21/12/2017
APARTMENT YA KUPANGA
MAHALI: KIMARA S**A
BEI: TSHS 300,000 kwa mwezi
UMBALI: 1 km kutoka barabara kubwa
VYUMBA:
2 vyumba vya kulala, 1 chumba master
1 sebure
1 Jikoni
1 choo cha ndani
HUDUMA:
Maji ya Dawasco
Umeme kutoka Tanesco, luku kila mtu yakwake
Feni kwenye kila chumba
SIFA ZA NYUMBA:
Sakafu: Tiles
Madirisha: vioo ina fremu za aluminium
Mlango: Mbao
Dari: Gypsum
Site works:
Fensi ya matofali ya simenti .
Zege kwenye eneo linalozunguka nyumba
CALL
0716117673/0763483216
EMAIL
[email protected]