12/04/2019
*LOVE NATURE ALOVERA*
▪Hii ni bidhaa ya usoni kwa ajili ya watu ngozi ya combination na normal..au waliopata alergy + kujichubua.
▪Hii ni maalum kabisa kwa kutoa sumu kwenye ngozi ya uso...
Aloe vera hii hutumika kwa watu walioharibika uso yani waliotumia kemikali (lotion\cream za kuchubua) hurudisha ngozi katika hali yake ya kawaida.
▪mwambie mteja ukweli...ajue k**a alijichubua kuwa atarudia rangi yake ya asili.ajue tuu.
▪bidhaa hutumika pia kwa wenye alergy...matangotango usoni..au vipele na harara zinazotokana na allergy...
▪aloe vera hutumika usoni tu (skin care) only....mtu yoyote alojichubua akitaka bidhaa zetu muanzishie kwanza hii then akimaliza ndo utampa ya kumpendezesha huku akibaki na rangi yake asilia.
▪aloe vera huondoa harara, chunusi, kuungua au kuwa mwekundu kwenye ngozi ya uso....
✔Hii ni bidhaa ya asili iliotengenezwa kwa jani la mualovera..bidhaa asilia hufanya kazi taratibu na kiuasilia...tuwaeleweshe wateja..asije paka usiku then asubuh apate matokeo anayotaka..atumie hii mwezi 1...
⚠Epuka kemikali..huleta magonjwa...k**a kansa.