08/07/2025
Siku ya leo wanahitajika Vijana wenye Umri WA miaka 35 kushuka chini Kwa ajili ya sales& Customer care (wakiume&kike)
Watokee maeneo ya Tabata, Gongo la mboto,UBUNGO,,Temeke& kinyerezi &Mabibo
MAELEZO: Asubuhi Maelezo zaidi yatatolewa Kwa kina jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii ili kujiingizia kipato
VigeZo
Wawe na simu kubwa
MAHALI PA KUFIKIA NI MAJUMBASITA (UKONGA)
MAWASILIANO 0754655910