Betting tip 2odds kila siku

Betting tip 2odds kila siku Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Betting tip 2odds kila siku, Dar es Salaam.

Habari za soka duniani ๐ŸŒ | Uchambuzi wa mechi โšฝ | Takwimu ๐Ÿ“Š | Mijadala ya mashabiki ๐Ÿ—ฃ๏ธ | Karibu tujadili mpira pamoja.๐Ÿ”ฅโค๏ธ
WORLD CUP 2026 DAILY
KOMBE LA DUNIA 2026

๐ŸŒ KURA YAKO INAENDA KWA NANI? ๐Ÿ‘‘Kombe la Dunia ndio kwanza limeanza, lakini macho yote yapo kwa mastaa hawa! Kati ya mafu...
11/06/2026

๐ŸŒ KURA YAKO INAENDA KWA NANI? ๐Ÿ‘‘Kombe la Dunia ndio kwanza limeanza, lakini macho yote yapo kwa mastaa hawa! Kati ya mafundi hawa, ni nani atakayeibuka MCHEZAJI BORA (MVP) wa michuano hii mwaka huu?๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Lamine Yamal (Mtoto wa miaka 18)๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Ousmane Dembรฉlรฉ (Mshindi wa Ballon d'Or)๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Kylian Mbappรฉ (Mashine ya Ufaransa)๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Harry Kane (Mzee wa mabao 61)๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Lionel Messi / ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Cristiano Ronaldo (Densi ya mwisho!)๐Ÿ‘‡ Shusha komenti yako hapa, nani anabeba kijiti mwaka huu?

11/06/2026

๐Ÿ† KOMBE LA DUNIA LIMEKOCHA! ๐ŸŒ๐Ÿ”ฅMeksiko wamefungua pazia kwa ushindi mnene wa 2-0 dhidi ya Afrika Kusini. Leo ni zamu ya wenyeji wengine wawili kuingia uwanjani! ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธHii hapa ratiba ya burudani ya leo:๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท Korea Kusini vs Czechia ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada vs Bosnia & Herzegovina ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Marekani vs Paraguay ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ๐Ÿ‘‡ Shusha utabiri wako hapa chini! Ni nani anasepa na pointi 3 leo? โšฝ๏ธ

11/06/2026

SIKU YA HISTORIA IMENYOKA! Kombe la Dunia 2026 linaanza RASMI LEO! ๐Ÿ”ฅMechi ya ufunguzi inaturudisha mwaka 2010 ambapo wenyeji Mexico wanawakaribisha Bafana Bafana ya Afrika Kusini! ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

Ratiba ya Mechi za Leo
(Kundi A):โฐ Saa 4:00 Usiku: Mexico vs Afrika Kusini
โฐ Saa 5:00 Usiku/Alfajiri: Korea Kusini vs Jamhuri ya Cheki(Czechia)

Je, nani anaondoka na pointi 3 leo? Weka utabiri wako hapa chini! ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

30/05/2026

Page yetu sasa itaanza kuchambua na kuongelea Kombe la dunia...tunaruhusiwa wote kuleta na kufanya mijadak
June 11 2026

30/05/2026

Tuongelee kuhusu world Cup linaloanza mwezi ujao hapo...tuwe tunachambua pia mechi pamoja ili tuone k**a tutampata muhindi.. tupeane tip wak**aria na wapenda mpira.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Betting tip 2odds kila siku posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share