18/05/2026
Hongera kwa kutimiza mwaka mmoja binti yangu kipenzi Guadalupe, ni maombi yangu kwamba Mungu akupe afya njema na uzidi kukua katika hekima na kimo ukimpendeza yeye na wanadamu pia.
Happy birthday 🎂 🎊 🎁 🎉 🎈 🍰 Guadidy