Bila Pesa Duniani, Maisha ni Magumu

Bila Pesa Duniani, Maisha ni Magumu Unavyo ishi leo ni MAAMUZI YAKO YA JANA. UVIVU WAKU FIKIRI UTACHELEWESHA MAISHA YAKO KUFANYIKIWA �����

USIOGOPE kuanza, ni katika UTUPU kuna nguvu ya mwanzo mpya na mabadiliko makubwa. Unaweza kila kitu ila tumiya vizuri Fi...
11/11/2025

USIOGOPE kuanza, ni katika UTUPU kuna nguvu ya mwanzo mpya na mabadiliko makubwa. Unaweza kila kitu ila tumiya vizuri Fikra zako.
.

Regarde la vidéo de Schadrack Ghalibwa.

Siku bora ni île moja ambayo utashindwa HOFU NA kuchukuwa hatua ya kuanza kitu kipya. Acha kurizika bure.               ...
11/11/2025

Siku bora ni île moja ambayo utashindwa HOFU NA kuchukuwa hatua ya kuanza kitu kipya. Acha kurizika bure.

Regarde la vidéo de Schadrack Ghalibwa.

Ukiamua hakuna Chochote kinaweza kukatisha tamaa.Kuwa imara.
07/11/2025

Ukiamua hakuna Chochote kinaweza kukatisha tamaa.
Kuwa imara.

Regarde, suis et découvre encore plus de contenus tendance.

UPO SAHIHI UKISEMA HAIWEZEKANI pia UKISEMA Inawezekana upo sahihi,Hizo zote ni Nguvu zilizo ndani yako, uwezo au KUSHIND...
07/11/2025

UPO SAHIHI UKISEMA HAIWEZEKANI pia UKISEMA Inawezekana upo sahihi,
Hizo zote ni Nguvu zilizo ndani yako, uwezo au KUSHINDWA ni ndani yako.

Regarde, suis et découvre encore plus de contenus tendance.

UNATAMANI KUBADILISHA MAISHA YAKO ILA HAUONI UANZE WAPI, FANYA KWA NGUVU NA AKILI ILI BADILI KILA KITU. ALAFU AMUWA KWEL...
06/11/2025

UNATAMANI KUBADILISHA MAISHA YAKO ILA HAUONI UANZE WAPI, FANYA KWA NGUVU NA AKILI ILI BADILI KILA KITU. ALAFU AMUWA KWELI KWELI KUBADILIKA.

#

Regarde, suis et découvre encore plus de contenus tendance.

KILA Siku usiweke kitu moyoni, Usiwe mtu wa stress. K**a switch INAVYO zima, NI Hivyo stress inaharibu uzazi.           ...
17/10/2025

KILA Siku usiweke kitu moyoni, Usiwe mtu wa stress. K**a switch INAVYO zima, NI Hivyo stress inaharibu uzazi.
.

Regarde, suis et découvre encore plus de contenus tendance.

Vidjana wakijitambuwa NI Nguvu na UKOMBOZI wa Familia, tambuwakusudi lako LAKUISHI duniani.
17/10/2025

Vidjana wakijitambuwa NI Nguvu na UKOMBOZI wa Familia, tambuwakusudi lako LAKUISHI duniani.

Regarde, suis et découvre encore plus de contenus tendance.

Unacho kitafuta MAISHANI Mwako, KINA HITAJI Kuwa na UFUNGUO ili MAISHA YAKO YAWE YA TOFAUTI. Fikiriya kwanini upo hapa D...
27/06/2025

Unacho kitafuta MAISHANI Mwako, KINA HITAJI Kuwa na UFUNGUO ili MAISHA YAKO YAWE YA TOFAUTI. Fikiriya kwanini upo hapa DUNIANI. 🧠✊⏰

FANYA KILA KITU Kinacho kupeleka kwenye NDOTO ZAKO.NA IKIWA UMEOKOKA WEWE NI KIUMBE KIPYA, KWANINI USHINDWE ? TUNAWEZA M...
27/06/2025

FANYA KILA KITU Kinacho kupeleka kwenye NDOTO ZAKO.
NA IKIWA UMEOKOKA WEWE NI KIUMBE KIPYA, KWANINI USHINDWE ? TUNAWEZA MAMBO YOTE....

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bila Pesa Duniani, Maisha ni Magumu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share