30/05/2026
KilimoFocus Pure Honey – Utamu wa Asili kwa Familia Yako
Je, unatafuta asali halisi yenye ladha ya kipekee na ubora unaoweza kuamini?
KilimoFocus Pure Honey ni asali safi ya asili inayofaa kwa chai, uji, mikate, juisi na matumizi mengine ya kila siku. Ni chaguo bora kwa familia zinazopenda utamu wa asili na maisha yenye afya.
✨ Kwa nini uchague KilimoFocus Pure Honey?
✔ Asali halisi na safi
✔ Haijaongezewa sukari wala viambato vingine
✔ Ladha tamu ya asili inayopendwa na familia nzima
✔ Inafaa kwa matumizi ya kila siku
✔ Chaguo bora kwa wanaojali afya zao
📦 Inapatikana katika ukubwa wa:
🍯 500g
🍯 1kg
📍 Patikana:
• Royal Oven – Mbezi Beach
• Royal Oven – Kawe
• Royal Oven – Kunduchi
• KilimoFocus Store – Bunju B (karibu na Shule ya Msingi Bunju B)
📞 0762 821 330
📧 [email protected]
KilimoFocus Pure Honey – Utamu wa asili unaonogesha kila siku.