Jukwaa La Soko Na Biashara

Jukwaa La Soko Na Biashara Jukwaa La Soko Na Biashara ni Sehemu au mahali ambapo Tunatangaza na Kuuza Bidhaa mbali mbali K.m (V

Blender 4000.stainless steel n non sticky 2500Pan 2200Call 0718110604
22/01/2017

Blender 4000
.stainless steel n non sticky 2500

Pan 2200

Call 0718110604

12/05/2014

JE UNABIASHARA NA UNGEPENDE KUI-ADVERTISE NA KUIBORESHA????

09/05/2014

Kansiime Live On Citizen Tv

VIATU VIATU BEI NI NAFUU NA RAHISI MBONA UKOSE KIATU Viatu : Vya Kiume Na K**e kutoka kwa dada mmoja kutoka tanzania yup...
08/05/2014

VIATU VIATU BEI NI NAFUU NA RAHISI MBONA UKOSE KIATU

Viatu : Vya Kiume Na K**e kutoka kwa dada mmoja kutoka tanzania yupo hapa nairobi .na viatu vyake ni nafuu 1000 ila bei nikuelewana pia. anaetaka kununua basi wasiliana na number hizi +254736285415 au 0718110604.

Walio sehemu za mbali pia anaweza kuwatumia viatu kwa njia ya basi kwahio usikose viatu hivi kwa bei hii nzuri

07/05/2014

Nawatakieni Usiku mwema wenye baraka tele

07/05/2014

Jaribi Ku-add rafiki yako katika mtandao huu wa soko ili sote tuboreshane kibiashara.

shukran

07/05/2014

Karibuni sana jukwaa La Soko Na Biashara ,Page hii itakupa fursa ya kuweza kutangaza biashara yako pamoja na tajriba yako ya kazi .Ningependa kupata ushirikiano wa kila mmoja wenu ili tuweze kufanya jukwaa hili la amani na upendo pamoja na uzoefu wa kushiriki biashara mbali mbali.

Vyema ukiwa na tangazo lako la biashara na ungependa biashara yako wengi waijue na kuifahamu basi wasiliana nami katika inbox na nitaweza kukuboreshea biashara yako.

Sote tuungane Tufanye kazi kwa bidii na pamoja

asanteni

Address

Kenya &
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jukwaa La Soko Na Biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jukwaa La Soko Na Biashara:

Share