Maliti welding fabrication

Maliti welding fabrication Deals with
-All steel furniture and welding fabrication
TUPO UBUNGO DAR ES SALAAM
0715154653

26/05/2026
25/05/2026

-Bei za vitanda zinanzia 160,000 na kuendelea

-Free delivery kwa wakazi wa Dar es salaam Tu kwa mkoani utalipia garama za kutumiwa mzigo

-Kwa vitanda vya oda mteja anapaswa kulipia kiasi kisichozidi 50,000 ili kuweka uwakika wa kuchukua kitanda, ndiyo kazi ianze, lakini kwa vitanda vilivyopo tayari malipo ni baada ya kupokea bidhaa yako

-Tunapaka redoxide na prema kwanza kabda ya rangi kwa ajili ya kuzuiya kutu ata kikinyeshewa na mvua haipati

-vitanda vyetu tunapuliza rangi za tiner na za dawa kwa mashine hatupaki rangi kwa mkono

-Vitanda vipo tayari na baadhi ni kwa order ya siku 1 hadi 5 kulingana na ratiba na urembo wa kitanda na unaletewa kitanda mpaka ulipo na kukifunga kwa garama hiyo hiyo

-Tunapatikana Dar es salaam ubungo external barabara ya kuja maji chumvi tupo karibu na shule ya makamba hapa jeshini

Pia tunatengeneza bidhaa yoyote ya chuma
1)Madirisha
2)Milango
3)Mageti
4)Roller shutter door
5)Kupauwa kwa chuma
6)vitanda
7)furniture za chuma
8)n.k

-KARIBUNI SANA
Follow account yetu ili kuwa wa kwanza kupata mambo mazuri zaidi kutoka kwetu

23/05/2026

Asante mbezi beach 🔥

22/05/2026

21/05/2026

Shelves za store zikiwa zimekika kwa mteja wetu 🔥🔥 kwa mahitaji ya vitu vizuri k**a ivi wasiliana nasi
Call/whatsapp
0715154653

21/05/2026

Kitanda cha chuma Ukubwa 5 kwa 6
tsh 300,000 usafiri ni bure kwa dsm

21/05/2026

Kazi ya shelves ikiwa imefika kwa mteja

18/05/2026

Kazi ya shelves ikienda kwa mteja 🔥🔥

14/05/2026

Duka la mteja wetu aliyetuamini na kutupa kazi likiwa limekamilika kwa 90% karibuni sana ujipatie kilicho kizuri na imara

14/05/2026

Leo wateja wamekuja kuchua order zao wenyewe k**a mnavyowaona 🔥🔥🙏🤝

12/05/2026

Double decker ya hostel ya ukubwa wa 4 kwa 6 ikipelekwa kwa mteja kimara s**a

Address

Mawasiliano
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00

Telephone

+255715154653

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maliti welding fabrication posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maliti welding fabrication:

Share