina virutubisho muhimu kwa mwili (hasa kwa familia nzima)
✔️ Ladha yake ni halisi na inaridhisha 😋
🚚 Na sasa tunakufuata ulipo!
Tunatuma moja kwa moja hadi kwa wateja wetu, kuhakikisha unapata popote ulipo.
📍 Pia zinapatikana katika maeneo yafuatayo:
1️⃣Royal Oven – (Mbezi Beach, Kawe, Kunduchi na Tangi Bovu)
2️⃣KilimoFocus Store – Bunju B
3️⃣Makona Store – Bunju B
4️⃣Himaflex Mini Market – Bunju B
5️⃣C&M Supermarket – Bunju A (Opposite Bunju A Primary School)
6️⃣ Mama Health Organic Shop-Dodoma (within City Mall)
💬 Chagua lishe bora leo – chagua KilimoFocus!
Afya njema inaanzia jikoni kwako 🍲
📞 Wasiliana nasi:
Simu: +255 762 821 330
📧 Email: [email protected]