Amarison Consultancy Limited

Amarison Consultancy Limited Working hours : 0800-1700hrs
Monday-Sunday

Wacha nikuambie ukweli ambao hujawahi kuusikiaKisukari ni tatizo la kiafya linalotokana na changamoto za seli  mwilini k...
28/01/2024

Wacha nikuambie ukweli ambao hujawahi kuusikia

Kisukari ni tatizo la kiafya linalotokana na changamoto za seli mwilini kufanya kazi zake kwa ufanisi

Kila mwenye Kisukari ana tatizo la seli kwenye kuchakata glucose na kwenye kuzaiisha insulin

Beta cell ndio kiini mama kinachoweza kuathirika kikishindwa kutimiiza majukumu yake mwilini kutokana na uhaba wa madini mwilini yaani mineralogical deficiency

Kupoteza mawasiliano yaa baadhi ya seli mwilini kusoma misimbo ya seli kutokakana na mfumo wa umeme mwilini kuathiriwa hupelekea ufanisi haba wa beta cell na mawasiliano ya cell nyingine mwilini matokeo yake KIWANGO CHA SUKARI huzidi kwenye damu

Sasa sikia hii beta cell zinakaa kwenye kongosho ndio zinazozalisha insulini ukiwa na Kisukari kongosho halijafa ni beta cell zinapitia changamoto hizi

Zimegoma kuzalisha homon ya insulin

Zinazalisha homon ya insulin ila cell za mwili zinagoma kuipokea hiyo insulin hatimaye glucose haingii kwenye seli na kusababisha kiwango cha juu cha sukari

Zimezungukwa na mafuta hazipati oksijen hatimaye hazizalishi insulini

Uhaba wa madini maalumu yanayochochea ufanisi wa seli mwilini na uzalishaji wa umeme wa mwili

Sasa wewe endelea kujifanya mbishi wakati wenzako wamegundua bakora ya kupambana na Kisukari ni AL JAWAFA na wamebadili maisha yao

Wewe ni mgonjwa wa Kisukari punguza ujuaji tusikilize tunachokuambia tunakupenda tunakujali na kukuthamini

AL JAWAFA imethibitishwa na TBS na MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI kuwa haina madhara kwa afya ya mlaji na IMESAJILIWA NA WIZARA YA AFYA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Punguza ubishi na ujuaji waliotumia AL JAWAFA sasa wanaongea lugha nyingine kuhusu KISUKARI

Tumeamua kukuelezea ukweli ili tukishinde kisukari

Ulishawahi kujiuliza kwa nini una kisukari halafu

vidonda haviponi?

Una uoni hafifu?

Wingi wa sukari isiyodhibitiwa hufyonza madini na virutubisho mwilini mwako na huua cell mbalimbali zinazosaidia uponyaji mwilini

Acha ubishi AL JAWAFA ni suluhisho

Bei ya dawa ni Tsh30,000 chupa moja kwa matumizi ya mwezi mmoja dozi kamili chupa nne kwa matumizi ya miezi 4

Kwa ushauri na mawasiliano tupigie simu +255752444667

AMARISON HERBS
Dawa zenye Matokeo

Dawa asili ya vidonda vya tumbo kwa mahitaji piga simu +255752444667
24/01/2024

Dawa asili ya vidonda vya tumbo kwa mahitaji piga simu +255752444667

12/12/2023

Kisukari kinakusumbua ? Tupigie 0752 444 667 kwa huduma

12/12/2023

AL JAWAFA suluhisho la ugonjwa wa kisukari

12/12/2023

AL JAWAFA suluhisho la ugonjwa wa Kisukari

Sehemu ya pili Shinikizo la juu la damu yaani high blood pressure Tuendelee tulipoishia baada ya mapumziko kidogoKila se...
23/09/2023

Sehemu ya pili

Shinikizo la juu la damu yaani high blood pressure

Tuendelee tulipoishia baada ya mapumziko kidogo

Kila seli mwilini kwa ndani ina bahari ya maji baridi na nje ina bahari ya maji chumvi

Ili binaadamu awe na afya njema kunatakiwa kuwe na uwiano uliosawa baina ya bahari ya nje ya chumvi ya seli na ile bahari ya ndani ya majibaridi ya seli.

Sasa hapa unatakiwa uelewe kuwa chumvi ndio huyashikilia na kuyalazimisha baadhi ya maji yabaki nje ya seli na kitendo hicho hujulikana k**a osmotic retention

Sasa mwili unapokuwa katika upungufu wa maji , maji ya ndani ya seli hushikiiwa na potashiamu

Ikiwa una tabia ya kutokunywa maji kila siku au kukaaa na kiu kwa muda mrefu kinachotokea ni mwili kuongeza kiwango cha maji chumvi kwenye bahari ya nje ya seli sasa hapa unatakiwa uelewe kuwa bahari ya nje ya maji chumvi ya seli itajaa na kwa kuwa hunywi maji bahari ya ndani ya majibaridi itapungukiwa na hali ya mwili kujisikia vibayabaya huanzia hapo

Sasa hapa tu tunaanza kujifundisha kuwa unywaji mzuri wa maji ni faida kubwa sana kwa kuweka sawa uwiano wa shinikizo la damu

Tuendeleee sasa kitakachotokea ni kuwa mwili wa mwanadamu sasa utazalisha homoni maalum iitwayo Vasopressini hii homoni ndio inaenda kufanya kazi ya kuyachuja maji ya bahari ya chumvi ya nje ya seli na kuyachoma maji hayo ili yawe majibaridi yaingie ndani ya bahari ya majibaridi ya seli na kuweka uwiano uliosawa baina ya majibahari ya chumvi nje ya seli na majibahari ya baridi ndani ya seli na kurejesha uwiano uliosawa

Sasa hapo utakuwa umenielewa namna mwili unavyofanya kazi ya kujibalansi wenyewe?

Sasa shughuli iko hapa wakati mwili ukifanya hayo kwa wewe kuzembea kunywa maji vizuri hiki ndio kinachotokea ili mchakato wote huo ukae sawa

Sasa hapa soma kwa utulivu sana

Kumbuka mwanzo nimekuelezea kuwa kuna homoni ya *Vasopressini* huzalishwa kuchochea huo mchakato wa kuyachuja majibahari nje ya seli ili yaweze kuchujwa na kuingia ndani ya majibahari ya baridi ndani ya seli hali hiyo husababisha hiki kutokea ambacho ni chanzo kikuu cha shinikizo la juu la damu

Vasopressini husababisha kapilari na mishipa ya damu kujikaza au kupungua vipenyo vyake na kukupatia wewe shinikizo la juu la damu ambalo ni muhimu mno katika hatua ya kuyachoma majibaridi ndani ya seli kutoka bahari ya maji ya chumvi iliyo nje ya seli

Na iwapo ikitokea mishipa ya damu itagoma kupunguza vipenyo vyake basi kitakachofanyika ni hiki

Baadhi ya gesi itaachana na damu ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi kutokana na kupungua umajimaji mwilini na hatimaye kusababisha msongamano wa gesi jambo ambalo husababisha ugumu wa damu kutiririka ipasavyo na kukusababishia wewe shinikizo la juu la damu

Ni kawaida kwa mfumo wa mwili kujirekebisha wenyewe ili uendelee na ufanisi wake ila lazima utakuachia madhara tu k**a hayo

Mfumo huu wa urekebishaji wa vipenyo vya mishipa ya damu kujirekebisha kwa ajili ya mzunguko wa damu kwa baadhi ya gesi kuachana na damu ndio mtindo ambao unaotumika zaidi wa kihaidroliki wakati ambapo mzunguko wa damu mwilini umejirekebisha kuendana na kiasi cha umajimaji kinachopatikana ndani ya damu.

Hadi kufikia hapa utakuwa umuhimu wa kunywa maji katika maisha ya kila siku na yalivyo msaaada mkubwa sana kwa shinikizo la juu la damu

Mungu amesema na amejaalia uhai kutokana na maji

Tuwe na desturi bora ya unywaji maji ni njia ya kwanza ya kujikinga dhidi ya shinikizo la damu usipendelee kunywa maji ya ubaridi wa jokofu sio mazuri

Nimesema unywe maji sio Soda wala juisi wala chai au alkasusu au tangawizi maji ni maji hayana mbadala

Usikose sehemu ya tatu somo litaendeleaa

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi kwa simu

Dr Kassim Amarison

+255752444667

Amarison Herbal

Shinikizo la juu la Damu yaani high blood pressure Je wajua kuwa mwili wako unapokosa maji na kiwango cha chumvi kikipun...
23/09/2023

Shinikizo la juu la Damu yaani high blood pressure

Je wajua kuwa mwili wako unapokosa maji na kiwango cha chumvi kikipungua mwilini ndio chanzo kikuuu cha shinikizo la juu la damu?

Ngoja nikuhabarishe ili ujue zaidi na uweze kuwasaidia wenye Shinikizo la juu la damu

Je ni nini Shinikizo la juu la damu?

Kabla sijakwambia maana yake leo nataka kukujuza kitu huenda hujawahi kukusikia kuhusu HIGH BLOOD PRESSURE

Kwanza lielewe neno pressure

Kimombo wanasema

Pressure is a force acting normally per unit area

Hiyo ni ile maana ya kifizikia

Kwa kiswahili husema

Shinikizo ni nguvu inayofanya kazi kawaida kwa kila kitengo cha eneo

Sasa ili Shinikizo litokee lazima kuwepo kwa

Kinachosukumwa au kugandamizwa na kinachosukuma au kugandamiza

Kuwepo kwa hivyo vitu bado hakufanyi Shinikizo kutokea hadi iwepo sababu ya mgandamizo

Hadi hapo utakuwa umeshaona maana ya Shinikizo ni nini kilugha sasa hebu tuangalie Shinikizo katika mtazamo wa afya na tiba

Kitiba tukiongelea shinikizo la damu tunamaanisha ni ule uwezo wa damu kusukumwa na moyo na kusafiri kwenye mwili wa mwanadamu bila kipingamizi chochote kile

Shinikizo la kawaida la damu ni 110/70- 120/80 kwa mtu mzima na kwa mtoto aliyezaliwa au mtoto mdogo husimamia 75/40

Hilo hapo juu ni shinikizo la kawaida vile damu inavyosukumwa mwili na kutiririka katika mishipa ya binaadamu bila kikwazo wala usumbufu

Sasa tumeona kinachosukumwa ni damu hebu tuangalie kinachosukuma nacho

Moyo ni kiungo muhimu sana mwilini mwa mwanadamu kwani hufanya kazi kubwa ya kusukuma damu ili ienee mwili mzima katika mfumo wa damu hivyo kila moyo ukitweta yaani ukipiga hufanya kazi hiyo na damu inaposambazwa ndio hewa safi oksijeni mwilini huenea kwa seli zote na inavyosambazwa ndivyo pia huchujwa na ogan nyingine za mwili kisha hurudi kwenye moyo na kusukumwa tena

Saaa moyo kwa kawaida una mapigo ya moyo hayo mapigo kwa mtu mzima yakiwa kawaida ni 60-100 na kwa mtoto mdogo huwa ni 90-180

Nataka nikurudishe kwa Mungu kidogo umeona mapigo ya moyo ya mtoto na mtu mzima? Umejifunza nini?

Ukizaliwa moyo huwa kwa kiwango cha juu kufanya kazi kadri umri unavyosogea na mapigo hupungua sijui umeliona hilo? K**a ndio basi elewa maisha ya mwanadamu ni mafupi sana hapa dunia ishi na watu kwa wema na muabudu sana Mungu wako kwa kila nafasi ya kuishi uliyonayo

Sasa turudi kwenye mada

Baada ya kuona kuhusu shinikizo la kawaida la damu kwa mtu mzima na mtoto na baada y kuona moyo unavyofanya kazi na mapigo yake kwa mtu mzima na mtoto sasa basi hebu tuangazie ni nini maana ya Shinikizo la juu la damu

Kumbuka ili shinikizo litokeee ni lazima kuwepo na kisukuma,kisukumwa na sababu ya kusukumwa

Hapo juu tumeona moyo ni kisukuma damu , damu ni kisukumwa na sababu ya hilo ni damu na hewa safi na sumu mwilini ziweze kuchujwa na damu safi itumike mwilini

Sasa tuendeleee na shinikizo la juu la damu ili tuliewe

Shinikizo la juu la damu ni ile hali ya kuongezeka kwa msukumo wa damu kutoka hali ya kawaida na kwenda kwenye hali isiyo ya kawaida ya juu.

Shinikizo la damu la juu kwa mujibu wa vipimo vya kitabibu husoma kwa kiwango cha kuanzia 135/85 ikishaanza kusoma hivi maana yake shinikizo la juu la damu linakunyemelea na zaidi ya hapo hiyo ni hatari

Kwa nini Shinikizo la juu la damu hutokea?

Sasa hapa unisikilize kwa umakini sana maana ndio kwenye kiini kikuu cha tatizo na ndio sababu kuu ambayo hujawahi kuisikia wala kuambiwa

Shinikizo la juu la damu hutokea kwasababu kubwa moja nayo ni upungufu wa kiwango cha maji na chumvi mwilini

Sasa zipo sababu mbalimbali ndogondogo zinazosababisha hali hiyo kutokea ila kiini kikuu ni hicho nilichokitaja

Twende taratiibu nikufahamishe kivipi?

Kwanza unatakiwa kuelewa 75% ya mwili wa mwanadamu unahitaji maji ili uweze kusihi na kufanya kazi zake na maji haya yanachukua nafasi kubwa sana kwenye damu kwani takribani asilimia 94 ya damu ni maji.

Sasa ndani ya mwili wa mwanadamu kuna bahari mbili za seli nazo ni seli ya bahari ya maji ya chumvi na seli ya bahari ya maji ya baridi

Sasa hapa ndio somo linaenda kuanza kuhusu chanzo kikuu cha shinikizo la juu la damu ili nisikuchoshe soma hii kisha tupate mapumziko kidogo

Itaendelea sehemu ya pili usikose

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi kwa simu

Dr.Kassim Amarison
+255752444667

Amarison Herbal

23/09/2023

Shinikizo la juu la damu jisomee hii ujue zaidi

Je wajua?Hili ndilo usilolijuwa kuhusu saratani yaani cancerLishe bora huokoa binaadamu wengi kupata changamoto ya kensa...
19/09/2023

Je wajua?

Hili ndilo usilolijuwa kuhusu saratani yaani cancer

Lishe bora huokoa binaadamu wengi kupata changamoto ya kensa

Ungana nami kwenye hii makala chambuzi kutoka kwenye chanzo cha Newhope Network

Soma uelewe uwajuze wengine

Tuanze kusoma taratiibu kwa pamoja

Hakuna mtu anayeweza kukataa umuhimu wa lishe katika kukuza afya njema na kuzuia magonjwa sugu, pamoja na saratani.

Kulingana na Taasisi ya Marekani ya Utafiti wa Saratani na Hazina ya Utafiti wa Saratani Duniani, asilimia 30 hadi 40 ya saratani zote zinaweza kuzuiwa kwa mlo ufaao, mazoezi ya kimwili na kudumisha uzani mzuri wa mwili.

Kwa miaka mingi, wanasayansi wamekuwa wakitafuta mawakala mahususi kwa bidii katika uhusiano wa magonjwa ya lishe ili kuwaongoza watumiaji kuelekea lishe bora ya kuzuia saratani.

Ushahidi unaoongezeka unaonyesha kwamba mboga za jamii ya Brassica ikiwa ni pamoja na broccoli, kale, koladi, mboga ya haradali, kabichi, cauliflower na vyakula vingine vingi katika familia hii kubwa ya mimea-huenda ikawa kati ya washirika wetu bora wa kuzuia aina mbalimbali za saratani.

Uuhusiano wa saratani na lishe katika
maendeleo ya kimatibabu yamesaidia kupunguza vifo vitokanavyo na saratani tangu miaka ya 1990, lakini kifo kimoja kati ya vinne nchini Marekani bado kinatokana na saratani.

Kosa kubwa zaidi hadi watu hupata saratani ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kuwa kukosekana ulinzi bora wa miili ya mwanadamu utokanao na lishe sahihi.

Lakini ulinzi mzuri wa kujizuia na saratani ni upi huo?

Ndugu msomaji usichoke kuisoma hii maana siri nyingi ziko kwenye maandishi ukiisoma hii utanusuru maisha yako na ya wengine

Naam tuendelee

Kuna makubaliano ya jumla kwamba mlo una jukumu kubwa katika maendeleo ya matatizo makubwa ya afya, ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa moyo, saratani, kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya macho na ugonjwa wa matumbo.

Mojawapo ya mambo ya kawaida katika ukuzaji wa ugonjwa sugu ni uharibifu wa vioksidishaji

Uharibifu wa kioksidishaji hutokana na michakato ya kawaida ya kimetaboliki lakini pia huathiriwa na mtindo wa maisha (kuvuta sigara, lishe, madawa ya kulevya. ) na uchafuzi wa mazingira.

Uharibifu hutokea wakati mfumo wa asili wa ulinzi wa antioxidant wa mwili hauwezi kujilinda vya kutosha dhidi ya kiwango cha sumu kinachozalishwa na kujilimbikiza kwenye miili yetu

Vyakula vya mimea vina vijiuasumu vingi, na mara nyingi hufikiriwa kuwa vijiua sumu hivi hulinda dhidi ya uharibifu wa oksaidi na kusaidia kuzuia magonjwa.

Walakini vijiuasumu hivi vinapotengwa na vyakula, vijiuasumu, k**a vitamini na madini, havioneshi faida sawa za kinga zinazohusishwa na vyakula vyote katika masomo ya lishe ya magonjwa.

Hii imeoneshwa katika tafiti za kiuchunguzi kuwa vijiuasumu hivi vikitengwa na kuliwa tofauti na kwenye chanzo chake k**a vile vitamini E na C, au beta-carotene, ambayo huliwa nje ya chakula ambacho ndio chanzo chake imeshindwa kuonesha manufaa ya kuimariaha afya ya kinga wakati zikiliwa peke yake tofauti zikiliwa zikiwa ndani ya chakula chake halisi

Utafutaji wa "risasi ya kuumaliza ugonjwa" moja au mbili katika vita dhidi ya magonjwa inaweza kuwa bure kabisa k**a hatutawafahamisha wanaadamu ulaji ulio sahihi.

Vyakula vya mimea k**a vile nafaka, njugu, mbegu, matunda na mboga huwa na maelfu ya viambata amilifu kibiolojia—ambavyo mara nyingi huitwa phytochemicals au phytonutrients ambayo hua na athari njema kiafya iwapo vitatumiwa kwa usahihi wake

Matunda na mboga huwa na angalau aina mia kadhaa za vioksidishaji, ambavyo vina enzymatic na nonenzymatic. vipengele vinavyozuia uundaji wa mionzi hatarishi katika miili yetu, au kuiondoa mionzi hiyo kabla ya kusababisha uharibifu wa vioksidishaji, kurekebisha uharibifu, kuondoa molekuli zilizoharibika na kuzuia mabadiliko ya seli yenye kuathiri miili yetu

Michanganyiko mingi ya kibiolojia katika mimea ina taratibu za utendaji zinazosaidiana na zinazoingiliana ambazo hulinda afya ya binadamu dhidi ya ukuaji wa magonjwa.

Huenda umesoma ila kuna vitu hukuelewa nikusaidie hivi

Mimea huwa na madini na kemikali zake za asili ambazo husaidia ufyonzaji na uchakataji wa mfumo wa chakula mwilini na uingiliaji wa vitamini mwilini kwa ajili ya kwenda kuimairisha mfumo wa seli kukabili maradhi na kuua mionzi mbalimbali mwilini mwetu yenye athari mbaya

Hapo juu kuna maneno ya kisayansi yametumika na mimi natala uelewe ndio maana nimekuandikia lugha nyepesi mno

Sasa hii mimea ukiitumia k**a yenyewe ikiwa imehakikiwa ubora na usalama wake kwa mlaji ina faida lukuki kuimarisha mfumo wetu wa kinga na seli kwa ujumla dhidi ya uimara wa afya na mwili

Tuendelee na somo hili naamini sasa umenielewa

Ushahidi mwingi wa kisayansi unabaini uwepo wa kemikali dawa za asili za hii mimea jamii ya kabeji

Hivyo ulaji wa hizi mbogamboga k**a brocoli,kale,kabichi na kolimaua yaani cauliflower ni msaada mkubwa katika kuzuia maradhi mbalimbali ikiwemo na kensa mbalimbali kwasababu mimea hii ina kiwango kizuri cha glucosinolates ambayo ni muhimu mno kwa kuimarisha afya na ulinzi wa mfumo wa kinga kudhibiti maradhi mbalimbali

Ndugu yangu lengo sio kukuchosha wewe kusoma hii makala

Lengo ni kutaka kuonesha kuwa kuna mbogamboga ambazo hutumika kuliwa mno ughaibuni huko kujikinga na maradhi ilihali sisi huku tunazo na tunazipiga take

Sasa kuanzia leo usikose kula cauliflower, brocoli,kale na nyingine mfano wa hizi Kitaalam tunaziita mbogamboga jamii ya kabeji ziko nyingi sokoni

Pole kwa kusoma habari hii njema ndefu naamini utakuwa umeongeza kitu katka maisha yako

Shukran

Kwa ushuri na tiba wasiliana nasi kwa simu

+255752444667
Dr Kassimu Amarison

Mitishamba kwa Afya

Amarison Herbal

Aljawafa Dawa asili ya kisukari iliyosajiliwa na Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndio suluhisho la Kis...
19/09/2023

Aljawafa Dawa asili ya kisukari iliyosajiliwa na Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndio suluhisho la Kisukari.

Ukitaka kujua zaidi ukweli uliofichwa kuhusu kisukari soma hii hadi mwisho

Je, wajua kuwa kisukari kinatibika ukielewa kisukari chako kikoje

Je wajua kuwa huu ni ukweli waliofichwa wagonjwa wa kisukari miaka mingi?

Watu wengi hutafuta dawa ya kupona kisukari bila kuufahamu uhalisia wa ugonjwa wa kisukari

Sikiliza nikujuze hili kwanza kabla ya yote tatizo la kisukari ukiwa nalo sio kweli kuwa kongosho limekufa hapana tatizo la kisukari ni tatizo la utendaji kazi wa Beta cell na seli za mwili na sio kufa kwa kongosho

Sasa soma hii ujue zaidi kisha wasiliana nasi kwa huduma zaidi

Kuna makundi matano ya kisukari

●Kundi la kwanza ni
kundi la insulin resistance

hili ni kundi ambalo insulin huzalishwa nyingi tu ila seli hugoma kupokea homon hii kundi hili wengi waliotumia Aljawafa wamepona kabisa kisukari kwasababu seli zilipata uwezo wa kufunguka na kufyonza insulin kutokana na virutubisho vilivyomo ndani ya Aljawafa

●Kundi la pili ni kundi la insufficient insulin production

kundi hili ni kundi ambalo insulin huzalishwa ila kwa uchache sana hivyo Aljawafa huwasaidia kuchochea Beta cell kuzalisha Insulin ya kutosha na hatimaye kundi hili hupona kabisa tatizo la kisukari

●Kundi la tatu ni kundi lenye Mucus au plaque

huu ni utando au uchafu ambao ni mfano k**a wa mafutafuta au marendarenda unaolizunguka kongosho na kufanya kongosho kushindwa kuvuta oxygen na kuingia ndani ya kongosho na kupelekea Beta cell kushindwa kupata hewa ya oxygen na kushindwa kufanya kazi yake ya kuzalisha homon ya insulin kundi hili likitumia Aljawafa na kufata maelekezo ya mlo kamili husaidia kwenda kusafisha huo utando na kulifanya kongosho lipate oxygen na Beta cell kuzalisha homon ya insulin changamoto hii ipo sana kwa watu wenye obesity ambapo hadi kupona ni lazima pia kupungua uzito sasa ukishika maelekezo ya ulaji wa chakula na utumiaji wa Aljawafa mtu wa tatizo hilo hufika mahali hupona kisukari

●Kundi la nne ni la watu wenye changamoto ya Glucose oxidation

hapa insulin inazalishwa vizuri ila cell zinashindwa kuifyonza glucose kwenye mchakato wa glucose oxidation hatimaye glucose hushindwa kuingia kwenye cell kwenye mchakato wa kuibadili kuwa nishati mtumiaji wa Aljawafa akiitumia Aljawafa kwa virutubisho ilivyonavyo vya kuweka sawa mfumo wa seli, seli hupokea na kufyonza glucose na kumaliza tatizo la kisukari

●Kundi la tano ni
Deceased Beta cell

kundi hili huwa ni kundi ambalo Beta cell zimegoma kuzalisha Insulin kwasababu zimekufa au zimeshapoteza uwezo wake huo kundi hili ndio hubakia kwenye *kuidhibiti sukari* kwa kutumia Aljawafa muda mrefu hadi pale beta cell zifanye *re generation* yaani zizaliwe upya na ziwe katika ufanisi wa juu wa kuzalisha Insulin waliomo humu hupata matokeo ya kudhibiti kisukari yasni sukari hurudi level kuwa tano au sita ila daima atatumia Aljawafa kwa muda mrefu kwasababu kundi hili ni kundi la kudhibiti kisukari na si la kumaliza tatizo

AL JAWAFA ina faida kuu tatu

Kwanza kushusha na kudhibiti kisukari

Pili kuondoa athari na changamoto za kisukari zote kwasababu ina wingi wa virutubisho kwa hitaji ya mwili wa mwanadamu

Tatu kumaliza tatizo la kisukari kwa wasiokuwa katika tatizo la deceased Beta cell

Imewasaidia maelfu kurejesha hali zao za kisukari na kuwaondolea athari mbimbali za kisukari

Kwa ushauri na tiba kuhusu kisukari tupigie

Dr. Kassim Amarison
+255752444667

Je wajua kwa nini unauzito mkubwa au umenenpa au una kitambi?Sababu ni hii Huna mpangilio mzuri wa kula na hauna mazoezi...
19/09/2023

Je wajua kwa nini unauzito mkubwa au umenenpa au una kitambi?

Sababu ni hii

Huna mpangilio mzuri wa kula na hauna mazoezi na mfumo wako wa umeng'enyaji ni mbovu umezidiwa haufanyi kazi ipasavyo

Unataka kujua suluhisho?

Kwanza ujichukie kuwa unene kwako ni mbaya na una kunyima raha

Pili ujue madhara ya kiafya ya kuwa na unene au uzito ulioptiliza

Tatu uwe na utayari wa kutaka kuupunguza mwili na kuuondoa unene

Nne ukubali kuwa unene kwako ni tatizk kisha uamue kuachana na ulaji mbovu

Tano tumia Amarison Organic Slimming Solution hapa tutakushauri na utafanikiwa kupungua

Sasa tuangalie kanuni za dhahabu za kupunguza uzito au unene uliopitiliza

Kanuni za dhahabu za kupungua uzito

●Kula kidogo tembea kwa miguu sana majibu ni Kupungua uzito

●Kula kidogo ,tembea sana, pangilia mlo wa protini Majibu ni utapunguza mafuta mwilini

●Kula kidogo,pangilia ulaji wa protini ,fanya mazoezi makali majibu ni *Kupungua uzito na kujenga misuli ya mwili

●Ili upungue uzito kubali kuacha vyakula jamii ya

Mchele,mahindi,ngano,Mihogo,Viazi na sukari

● Kula sana vyakula jamii ya mbogamboga,vitamini na vitoweo

● Kunywa maji zaidi kuliko kinywaji chochote

● Kufanya mazoezi asubuhi kabla ya kula chochote ndio siri kuu ya kupungua uzito tumua saa moja kufanya mazoezi bila kupumzika unaweza

Kuruka kamba

Kukimbia kidogo kidogo

Kutembea kwa kasi

Kufanya mazoezi ya viungo mepesi

Hakikisha unatoka jasho ndani ya saa 1 la mazoezi

NB: Mazoezi ya usiku na jioni ni kwa ajili ya kuongeza uzito au kuzuia uzito ulonao usishuke elewa ukifanya mazoezi jioni au usiku hupunguzi uzito unajenga misuli na kubalansi uzito,

Usisahau matumizi ya Amarison Organic Slimming Solution kuchochea matokeo ya haraka

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi kwa simu

+255752444667

Dr Kassim Amarison

Amarison Herbal

Address

Magomeni Street
Dar Es Salaam
15101

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00
Sunday 09:00 - 21:00

Telephone

0752444667

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amarison Consultancy Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Amarison Consultancy Limited:

Share