chimbo la pazia kali na vikali

chimbo la pazia kali na vikali Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from chimbo la pazia kali na vikali, Kariakoo mtaa wa SWAHILI na AGGREY, Dar es Salaam.

TUNAUZA PAZIA NZITO ZA KUSHONA KWA NYUMBA, OFISI, APARTMENT/HOTEL N.K
TUNAPIMA| TUNASHAURI| TUNAFUNGA BOMBA & PAZIA
DELIVERY IPO NA MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA
📍 KARIAKOO AGGREY NA SWAHILI

📞 0767002663 (call & Whatsapp)

07/06/2026

Cooking something for our boss

07/06/2026

Ready to go ‼️🔥 ready to deliver
Karibuni Sana kwa mapazia mazuri ya kisasa yanayokwenda na wakati yaani hapa kwetu hutojutia kabisa 🔥

07/06/2026

Pazia na carton ya bomba za pazia tayari kwa kusafiri kwenda kwa boss wetu unyamwezini 🔥🔥

Ready to go, off to unyamwezini 📍 Kaliua, TABORA

06/06/2026
06/06/2026

Hii sio tu pazia, ni statement inayojieleza yenyewe, unapoweka pazia plain ndani kwako uhitaji maelezo mengi kudhihirisha wewe ni yule uliye mbele ya muda, unayejari utulivu, unadhifu na kuthamini Muonekano wenye viwango vitakavyoishi kwa muda mrefu hii ni kwa sababu maajabu yaliyoko katika pazia plain hayajawahi kuwa na walakini kuanzia kuleta muunganiko nadhifu usiochosha machoni, kuiumba upya sehemu na kuipa maana halisi ya Muonekano wa kitajiri, kubalance mwanga na kuweka uwiano ndani ..... usipitwe na hili waridi Tajiri wahi Sasa uje ujichagulie rangi uipendayo tukushonee ukajionee maajabu halisi ya pazia hii Kali

PAZIA HII UTAIPATA KWA BEI YA;
🛑 Seti ya mita moja na nusu TSH 70k
🛑Seti ya mita mbili TSH 80k
🛑Moja ya mita moja na nusu TSH 25k
🛑Moj ya mita mbili TSH 30k

PIA TUNA HUDUMA YA:
✅Kutoa ushauri kuhusu uchaguzi wa bidhaa zetu
✅ Site visiting kwa ajili ya kuchukua vipimo n.k
✅Kufunga Bomba za pazia na kuweka pazia kwa ustadi

🛑 Tunashona pazia ya urefu/vipimo vyovyote kulingana na uhitaji wako mteja

☎️0767002663

📍 Kariakoo mtaa wa SWAHILI na AGGREY
‼️Kwa wakazi wa dar malipo ni baada ya kupata bidhaa yako na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Karibuni

03/06/2026

Oda ya boss wetu ikiwa imekamilika na tayari kwa ajili ya maandalizi ya kumfikia alipo, na wewe hujachelewa wahi sasa uje tukushonee pazia hii Kali ukajionee maana halisi ya pazia ya kitajiri iliyoshibilia uzuri, na ubora kwa viwango visivyosimulika .... karibuni Sana

PAZIA HII UTAIPATA KWA BEI YA;
🛑 Seti ya mita moja na nusu TSH 70k
🛑Seti ya mita mbili TSH 80k
🛑Moja ya mita moja na nusu TSH 25k
🛑Moj ya mita mbili TSH 30k

PIA TUNA HUDUMA YA:
✅Kutoa ushauri kuhusu uchaguzi wa bidhaa zetu
✅ Site visiting kwa ajili ya kuchukua vipimo n.k
✅Kufunga Bomba za pazia na kuweka pazia kwa ustadi

🛑 Tunashona pazia ya urefu/vipimo vyovyote kulingana na uhitaji wako mteja

☎️0767002663

📍 Kariakoo mtaa wa SWAHILI na AGGREY
‼️Kwa wakazi wa dar malipo ni baada ya kupata bidhaa yako na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Karibuni Sana

01/06/2026

Maandalizi ya kuhakikisha oda ya mteja wetu inakuwa sawa na kumfikia ikiwa vizuri kabisa 🔥🔥

Pazia hii imeisha ❌❌❌
Kwa mapazia mazuri ya kisasa yanayokwenda na wakati sehemu ni Moja tu hutojutia kabisa

Address

Kariakoo Mtaa Wa SWAHILI Na AGGREY
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when chimbo la pazia kali na vikali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share