DataFasta

DataFasta Helping businesses thrive with reliable internet fast devices & budget friendly bundle.Providing reliable service for over 3 years DSA

06/10/2026

Wiki ya Huduma kwa Wateja ni muda wa kusherehekea wewe, mteja wetu. Ni fursa ya kusema asante kwa kuendelea kutuamini na kuwa nasi.

Kila hatua tunayopiga, wewe ni sehemu muhimu ya safari hii.Tuna device za universal kuanzia 5G / 4G zinazokupa uhuru wa kutumia Simcard ya mtandao wowote ule

Kwa nini ununue router za universal?
Unaokoa gharama kwa muda mrefu badala ya kununua router mpya kila unapobadilisha mtandao.

Package za unlimited
70,000 = 10Mbps
100,000 = 20Mbps
150,000 = 50Mbps
200,000 = 100Mbps
400,000 = 200Mbps

Kuanzia watumiaji 10 hadi 256 yani matumizi binafsi , familia , ofisi na hata biashara
Tunapatikana ๐Ÿ“Mwenge bus stand
โ˜Ž๏ธ0678970849

ZTE MF296R. (NEW MODEL)INTANETI YA KASI, UTHABITI NA UHURU.Unahitaji intaneti ya kuaminika kwa nyumbani, ofisini au bias...
05/10/2026

ZTE MF296R. (NEW MODEL)
INTANETI YA KASI, UTHABITI NA UHURU.

Unahitaji intaneti ya kuaminika kwa nyumbani, ofisini au biashara?. Hiki ni kifaa kilichotengenezwa kukupa connection imara kwa matumizi ya kila siku.

KWA NINI ZTE MF296R

๐Ÿ”น 4G LTE Cat6 โ€” Download hadi 300Mbps | Upload hadi 50Mbps
๐Ÿ”น Dual-Band WiFi โ€” 2.4GHz + 5GHz kwa connection yenye kasi na stability

๐Ÿ”น Hadi vifaa 64 โ€” Unganisha familia, wafanyakazi au wateja kwa wakati mmoja
๐Ÿ”น 4 Gigabit LAN Ports โ€” Kwa Smart TV, PC, CCTV na vifaa vingine vya wired

๐ŸŽฌ STREAMING โ€ข GAMING โ€ข ZOOM โ€ข KAZI โ€ข BIASHARA

๐Ÿ’ฐ Tsh 250,000 TU
Unapata ZTE MF296R + Unlimited Internet Package yenye speed ya 20Mbps.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: +255 67 897 0849
Internet imara inaanzia kwenye uchaguzi sahihi. ๐Ÿ“ถ

Malipo ya awali Tsh 150,000 unapata router hii ya 5G ikiwa na package ya 20Mbps yenye thamani ya Tsh 100,000 Inaunganish...
04/10/2026

Malipo ya awali Tsh 150,000 unapata router hii ya 5G ikiwa na package ya 20Mbps yenye thamani ya Tsh 100,000

Inaunganisha vifaa 64 huku ukipata signal imara ndani ya 75 Meters

Lan port nne zinazokupa option tofauti tofauti kwenye wired transmission of data

๐Ÿ“Š inafaa kwa familia & biashara
Experience 5G connectivity with yas Router
Speed beyond the limits

Ukihitaji package ya nyingine utaratibu upo hivi

10Mbps : 70,000 โ€” Router utanunua kwa Tsh 180,000
50Mbps : 150,000 โ€” Router utanunua kwa Tsh 100,000

NB : Unapata router bila power bank power bank zinauzwa peke yake (Tsh 65000)

Wasiliana nasi โ˜Ž๏ธ +255 67 897 0849
Datafasta kasi halisi bila mipaka

03/10/2026

Kila hatua tunayopiga, kuna watu nyuma yake. โค๏ธ

Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati wateja wetu wote kwa support, imani na kutuamini katika kila hatua ya safari yetu. Kufika hapa tulipo leo si juhudi zetu pekee โ€” ninyi ni sehemu kubwa ya safari hii. ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Tumekua, tumejifunza, tumeendelea kuboresha huduma zetuโ€ฆ na sasa tunachukua hatua nyingine.

๐Ÿ“ DATAFASTA SASA IPO MWENGE BUS STAND
๐Ÿข New Mwenge Plaza

Tunaendelea kusonga mbele kwa ajili yenu, tukiwa na lengo lilelile โ€” kuwapatia internet, vifaa na suluhisho sahihi kwa mahitaji yenu. ๐Ÿ“ถ

โ€œMkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika.โ€Mithali 16:3

Asanteni kwa kuwa sehemu ya safari yetu.
Hii ni hatua nyingine, na safari bado inaendelea. ๐Ÿš€โค๏ธ

ZTE K12 ROUTERUnatafuta router yenye speed, coverage nzuri na uwezo wa kuunganisha vifaa vingi? ๐Ÿ‘€ZTE K12 imeundwa kukupa...
02/10/2026

ZTE K12 ROUTER

Unatafuta router yenye speed, coverage nzuri na uwezo wa kuunganisha vifaa vingi? ๐Ÿ‘€

ZTE K12 imeundwa kukupa experience bora zaidi nyumbani ๐Ÿ  au ofisini ๐Ÿ’ผ.

๐Ÿ“ถ Wi-Fi 6 Technology โ€” connection yenye kasi na ufanisi zaidi
๐Ÿš€ 4G LTE โ€” Speed hadi 150Mbps
๐Ÿ”‹ 2600mAh Battery โ€” hadi 8 hours backup
๐Ÿ“ก Dual External Antennas โ€” coverage pana zaidi
๐Ÿ‘ฅ Connect hadi vifaa 32 kwa wakati mmoja
๐Ÿ”Œ 4 LAN/WAN Ports

๐Ÿ’ฅ SPECIAL OFFER: Tsh 220,000
Unapata kifaa + bundle ya unlimited ya mwezi mzima, ikiwa na speed ya hadi 20Mbps.

๐Ÿ“ฒ Kwa maelezo na oda:
+255 67 897 0849

ZTE K12 โ€” Connect More. Experience More.

๐Ÿ”ด RESTOCKED! ZIMERUDI TENA ๐Ÿ”ฅUnahitaji router ambayo haishii tu kutoa internet karibu na kifaaโ€ฆ bali inaweza ku-cover nyu...
30/09/2026

๐Ÿ”ด RESTOCKED! ZIMERUDI TENA ๐Ÿ”ฅ
Unahitaji router ambayo haishii tu kutoa internet karibu na kifaaโ€ฆ bali inaweza ku-cover nyumba, office au biashara yako? ๐Ÿ“ถ

Meet TOPLINK 4G Router Pro3 โ€” router iliyojengwa kwa ajili ya connectivity yenye nguvu, coverage pana na matumizi ya vifaa vingi kwa wakati mmoja.

๐Ÿ“ก WI-FI 6 + ANTENA 4 ZA 8dBi
Signal yenye nguvu zaidi na coverage pana โ€” hadi 150M kulingana na mazingira.

๐Ÿ“ฒ VIFAA 32 KWA WAKATI MMOJA
Simu, laptops, Smart TV, CCTV na vifaa vingine vikiwa connected bila router kuwa chanzo cha usumbufu.

๐Ÿ”‹ 5000mAh BACKUP BATTERY
Umeme ukikatika? Internet haikatiki moja kwa moja.
โณ Hadi saa 12+ za matumizi kulingana na matumizi na mazingira.

๐Ÿ”Œ WAN + 4 LAN PORTS
Kwa connection ya wired yenye stability zaidi connect PCs, switches, CCTV na vifaa vingine moja kwa moja.

SPECIAL OFFER โ€” TSH 240,000 TU!
Unapata:
โœ… TOPLINK 4G Router Pro3
โœ… Mwezi wa kwanza wa Unlimited
๐Ÿš€ 20Mbps

๐Ÿ“ž Call / WhatsApp: +255 67 897 0849
๐Ÿšš Count on us, we deliver.

29/09/2026

RESTOCKED (ZIMERUDI TENA)

๐Ÿšซ Sio kila router inaweza kuhimili matumizi ya familia nzima, office nzima, au biashara yakoโ€ฆ lakini hii inaweza

Kutoka kwenye signal dhaifu hadi internet yenye nguvu kila kona ya nyumba , ofisi & sehemu ya biashara ๐Ÿ ๐Ÿ“ถ

TOPLINK 4G Router Pro3 inakupa:
โšก Speed ya kisasa ya Wi-Fi 6
๐Ÿ“ก Coverage kubwa zaidii
๐Ÿ”‹ Battery kubwa ya kudumu
๐Ÿ“ฒ Devices 32 connected smoothly

๐Ÿ“ก Nguvu ya Mawimbi (Signal Coverage)

๐Ÿš€ Antena 4 zenye nguvu (8dBi) โ€“ zimeundwa kusambaza Wi-Fi mbali zaidi na kwa nguvu zaidi

Faida zake
๐Ÿ“ถ Mawimbi kufika maeneo mengi zaidi
๐Ÿงฑ Kupenya vizuri kupitia kuta
๐Ÿ  Coverage imara ndani ya nyumba yote
๐Ÿšซ Kuondoa maeneo yasiyo na signal (dead zones)

๐Ÿ“ Hadi mita 150M za coverage yenye nguvu na uthabiti mkubwa

๐Ÿ”‹ Betri Kubwa ya Akiba (Backup Battery)

๐Ÿ”‹ Betri ya ndani ya 5000mAh โ€“ nguvu ya kudumu muda mrefu

โšก Internet inaendelea hata umeme ukikatika

โณ Hadi saa 12+ za matumizi bila kuchaji

Inafaa kwa:
๐Ÿš— Safari za gari
๐ŸšŒ Safari ndefu
๐Ÿ• Matumizi ya nje (outdoor)
โš  Hali za dharura unapohitaji internet ya haraka na ya kuaminika

๐Ÿ”Œ Ports & Wired Connectivity
๐Ÿ–ง LAN & WAN Support
Flexible networking for advanced users.
๐Ÿ”น 1 WAN Port
โžก Works as router input
๐Ÿ”น 4 LAN Ports
โžก Connect PCs, switches & CCTV systems directly
Perfect for stable wired internet connections

OFA MAALUMU: Tsh 240,000 unapata kifaa pamoja na ofa ya mwezi wa kwanza (unlimited) speed ya 20Mbps

Count on us we deliver
Call us normal / WhatsApp
+255 67 897 0849

Datafasta kasi halisi bila mipaka

O L A X  AX8 PRO A universal cpe router (ina support mitandao yote ya simu ) ๐Ÿ”‹ 5000mAh Super Battery๐Ÿ“ก 4G LTE | Up to 150...
27/09/2026

O L A X AX8 PRO
A universal cpe router (ina support mitandao yote ya simu )

๐Ÿ”‹ 5000mAh Super Battery
๐Ÿ“ก 4G LTE | Up to 150Mbps
โšก Super Speed | Up to 300Mbps
๐Ÿ“ถ Wi-Fi 6 Technology
๐Ÿ‘ฅ Connect up to 32 Users
๐Ÿ”Œ 4 LAN Ports
๐Ÿ“ก Detachable Antenna โ€” easy to install & adjust

๐Ÿ’ผ Work. ๐ŸŽฎ Game. ๐ŸŽฌ Stream. ๐ŸŒ Connect.

Tsh 195,000 (Coverage ya kifaa pamoja na package ya unlimited kwa mwezi wa kwanza )

experience. Smooth uploads. Faster downloads.
Wasiliana nasi +255 67 897 0849
๐Ÿ“Lufungira

HUAWEI E5180 โ€” 4G+ Router iliyotengenezwa kukupa Wi-Fi ya kuaminika kwa nyumbani, office โšก 4G+ โ€” hadi 150 Mbps๐Ÿ‘ฅ Unganish...
26/09/2026

HUAWEI E5180 โ€” 4G+ Router iliyotengenezwa kukupa Wi-Fi ya kuaminika kwa nyumbani, office

โšก 4G+ โ€” hadi 150 Mbps
๐Ÿ‘ฅ Unganisha hadi devices 32
๐Ÿ”Œ LAN port kwa vifaa vinavyohitaji wired connection
๐Ÿ“ถ Wi-Fi coverage hadi 75m

HUAWEI E5180 TSH 95,000 TU

Malipo ya mwezi
70,000 = 10Mbps
100,000 = 20Mbps
120,000 = 30Mbps
150,000 = 50Mbps

Kifaa sahihi kinaweza kubadilisha kabisa namna unavyotumia internet.
๐Ÿ“ฒ Order kupitia Datafasta:
+255 67 897 0849

Address

Changanyikeni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DataFasta posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share