Fursa Nzuri

Fursa Nzuri Tunakusaidia Kujenga Uwezo Wa Kuishi Maisha Yenye Afya na Furaha Zaidi.
[Geuza Changamoto Kuwa Fursa]

WE HAVE A BRAND NEW DIRECTOR MR EDMUND MUSHI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥NYIEEEEEEE AM SO HAPPY FOR YOU…EDMUND NI MWALIMU ANAYEFANYA HII BAISH...
04/05/2026

WE HAVE A BRAND NEW DIRECTOR MR EDMUND MUSHI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥NYIEEEEEEE AM SO HAPPY FOR YOU…EDMUND NI MWALIMU ANAYEFANYA HII BAISHARA KWA MUDA WAKE WA ZIADA…HONGERA SANA SANA KIONGOZ KWA KAZ NZUR,MCHAPAKAZ USIYECHOKA..AM SO PROUD OF YOU KEEP GOING UNAWEZA ZAID YA SANA UPCOMING WORLD TEAM🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

24/04/2026

Hongera sana my sweetheart Venosa Kimati 🎉🚗 Umeonyesha kuwa inawezekana kabisa kuwa chochote unachotaka ukiweka nia, juhudi na msimamo thabiti. Nakumbuka ulivyosema unapenda magari mazuri na uko tayari kufanya biashara kwa bidii leo umeanza kuona matunda yake 🙌 Hii ni hatua kubwa sana, na ni ushahidi kwamba ndoto zinatimia kwa wakati wake kwa wale wanaochukua hatua. Biashara hii kweli inaweza kukupa unachotaka, inategemea wewe unataka nini na unaamua kuchukua hatua lini Endelea kung’ara, hii ni mwanzo tu wa mafanikio makubwa zaidi 🔥💪💪💪😘😘😘🙏🙏🙏


💥💎

Anaitwa Lawi Mwenda ni daktari kwa taaluma. Alianza biashara kwasababu alikuwa anataka kulipa ada ya chuo    Ana biashar...
22/04/2026

Anaitwa Lawi Mwenda ni daktari kwa taaluma. Alianza biashara kwasababu alikuwa anataka kulipa ada ya chuo Ana biashara Tanzania na Uganda. Lawi alifundishwa Biashara na mwanachuo mwenzake ambaye Aliacha biashara kwasababu tu Lawi alikuwa director kabla ya upline wake. Akamwambia kwamba yeye hawezi kufanya hii biashara kwasababu Roho Mtakatifu kamwonesha hii sio biashara sahihi kwake😂😂😂
Aliendelea kujenga biashara Hadi kuweza kumaliza masomo yake kikubwa Lawi anapenda Lifestyle.
Kuwa tuu serious na biashara itakulipa one day.... K**a hujaanza Biashara it's your time📌

Anaitwa Husna Ni Diamond Director 💎 Alianza chini sana… k**a mwanafunzi wa chuo…hakuna aliyemuona, hakuna aliyemuamini, ...
21/04/2026

Anaitwa Husna
Ni Diamond Director 💎
Alianza chini sana… k**a mwanafunzi wa chuo…hakuna aliyemuona, hakuna aliyemuamini, wengi sana walimkatisha tamaa…lakini hakuacha.💪🏾🔥
She kept showing up, hata siku ambazo mambo hayakuwa yanaenda sawa.

Alijituma kimya kimya, akapitia changamoto nyingi… but she refused to quit.
Na leo hii ni ushahidi kwamba consistency inalipa. 💸✨

Hii ni Bonus yake ya Diamond Director plus step up Bonus ambayo amepata mwezi wa tatu… yawezekana kwako ikawa ni kitu kidogo au cha kawaida ila kwake yeye hii ni kitu kikubwa sana ukizingatia alianza hii biashara akiwa anatafuta 50,000 tu k**a pocket money…
📌This is proof kwamba ndoto zinawezekana ukiamua kusimama imara.

Husna anamshukuru sana Mungu kwa kumsaidia kuielewa hii biashara kwa kumwongoza na kumpa nguvu ya kuifanya hii biashara
Anashukuru sana management yote ya Neolife International na Mfumo mzima WA Biashara hakika we are in the best company ever…LAKIN PIA AMEKUA NA VIONGOZI MAKINI WALIOMLEA NA KUMFUNDISHA NA KUMWONGOZA KWENYE KILA HATUA....
SO, Hata wewe unayefikiria itakuwaje utapata Uongozi utakaokusaidia Kufikia Malengo Yako

KIKUBWA KULIKO VYOTE NDIO KWANZA KAZI IMEANZA YUKO SUPER CHARGED….yajayoooo yanafurahisha sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥

If she did it, I can do it and you can do it too. 🚀🤍

21/04/2026

Mungu yupo kazini, hata pale ambapo huoni matokeo bado.
Endelea kusonga mbele kwa imani, jitihada zako hazipotei.
Kila siku ni nafasi mpya ya kusogea karibu na mafanikio.


💥💎

MAFANIKIO YANAANZIA KWENYE AKILI YAKO, NA UKIAMUA KUJIFUNZA, UKAWA NA UTHUBUTU TU UTAONA MAMBO YANABADILIKA ILA UKITULIA...
20/04/2026

MAFANIKIO YANAANZIA KWENYE AKILI YAKO, NA UKIAMUA KUJIFUNZA, UKAWA NA UTHUBUTU TU UTAONA MAMBO YANABADILIKA ILA UKITULIA BILA KUFANYA MAAMUZI HAKUNA KITAKACHOBADILIKA 📌
HATA WEWE UNAWEZA SANAA

Kutoka Kuwa Wakala Msajili Laini Mpaka kuwa Mfanyabiashara Wa KimataifaKILA MTU ANAWEZA 📌
20/04/2026

Kutoka Kuwa Wakala Msajili Laini Mpaka kuwa Mfanyabiashara Wa Kimataifa

KILA MTU ANAWEZA 📌

13/04/2026

HABARI YA MUHIMU SANAA KWA WANAWAKE WAAJIRIWA.HII NI STORY YA MAMA MMOJA MPAMBANAJI ANAITWA ZUBEDA KICHAWELE MWANAMKE MWENZENU ALIEKUWA AMEAJIRIWA K**A AFISA ARDHI MANISPAA YA KINONDONI !
ALIHANGAIKA SANAA KUFUNGUA BIASHARA NYINGIII WAKATI YUKO KAZINI ZIKAWA ZINAKUFA KWA SABABU YAKUKOSA UANGALIZI WA KARIBU!
BAADAE ALIKUTANA NA BIASHARA AMBAYO UNAWEZA KUIFANYA UKIWA UKO BUSY KWENYE AJIRA YAKO NA UKATENGENEZA BIASHARA KUBWA SANAA!
KUANZIA 2018 AMEAMUA KUTOA USHAURI KWA WANAWAKE WENZAKE WAAJIRIWA KUFANYA BIASHARA AMBAYO UNAWEZA KUIFANYA SERIOUS UKIWA KAZINI NA UKABADILISHA MAISHA YAKO KABISAA NA UKAACHANA NA KUIBIWA NA KUINGIZA HASARA ZA KILA SIKU.
NJOO WHATSAAP NIKUFUNDISHE NA KUKUSIMAMIA KWENYE HII BIASHARA.WAHATSAPP NAMBA 0768352110

Kuna mwanamke wengi wanapitia mengi kimya kimya… Kodi inabana, umeme unakata, mahitaji ya nyumbani hayaishi, na wakati m...
13/04/2026

Kuna mwanamke wengi wanapitia mengi kimya kimya…

Kodi inabana, umeme unakata, mahitaji ya nyumbani hayaishi, na wakati mwingine unajikuta umeingia kwenye mikopo ili tu maisha yaendelee.

Unapambana, lakini kipato hakitoshi.

Unategemea mtu… au unasubiri muujiza.
Lakini ukweli ni huu 👇

HAULAZIMIKI KUISHI HIVYO MILELE.
Kuna njia ya kutoka.

Kuna fursa ya kubadilisha maisha yako kwa kuanza biashara hata kwa mtaji mdogo 💼

👉 Ukianza hatua sahihi:

Unaweza kutengeneza hadi Milioni 1 kwa mwezi

Unapata faida kila siku kupitia mauzo
Unajenga kipato cha kudumu

Unaweza kufikia malengo makubwa hadi kujenga utajiri wako (billion zako)

Na yote haya bila kumtegemea mwanaume

Hata ukitumia muda wako wa ziada tu
Hii sio hadithi… ni watu wanapiga hatua kila siku! 🔥

SASA NI ZAMU YAKO.
Leo nina OFa
MAALUM kwa WANAWAKE 10 tu watakaochukua hatua mapema

Nitakushika mkono hatua kwa hatua mpaka uanze kuona matokeo.

📲 Tuma neno BIASHARA WhatsApp kupitia: 0768352110

Usikose nafasi hii!
Usikae na shida wakati suluhisho lipo mikononi mwako.

ANZA SASA. MAISHA YAKO YANASUBIRI UAMUZI WAKO.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa Nzuri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Business?

Share