12/07/2026
KITU HIKI HUWAFANYA WATU WENGI KUKWAMA.
Sikuwahi kufikiria kwamba ndani ya muda mfupi baada ya kujiunga na biashara ya network marketing, ningesimama mbele ya watu na kupokea award.
Hii award siyo tu ishara ya mafanikio, bali ni ushahidi kwamba kila mtu anaweza kubadilisha maisha yake akiamua kuanza.
Sikuanza nikiwa najua kila kitu, nilianza nikiwa na hofu, maswali mengi, na changamoto k**a watu wengine wengi.
Nilichofanya ni kuchukua hatua na kujifunza kila siku.
K**a wewe ni mwanafunzi, usisubiri umalize masomo ndiyo uanze kutengeneza maisha unayotamani. K**a wewe ni muajiriwa, usisubiri mshahara pekee ukutosheleze ndoto zako.
Na k**a unaogopa kuanza biashara ya network marketing kwa sababu ya maoni ya watu, kumbuka kwamba hofu ndiyo inayowazuia wengi kufikia mafanikio yao.
Kila mtu aliyefanikiwa aliwahi kuwa mwanzilishi. Tofauti ni kwamba waliamua kuanza kabla ya kujisikia tayari kabisa.
Mafanikio hayaji kwa kusubiri muda sahihi, yanakuja kwa wale wanaochukua hatua.
Leo hii award niliyoipokea inanipa nguvu ya kuendelea, lakini pia iwe ushahidi kwako kwamba inawezekana.
Usiruhusu hofu ikuzuie kuandika historia yako. Anza na ulicho nacho, jifunze, kuwa na nidhamu, na usikate tamaa. Huenda mwaka unaokuja ni wewe utakuwa unasimama kupokea award yako huku ukiwa unawahamasisha wengine.
Maamuzi unayofanya leo yanaweza kubadilisha maisha yako ya kesho.
K**a unahitaji kujifunza andika neno "Nipo tayari"
call/whatsap
+255748790371
Ni mimi MR. JOVVANY