Judith kimaro21

Judith kimaro21 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Judith kimaro21, Business consultant, TRA mwenge, Dar es Salaam.

BADILISHA WATU WANAOKUZUNGUKA INAWEZEKANA UNABEBA UOGA WAO!Kuna watu wengi ambao wana uwezo wa kufanikiwa na wapo katika...
17/05/2025

BADILISHA WATU WANAOKUZUNGUKA INAWEZEKANA UNABEBA UOGA WAO!

Kuna watu wengi ambao wana uwezo wa kufanikiwa na wapo katika mazingira ya kufanikiwa lakini kila wanapoweka mawazo yao mezani yanakutana na maoni k**a huwezi kufanikiwa hapa watu ni wakabila sana, hapa hakuna mtu wa kununua kitu flani, unaona kila mtu anafungabiashara, ukianza tu TRA wanakumaliza, huwezi kufanikiwa mtu k**a wewe, ajira na Biashara wapi na wapi?

Lakini ukweli nikuwa wametumia muda wao mwingi katika kuwaza namna ya kushindwa, kuwaza watu walioshindwa kuliko kuwaza namna ya kuweza.

Hali hii huwajengea uoga na kujiona wanapata hasara kila wakati, wanazidumaza akili zao kwakushindwa kufikiria ni namna gani wanaweza kupambana na changamoto na kujikita katika kuacha kufanya kitu kabisa.

K**a uko katika hali hii basi SASA hembu badilisha aina ya watu wanaokuzunguka, badilisha watu wa kuwaambia malengo yao kwani kuna watu watakujaza uoga wao. Hata k**a ni mume wako, hata k**a ni mke wako k**a anaishia kukuambia tu kuwa huwezi bila kukuambia namna ya kuweza basi acha kumuambia.
BADILI MTAZAMO, KILA MTU ANAWEZA

Jifunze kwa waliopiga hatua na kufanikiwaa..  Ukijifunza kwa walioshindwa hutofanya..  Utakata tamaa k**a wao na kujiung...
13/05/2025

Jifunze kwa waliopiga hatua na kufanikiwaa.. Ukijifunza kwa walioshindwa hutofanya.. Utakata tamaa k**a wao na kujiunga kwenye lawama zao.... Be a fighter and Aim higher

Awww.... Wewe ni Ushuhudaaa.... Mungu aendelee kukupa zaidi na Zaidiiiii....  Tuendelee kuona ukuu wa BwanaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž   ...
05/05/2025

Awww.... Wewe ni Ushuhudaaa.... Mungu aendelee kukupa zaidi na Zaidiiiii.... Tuendelee kuona ukuu wa BwanaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž

❀️ βœ”οΈ

02/05/2025
Hivii unajua wanawake wenye Ndoto nimsingi mkubwa wa kuivusha familia na jamii yake. Hupambana kwa kila hali.... Leo nim...
15/04/2025

Hivii unajua wanawake wenye Ndoto nimsingi mkubwa wa kuivusha familia na jamii yake. Hupambana kwa kila hali.... Leo nimekuletea FURSA adimu kwa wewe mpambanaji. HAIJALISHI ELIMU YAKO, TAALUMA, HALI YA UCHUMI WALA UMRI WAKO Nitakufundisha jinsi unabyoweza kuongeza kipato chako na kuku saidia kutoka sehemu moja hadi nyingine kimaisha Tumeamua kusaidia wanawake wengine kubadilika na kuwa watu watofauti

Kwa maelezo zaidi karibu Whatsapp kwa bofya link hii https://wa.me/message/WEYNVR3W5OQDF1

Thank you Lord..  I love meeeee😍😍😍
05/03/2025

Thank you Lord.. I love meeeee😍😍😍

UTHUBUTU NAMBA MOJA NI KUHAKIKISHA KUWA HAUKOSI HII EVENT..  YOTE YAPO MIKONONI MWAKO.  MGENI RASMI ANASEMA AMEJIPANGAAA...
02/03/2025

UTHUBUTU NAMBA MOJA NI KUHAKIKISHA KUWA HAUKOSI HII EVENT.. YOTE YAPO MIKONONI MWAKO. MGENI RASMI ANASEMA AMEJIPANGAAA.... MY DEAR HATA K**A UKO KIGOMAAA NJOOO TU YANI HILI LISIKUPITE. NOO CHUKUA TIKETI YAKO YA BUREEEE KABISA

HATUBAKI NYUMAAAAA. MBEBA MAONO na MGENI RASMI

πŸ‡³πŸ‡¦


.tz

Address

TRA Mwenge
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 02:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Judith kimaro21 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share