Kacherenga PAGE

Kacherenga PAGE KWA HABARI ZA MICHEZO, SIASA NA UDAKU KARIBU KACHELENGA PAGE

kikosi cha simba dhidi ya prison ya MbeyaIkumbukwe Prison atakua mgeni dhidi ya SimbaMechi saa 10:00 jioniMAONI NA UTABI...
16/04/2018

kikosi cha simba dhidi ya prison ya Mbeya
Ikumbukwe Prison atakua mgeni dhidi ya Simba
Mechi saa 10:00 jioni
MAONI NA UTABIRI HAPO CHINI

Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady amemshambuliwa kwa maneno  Diamond baada ya kushindwa kwenda ku...
16/04/2018

Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady amemshambuliwa kwa maneno Diamond baada ya kushindwa kwenda kuwaona waoto wake nchini Afrika Kusini.

Zari amemshambulia Diamond kupitia snapchat, muda mfupi kabla hajaelekea kanisani yalionekana yakihusishwa na ujumbe ambao Diamond aliuandika kwenye Instagram kuhusu wanawake.

Zari amemkosoa kwa kushindwa kuwaona watoto wake kwa muda mrefu kinaonesha kuwa anayezungumziwa ni baba Tifah.

Baadaye, Zari aliweka picha inayomuonesha akiwa mbele ya kioo na nguo nyingi na kuandika ujumbe kuwa ni muda wa kanisani.

Zari ameandika “Mameneja wengine wanapaswa kuhakikisha ubora kabla wasanii wao hawajaweka upuuzi kwenye mitandao ya kijamii kwa kupata kiki kivyovyote… hivi ni lini mara ya mwisho umewaona wanao.. Nina amini wamesahau yote kuhusu wewe mpuuzi…. fikiria kabla ya kuandika kwenye picha. Mjinga.” Zari alitangaza kuachana na Diamond, akaiachia rasmi funguo za ikulu ya WCB ya Madale na kuhamia nchini Afrika Kusini.

TOA MAONI YAKO HAPA

Ciro Immobile is on 🔥 msimu huu! - msimamo wa wanaongoza kwa ufungaji Serie A
16/04/2018

Ciro Immobile is on 🔥 msimu huu! - msimamo wa wanaongoza kwa ufungaji Serie A

02/07/2015

Address

DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam
31095

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kacherenga PAGE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share