Lilian ausy likundasi

Lilian ausy likundasi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lilian ausy likundasi, Business Center, Dar es salaam, Dar es Salaam.

DEAR MY BRANDNEW 2RUBBY DIRECTOR all the way from kigomaHONGERA SANA KWA STEP YAKO YA 2RUBBY DIRECTOR,HONGERA KWA KUWA K...
06/02/2026

DEAR MY BRANDNEW 2RUBBY DIRECTOR all the way from kigoma
HONGERA SANA KWA STEP YAKO YA 2RUBBY DIRECTOR,HONGERA KWA KUWA KIONGOZI BORA, HONGERA KWA KUBEBA MAONO YA WATU WOTE WA KIGOMA,HONGERA KWA KUMILIKI BIASHARA YAKO ✍️
VERONICA ulianza hii biashara ukiwa mfanyabiashara tena mfanyabiashara mkubwa Sana mwenye mtaji mkubwa lakini ulikuwa humble kabisaa ukaanzia chini kujenga watu na WATU wakajenge biashara.
VERONICA hukupata nafasi ya kusoma umeisha darasa la Sana,ila unajiamini na personal growth 📈 ya Hali ya juu Una heshima na kila mtu na ndio maana Leo hii una watu wanaokusikiliza,kukuelewa na kukubali willingly kwenda na wewe na kubeba MAONO yako,MINDSET YAKO INAJIRECOGNISE,UMEJITAMBUA,UNA NDOTO ,UNA WAJIBIKUA...hakuna MTU asiyependa kuwa na dline k**a wewe MSIKIVU na kwa hili ujatenga biashara kubwa Sana sababu biashara ya mtandao 85 % ni character na hizo zingine ndio SKILLS ✍️
HONGERA SANA,Kujenga biashara MKOANI sio kitu rahisi kwa sababu inahitaji uwekezaji hasa wa akili,kipato na TIME...umeamua KUWEKEZA MUDA kwenye biashara yako na biashara umekulipa SHUKRANI...
HONGERA SANA KIONGOZI,NAKUKUMBUSHA Tu 2026 TUNAANZA UPYAAAAAA✍️

We have brand new president team member yaani mtu ambae ameanza kulipwa zaidi ya million20 kila mwezi imagine stella ali...
05/02/2026

We have brand new president team member yaani mtu ambae ameanza kulipwa zaidi ya million20 kila mwezi imagine stella alianza biashara akiwa machinga anatembeza perfume lakini leo hii amekuwa ni mama wa tofauti ni kiboko💥🔥🔥

Hongereni sana viongozi makini huu ndo ule mwak💥🔥🔥
04/02/2026

Hongereni sana viongozi makini huu ndo ule mwak💥🔥🔥

Hongera sana linda umeweza sana kiongozi makini genz kwenye next level mambo makubwa yanaenda kutokea 2026🔥🔥 imagine gra...
04/02/2026

Hongera sana linda umeweza sana kiongozi makini genz kwenye next level mambo makubwa yanaenda kutokea 2026🔥🔥 imagine graduate anaeingiza zaidi ya million 4 kwa mwezi nyie ni kiboko kila mtu anaweza

Hongera saana saana Priva hakika UMEWEZA especially kwa kutusaidia kuiambia dunia kuwa hii biashara wanaume wanafanya na...
04/02/2026

Hongera saana saana Priva hakika UMEWEZA especially kwa kutusaidia kuiambia dunia kuwa hii biashara wanaume wanafanya na wanaweza... hongera All the best Priva💥💥

Ukianza biashara unafundishwa kila kitu namna gani utawapata wateja, utapataje pesa na namna ya kujenga biashara strong ...
02/02/2026

Ukianza biashara unafundishwa kila kitu namna gani utawapata wateja, utapataje pesa na namna ya kujenga biashara strong ili uweze kutimiza malengo yakoo💥✨

Wasafiri wadunia yaani tu ukianza tu biashara unasafiri ukiwa umelipiwa kila kitu nyie the best business ever💥💥✨
02/02/2026

Wasafiri wadunia yaani tu ukianza tu biashara unasafiri ukiwa umelipiwa kila kitu nyie the best business ever💥💥✨

The best business ever💥✨
02/02/2026

The best business ever💥✨

Maisha ya watu wengi tanzania yamebadilika haijalishi hali unayopitia kila mtu anawezaa💥💥💥
02/02/2026

Maisha ya watu wengi tanzania yamebadilika haijalishi hali unayopitia kila mtu anawezaa💥💥💥

🔥❤️
14/01/2026

🔥❤️

Watu wengi sana wanahisi hii biashara ni kwaajili ya wanawake pekee🔥💥 hii biashara haiangalii una jinsia gani , umri gan...
14/01/2026

Watu wengi sana wanahisi hii biashara ni kwaajili ya wanawake pekee🔥💥 hii biashara haiangalii una jinsia gani , umri gani au elimu yako inaangalia ndoto yako unayotamani kutimiza🔥🔥 kila mtu anauwezo wa kujenga hii biashara

Tumefungua mwaka 2026 kwa kishindo huu ndo ule mwaka wa mafanikio 🔥🔥
14/01/2026

Tumefungua mwaka 2026 kwa kishindo huu ndo ule mwaka wa mafanikio 🔥🔥

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
12345

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lilian ausy likundasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share