Local And International Business Abdul - LIBA

Local And International Business Abdul - LIBA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Local And International Business Abdul - LIBA, Business service, DAR ES SALAAM, Dar es Salaam.

Contact me through my number, here in Facebook private message through this pages or this website which is https://m.facebook.com/marshkuck/, or send private message in my Facebook profile known as Duly Marsh.

18/04/2025

Mwanaume mmoja Nchini Japan ambaye amefanya kazi ya Udereva wa Mabasi kwa kuwa takriban miaka 29, amepoteza mafao yake ya kustaafu yenye thamani ya dola 84,000 za Kimarekani ( zaidi ya shilingi za Tanzania milioni 224 ) baada ya kufukuzwa kazi kwa kosa la kuiba dola 7 ( sawa na shilingi 18,800) kutoka kwa Abiria.

Imeelezwa kuwa tukio hili lilitokea kwenye basi la Jiji la Kyoto alilokuwa akiliendesha ambapo kupitia camera ya usalama alionekana akipokea fedha kutoka kwa Abiria na kuzitia mfukoni badala ya kuziingiza kwenye mashine ya ukusanyaji wa nauli.

Dereva huyo mwenye umri wa miaka 58 alikanusha shtaka hilo alipohojiwa na Wakubwa wake licha ya ushahidi wa video kuwepo na Mahak**a ya awali ilimuunga mkono na kusema adhabu ya kupoteza mafao yote ilikuwa kali mno lakini kesi hiyo ilipanda hadi Mahak**a Kuu ya Japan na hivi karibuni Mahak**a Kuu imetoa uamuzi wa mwisho kwa kuunga mkono uamuzi wa awali wa Jiji la Kyoto na hivyo kupigilia msumari wa moto kuwa Dereva huyo hana haki ya kulipwa mafao yake ya kustaafu.

Aidha Maafisa wa usafiri wa umma wa Kyoto wamesema uamuzi huo ni wa kupongezwa wakisisitiza kuwa Madereva wote wanahusika na fedha za umma na hufanya kazi wakiwa peke yao hivyo nidhamu ni ya lazima vilevile walisema endapo hatua kali zisingechukuliwa lingekuwa ni fundisho baya kwa wengine na lingeweza kudhoofisha imani ya umma kwa Taasisi hiyo ya usafiri.

03/04/2025

HATA K**A UNAJUA SANA, WAKATI MWINGINE UKIKAA KIMYA KUNAKITU ANGALAU KIMOJA KIPYA UTAJIFUNZA MBELE YAO, BILA WAO KUJUA HAUKIJUI.

19/03/2025
March 2025
11/03/2025

March 2025

USIMDHARAU MTU KWA KUMUONA JINSI ALIVYO, HATA MAPACHA KILA MTU ALIZALIWA PEKE YAKE NA KWA MUDA WAKE, HIVYO HIVYO KILA MT...
06/03/2025

USIMDHARAU MTU KWA KUMUONA JINSI ALIVYO, HATA MAPACHA KILA MTU ALIZALIWA PEKE YAKE NA KWA MUDA WAKE, HIVYO HIVYO KILA MTU ANAHESABU ZAKE.

09/02/2025

: Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Mguinea Serhou Guirassy ni mchezaji wa 5 kufunga au kuassist katika mechi 9 mfululizo za UCL

Wachezaji wengine waliowahi kufanya hivyo ni Roy Keane akiwa na Manchester United, Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Mbappe (PSG) na Lewandowsk akiwa na Bayern MAunich

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 msimu huu amecheza mechi zotee 8 za hatua ya makundi akifunga mabao 9 na assist 2, unamuona akiendelea kuweka rekodi katika michuano hiyo?

09/02/2025

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepangwa kwenye Kundi C kwenye droo ya makundi ya kombe la Mataifa Afrika iliyofanyika usiku huu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mohammed V uliopo Rabat jijini Morocco. Stars imepangwa Kundi c sambamba na Nigeria, Tunisia na Uganda.

Makundi ya AFCON 2025 itakayofanyika kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2025 ni k**a ifuatavyo:

Group A: Morocco, Mali, Zambia, Comoros

Group B: Egypt, South Africa, Angola, Zimbabwe

Group C: Nigeria, Tunisia, Uganda, Tanzania

Group D: Senegal, DR Congo, Benin, Botswana

Group E: Burkina Faso, Equatorial Guinea, Sudan

Group F: Ivory Coast, Cameroon, Gabon, Mozambique

Address

DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam
35091OR+255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255656161400

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Local And International Business Abdul - LIBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Local And International Business Abdul - LIBA:

Share