31/05/2025
Ukurasa rasmi kwa watu wa RORYA KWETU. Na kwingineko duniani, mahususi kwa ajili ya kuuza na kununua bidhaa zilizotumika zilizo katika hali nzuri, ili kuweza kusaidiana na kubadili muonekano wa nyumba zetu kwa gharama nafuu⦠kaa tayari kupokea bidhaa mbalimbali ndani ya Dar es salaam⦠na mikoani tutatuma.
Cha kufanya ni kutufollow na kulike Page yetu ili uwe wa Kwanza kuona bidhaa zinazopostiwa hapa na ujichagulie kwa bei poa kabisaππΌππΌππΌ William MJ Ernest Olung'a Rorya Business Point