04/09/2026
🔥 KUTOKUAMINI HADI KUWA BRAND NEW PT! 👑🔥
Hii ni story ya Kiongozi wetu Sara Senso — mwanamke ambaye mwanzo hakuamini sana kuhusu hii biashara, lakini aliamua kuangalia kwa vitendo.
Sara alikutana na mwenza wake kazini ambaye tayari alikuwa ameanza kufanya biashara hii. Alimuelezea kuhusu fursa hiyo, lakini Sara hakuiamini moja kwa moja.
Badala ya kubishana naye, mwenza wake akaamua kumwonyesha matokeo.
Kila mwezi alikuwa akimletea bonasi zake kazini. 💰
Mwanzoni Sara akaona:
50,000…
ikaja 100,000…
ikawa 200,000…
ikaenda 500,000…
ikafika 800,000…
mpaka siku moja akaona MILIONI MOJA! 🔥🔥🔥
Hapo ndipo Sara akaanza kujiuliza:
“K**a yeye anaweza kufikisha milioni moja kupitia hii biashara, kwa nini mimi nisijaribu?”
Sara alikuwa tayari anafanya mambo mengi, lakini aliona bado mshahara wake ulikuwa unaishia kwenye matumizi na shughuli mbalimbali.
Akaamua kuchukua hatua.
🎯 Lengo lake likawa moja: ndani ya miezi sita, naye afikie milioni moja.
Na jambo la kushangaza ni kwamba…
NDANI YA MIEZI SITA ALIFANIKIWA! 🔥🔥🔥
Leo Sara Senso siyo tena mtu wa kuambiwa kuhusu biashara hii.
YUKO VERY SERIOUS! 💪🔥
Anafanya kazi serikalini, ana majukumu mengi na muda wake ni mchache sana, lakini ameweza kutumia muda wake wa ziada kujenga biashara yake mpaka kufikia hatua ya kuwa BRAND NEW PT. 👑
Na kupitia biashara hii, amepata pia nafasi ya kusafiri kwenye destinations mbalimbali duniani. 🌍✈️
Mwaka huu pekee ana safari TATU!
Safari mbili tayari ameshazifanya…
Na safari ya tatu ni:
🇩🇪 GERMANY — MWEZI WA 10! 🔥
Imagine!
Sasa wewe unayesoma hapa…
🤔 Unasubiri nini?
Usisubiri uwe na pesa nyingi.
Usisubiri upate muda mwingi.
Usisubiri kila kitu kiwe perfect.
ANZA NA KILE ULICHONACHO.
Tutakusaidia.
Tutakuelekeza.
Tutakufundisha hatua kwa hatua. 🤝🔥
Kwa sababu k**a Sara Senso aliweza kuanza akiwa na kazi, majukumu na muda mchache…
NA WEWE UNAWEZA! ❤️🔥
Haijalishi umetokea mazingira gani.
Haijalishi unaanza na kiasi gani.
Kinachohitajika ni UAMUZI WA KUANZA.
Usiishie kusoma story za watu wengine wakifanikiwa.
Anza kuandika story yako mwenyewe. 🔥
📩 K**a uko tayari kua