09/06/2023
🌟🌟🌟🌟SABA SABA OFA!!!!!🌟🌟🌟🌟
Kupata ofa ya Business/Brand Starter Pack kwa msimu huu wa siku kuu ya saba saba fuata hatua hizi:
1. Follow account yetu.
2. Like post hii.
3. Comment kwa kutag jina la biashara yako au ya mtu unaempendekeza ili aibuke mshindi.
Mshindi ni yule atakaepata tag nyingi.
Mshindi atapata bure kabisa huduma ya
1. Logo designing
2. Business Card designing.
3. Flyer (Kipeperushi (designing)
4. Poster (tangazo)
Karibu
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Unaruhusiwa kujipigia kura mara moja tu, kupata kura nyingi zaidi share post hii kwa ndugu jamaa na rafiki wakutag.