07/07/2026
Jana nilipata heshima ya kualikwa k**a mwezeshaji kutoa elimu kuhusu Usajili wa Biashara, Usajili wa Kampuni, TIN, Kodi za TRA, na Leseni za Biashara katika mafunzo yaliyoandaliwa na HerInitiative chini ya mradi wa Going Beyond kwa ushirikiano wa Mastercard Foundation, na DoT. Iringa - Tanzania (Mkwawa).
Nina washukuru waandaji kwa kuniamini kushiriki katika kuwawezesha wajasiriamali na wananchi kuelewa umuhimu wa kurasimisha biashara zao na kuzingatia sheria za biashara na kodi.
Je, unataka kuanzisha biashara yako kwa njia sahihi na kisheria? Mokily Consultancy tupo kwa ajili yako.
0693131141 / 0618101141