17/08/2026
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa wateja wetu wote waliotuchagua na kutuamini katika uandaaji wa vitabu vyao vya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025 πΌβ¨
Kazi yenu ya kuweka mifumo ya fedha iliyo wazi na yenye uzingatiaji wa sheria ndiyo nguzo kuu ya ukuaji na mafanikio ya biashara zenu. KPR Consultancy Limited inajivunia kuwa mshirika wenu wa daima katika safari hii ya mafanikio! π€
Asante kwa kuendelea kufanya kazi nasi.
π Victoria House 8th Floor, Bagamoyo Road, Dar es Salaam