Jeff Achour

Jeff Achour computer seller

jaribu kujali na kuwa karibu na hao vijana wa hapo mtaani kwenu.k**a umeshawahi huzuria misiba mingi utajifunza kitu.una...
26/09/2025

jaribu kujali na kuwa karibu na hao vijana wa hapo mtaani kwenu.k**a umeshawahi huzuria misiba mingi utajifunza kitu.unaweza kuwa tajiri na ndugu na marafiki matajiri ila hakuna hata mmoja atachimba kabuli lako au kukesha na wewe nyumbani ukiwa mauti.hawa vijana unaowaona wahuni au jobless hapo mtaani ndio watafunga turubai ndio watakesha usiku kucha nyumbani kwako na ndio wakuchimbia nyumba yako ya milele.rafiki zako au ndugu zako wenye uwezo watakuja ila usiku wataenda baa kukesha siku ya kuzikwa watakaa nyuma nyuma vijana hawa ndio utawaona mbele kwenye kaburi lako.inaweza ikawa sio muhimu ila jua hivyo matajiri wote unaowajua wamezikwa na maskini ambao hawakuwa sehemu ya maisha yao.hata siku ya 40 yako rafiki wote huta waona ila hawa vijana watakuja.wengi huona k**a wanafuata chakula ila ni Mungu ndio anawaleta kuwapa somo wenye uwezo.sio lazima uwape pesa au kazi salamu tu inatosha kujua upo pamoja nao.niwatakieni siku njem

nauza laptop aina zote tupo ilala machinga complex bei kuanzia 250,000 mkoani tunatuma kwa usalama na uaminifu mkubwa 0685916070

Kamwe usisahau wala kujifanya umesahau kwamba mumeo alikuoa wewe na wala sio mdada wako wa kazi. Baba yako ndiye alipoke...
26/09/2025

Kamwe usisahau wala kujifanya umesahau kwamba mumeo alikuoa wewe na wala sio mdada wako wa kazi. Baba yako ndiye alipokea mahari na sio baba yake huyo dada, shela au mavazi ya harusi ulivaa wewe na wala sio dada wa kazi. Iweje leo kila kitu dada fanya hivi, dada fanya vile. Mama fanya majukumu yako na kaa kwenye nafasi yako k**a mke na k**a mama. Majukumu ya ndoa unamwachia dada wa kazi halafu akitakwa kindoa unakuwa nyati wakati tiketi umetoa wewe mwenyewe. Amka haraka.

nauza laptop aina zote tupo ilala machinga complex bei kuanzia 250,000 mkoani tunatuma kwa usalama na uaminifu mkubwa 0685916070

kutokana na wimbi la utapeli na wizi wa kimitandao nakushauri wewe rafiki yangu.1.ukipoteza au kuibiwa simu haraka kaifu...
26/09/2025

kutokana na wimbi la utapeli na wizi wa kimitandao nakushauri wewe rafiki yangu.
1.ukipoteza au kuibiwa simu haraka kaifunge line yako
2. azima simu ya ndugu yako yeyote tumia sms kuwaalifu kuwa umepoteza simu wakitumiwa sms yoyote kuhusu fedha au ajali wapige simu wasicomfim kwa msg.pia k**a ni muajiliwa au mfanyabiashara tafuta mtu wa karibu ambaye unajua ananamba za wafanyabiashara,wafanyakazi wenzako uwajulishe.
3.pia nakushauri unapo sajiri line kwa mawakala wa mtaani(wale wanaotembeza line)akikusajilia line akasema hii imegoma chagua nyengine plz muombe hiyo line ubaki nayo kisha chagua nyengine.ANGALIZO mara nyingi hizo line huwa hazijagoma ila anasajili kupotia jina lako kisha anaziuza kwa matapeli.ndio zile namba zinazotumiwa kwenye tuma kwenye namba hii jina linatoka GEOFREY NJAU.maranyingi ukipiga hawapokei.kabla hujatuma hela jilidhishe kwa kupiga simu na kuhoji maswali ambayo unajua muhusika mnafamiana.KUWENI MAKINI SANA siku hizi wanafungua hadi AC fake za FACEBOOK na wanatumia majina yako na wanadakua picha zako wanatumia kumbuka tayar walisajir namba yenye jina lako.TUKUMBUSHANE RAFIKI HALI IMEKUWA NGUMU.

nauza laptop aina zote tupo ilala machinga complex bei kuanzia 250,000 mkoani tunatuma kwa usalama na uaminifu mkubwa 0685916070

K**A UNAMPENDA SANA MAMA YAKO BASI SOMA HAPA!Hamisi alikua anampenda sana Mama yake, pamoja na kwamba alikua ameoa lakin...
26/09/2025

K**A UNAMPENDA SANA MAMA YAKO BASI SOMA HAPA!

Hamisi alikua anampenda sana Mama yake, pamoja na kwamba alikua ameoa lakini alikua akitumia muda mwingi sana nyumbani kwao na Mama yake, alikua akimsaidia Mama yake kazi, alikua akimnunulia Mama yake zawadi na vitu vya gharama sana. Pamoja na kumnunulia lakini Mama yake hakuvivaa aliviweka tu na alipomuuliza Mama yake alimjibu yeye kashazeeka havihitaji. Hamisi hakujali aliendelea kumdekeza na kumhudumia Mama yake.

Pamoja na Baba yake kuwa na pesa lakini Mama yake alikua hana furaha, Baba yake alikua akimnyanyasa, hamnunulii nguo nzuri, hamsikilizi na anamdharau sana. Hali ile ilimfanya Hamisi kumchukia Baba yake na kuapa kuwa atampa Mama yake kila kitu ilia ngalau awe na furaha kwani zamani hakufurahia pesa za Baba yake. Siku moja Mama yake alimuomba Hamisi amuandalie Sherehe, hakujua ni ya nini lakini kwakua alimpenda basi alimuandalia Sherehe kubwa.

Mama yake alimuambia katika sherehe aje na mke wake, Hamisi alikuja naye, katikati ya Sherehe Mama yake alisimama na kumuambia DJ kupiga wimbo wa “Happy Birthday” Huku kila mmoja akishangaa ilikua ni siku ya nani ya kuzaliwa Mama yake alimsimamisha mke wa Hamisi. Watu walishangaa hata yeye mwenyewe alishangaa, alishasahau k**a ni siku yake ya kuzaliwa, wakiwa katika ule mshangao waliingia vijana watano wakiwa na mabegi makubwa makubwa.

Mama Hamisi aliyafungua, yalikua na nguo nyingi, nguo zote ambazo Hamisi alikua akimpelekea Mama yake zilikua pale, Mama Hamisi alimpa mke wa Hamisi na kumumbia. “Chukua wewe ndiyo unastahili hizi zawadi sio mimi…” Kila mtu alishangaa, Mama alimuita Hamisi na kumuambia. “Najua unanipenda sana ndiyo maana umenipa hivi vitu, lakini nakupenda sana mwanangu hivyo sitaki ufanye kosa k**a alilolifanya Baba yako, sitaki wanao waje kukuchukia k**a unavyomchukia Baba yako.

Baba yako alimpenda Mama yake kuliko alivyokua ananipenda, akamsikiliza yeye zaidi, akamruhusu kutupangia maisha, alikua hanijali aliniona k**a takataka, nyie mliona mamboa liyokua ananifanyia mkamchukia na kunipenda mimi kwakua mlijua naonewa. Sasa anajua yote haya unayafanya kwa upendo lakini nikuulize mwanangu vipi mke wako, leo ni siku yake ya kuzaliwa je umeikumbuka? Lini ulishamnunulia nguo ya maana k**a zawadi? Lini umewahi kurudi nyumbani ukakaa na kula na mke wako zaidi ya kuja kula kwangu?”

Hamisi alibaki kimya hakua na jibu Mama yake alimuambia “Nenda kampende mkeo, sasa hivi huna watoto ila wakizaliwa na kuona namna unavyomtesa Mama yao watakuchukia k**a wewe unavyomchukia Baba yako na kumpenda mkeo, nakupenda sana mwanangu sitaki hayo yakutokee.” Alimaliza kuongea, Hamisi alikua anatokwa na machozi hakujua k**a matendo yake yanamfanya mkewe kukosa furaha na kumfanya yeye kuwa k**a Baba yake ambaye ni k**a aliwatelekeza, alimpigia mkewe magoti kumuomba msamaha, mkewe alimsamehe. Hamisi akaahidi kumpenda Mama yake pamoja na Mkewe.

nauza laptop aina zote tupo ilala machinga complex bei kuanzia 250,000 mkoani tunatuma kwa usalama na uaminifu mkubwa 0685916070

26/09/2025

Balaaa

Kundi la watu lilikwenda mahala wakakuta mawe yamezagaa. Ghafla wakasikia sauti ikisema:"Atakaeokota atajuta na asiyeoko...
24/09/2025

Kundi la watu lilikwenda mahala wakakuta mawe yamezagaa. Ghafla wakasikia sauti ikisema:
"Atakaeokota atajuta na asiyeokota atajuta,"
baadhi yao wakaokota na wengine hawakuokota. Wakarudi nyumbani. Asubuhi yale mawe yakageuka kuwa Dhahabu, waliookota wakajuta kwa nini wameokota machache, wasio okota wakajuta kwa nini hawakuokota. Hivyo ndivyo itakavyokuwa siku ya mwisho; "wapo watakaojuta kwa nini walitenda mema machache, na wapo watakaojuta kwa nini hawakutenda mema kabisa!!!". Nafasi ya kuokota ipo hapa duniani kabla Roho haijaachana na mwili. Warushie watu, angalau 10 unaowapenda kati yao k**a nami nipo NIRUDISHIE.

nauza laptop aina zote tupo ilala machinga complex bei kuanzia 250,000 mkoani tunatuma kwa usalama na uaminifu mkubwa 0685916070

ADUI YAKO ATAKUINUA!! (k**a huamini soma stori hii)Mmarekani mmoja aliingia kwenye restaurant huko London, ile kuingia t...
24/09/2025

ADUI YAKO ATAKUINUA!! (k**a huamini soma stori hii)

Mmarekani mmoja aliingia kwenye restaurant huko London, ile kuingia tu aligundua kulikuwa na kijana mmjo wa ki-Africa mwenye umri wa k**a miaka 28 akiwa amekaa kwenye kona

Yule mmarekani alikwenda mpaka kaunta akatoa kitita cha pesa na kumrushia muhudumu kisha kwa sauti kubwa akasema "muhudumu! namnunulia chakura kila mmoja aliemo humu ndani isipokuwa yule mwafrica pale konani",

Muhudumu alikusanya pesa na kuanza kugawa chakula cha bure kwa kila mtu aliyekuwemo ndani ya restaurant hiyo isipokuwa yule kijana wa kiafrica,

Yule kijana hakukasilika badala yake alimtazama yule mmarekani kisha kwa sauti kubwa akasema "ASANTE SANA"

Yule mmarekani bila kujali kwa mara nyingine tena alivuta kitita cha pesa na kumtupia muhudumu kisha akapayuka "sasahivi nitamnunulia chupa ya wine na nyongeza ya chakula kila mtu aliyemo humu ndani isipokuwa yule mpuuzi aliyekaa pale kwenye kona.

Muhudumu kwa mara nyingine alikusanya ile pesa na kuanza kugawa chakula cha bure na wine kwa kila mtu aliyekuwemo mle ndani isipokuwa yule mwafrica,

Baada ya muhudumu kukamilisha kuwahudumia kwa chakula na vinywaji yule kijana wa kiafrica alimtazama mmarekani kisha akatabasam na kusema kwa mara nyingine "ASANTE SANA"

Hii ilimshangaza yule mmarekani na kuamua kumuuliza muhudumu "hivi yule kijana ana matatizo gani mbona nimenunua chakula na vinywaji kwa kila mtu aliyemo humu ndani isipokuwa yeye lakin hajachukia badala yake amekaa pale anatabasamu na kunishukuru eti "Asante sana!! Au ni chizi?

Muhudumu alitabasamu kisha akasema "hapana siyo chizi, bali yeye ndiye mmiliki wa hii restaurant hivyo anakushukuru kwa kuwa ww ni mteja mzuri"

Kwa uweza wa Mungu maadui zako bila wao wenyewe kujua wakaone k**a wanakuangamiza na wakakufanyie mambo mengi ya kukunufaisha na kukuinua ktk maisha yako.
K**a unaamini sema AMEN.

nauza laptop aina zote tupo ilala machinga complex bei kuanzia 250,000 mkoani tunatuma kwa usalama na uaminifu mkubwa 0685916070

Utasikia mtu anasema....Mapenzi ya siku hizi uongo mtupuuu....😂Nikuulize mdada na wewe mkaka nipe experience yako ya mia...
24/09/2025

Utasikia mtu anasema....

Mapenzi ya siku hizi uongo mtupuuu....😂

Nikuulize mdada na wewe mkaka nipe experience yako ya miaka ya nyuma ambayo hukuwepo na ndipo uje utupe ushuhuda wa mapenzi ya leo....

Hakuna mapenzi ya uongo hapo anza kuchukua ili ulielewe kabisaa ila kuna watu mnaoanzisha nao mahusiano sio watu mliopangiwa kuwa nao kwenye mahusiano..

Zamani wazee wetu walikuwa wanaolewa kwa maelekezo ya wazazi wao no matter umempenda au la lazima aolewe na walikuwa wanaishi kwa uvilimilivu mkubwa....ila now days uvumilivu sifuri hamtaki kusali na kumuomba Mungu awape watu wa furaha zenu tofauti na zamani hata dini hazikuwepo sana....ila ninyi mnaoijua dini ila hofu ya Mungu sifuli wacha muumizwe mpaka mkae kwenye mstari...

Mapenzi ya kweli yapo ila yakupasa ujue kuwa k**a ulizaliwa hapa duniani mratibu mkuu wa maisha yako ni Mungu mshirikishe kila hitaji lako utashinda ndugu kinyume cha hapo utatumikaaa wee mpaka useme yes..kuja kustukia umekuwa screpa nani akubebe tena...wakati wa kuamua ni sasa kwenda na Mungu au kwenda kwa mfumo wa hisia zako...

Kazi kwako...

nauza laptop aina zote tupo ilala machinga complex bei kuanzia 250,000 mkoani tunatuma kwa usalama na uaminifu mkubwa 0685916070

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jeff Achour posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share