09/11/2025
Viwanja vinauzwa maeneo ya vigwaza karibu na mlandizi. Viwanja vina ukubwa wa 20x27. Umbali toka lami NI km 1. K**a dkn10 Kwa mguu toka lami ya morogoro. Viwanja vipo eneo zuri Sana tambalale na vimepakana na barabara ya kuu ya mtaa. Maji yapo umeme upo. Hospital kubwa ya serikali ipo shule ipo huduma zote zipo. Eneo linafaa Kwa makazi na biashara .Bei NI M2 Kwa kiwanja. Ardhi NI mali. Wekeza sasa Kwa maendeleo ya baadae. Karibu tuzungumze! Pig 0613173254