05/03/2026
Ladies and gentlemen, Content creators, vloggers na wafanya biashara tumewaletea wireless mics hizi hapa nzuri sana!!
Features
Ziko mic mbili ndani unatumia wewe na mwingine yoyote ulie nae wakati!!
Ziko na iphone na type C adapter humo humo kwa pamoja , unatumia kwa simu zote iphone na android !!
Zina sound filter nzuri sana , zinachuja kelele , unaskika vzuri kabisa!!
Zinakaa sana na charge
Bei 25,000 single , 30,000 tshs double tu , wahi sasa ziko chache !!
Tuko kariakoo , China plaza 2nd floor duka namba 236!!
Tupigie 0747960771 ☎️
Tunafanya delivery dar na mikoani 🤝