Dr. Isack Chalo Mshauri Ndoa, Mahusiano & Maisha

Dr. Isack Chalo Mshauri Ndoa, Mahusiano & Maisha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr. Isack Chalo Mshauri Ndoa, Mahusiano & Maisha, Consulting Agency, Tabata, Dar es Salaam.

Mshauri wa Maisha na Mahusiano
Ndoa | Afya | Sheria | Uchumi | Biashara
Kukusaidia kufanya maamuzi sahihi ya maisha Elimu, Ushauri na Mwelekeo sahihi Karibu ujifunze zaidi hapa

07/04/2026
Ni tarehe 21 JUNETunakutana k**a wwanaume kuoeana Madini kwa ajili ya kukuza na kukomboa mahusiano katika ndoa na Famili...
05/04/2026

Ni tarehe 21 JUNE
Tunakutana k**a wwanaume kuoeana Madini kwa ajili ya kukuza na kukomboa mahusiano katika ndoa na Familia zetu.
Jiandikishe sasa Mapema.

03/04/2026

MADA YA NITAKAYOZUNGUMZIA KESHOGubu ni Sumu katika Ndoa.Gubu ni kimya kinachoua mahusiano polepole… si kwa kelele, bali ...
21/03/2026

MADA YA NITAKAYOZUNGUMZIA KESHO

Gubu ni Sumu katika Ndoa.

Gubu ni kimya kinachoua mahusiano polepole… si kwa kelele, bali kwa moyo kubeba mambo yasiyosemwa.

Ndani ya ndoa, ukinyamaza sana kuliko kuzungumza, unajenga umbali bila hata kujua. Maumivu yanakusanyika, upendo unapoa, na siku moja mnajikuta mpo pamoja lakini mioyo iko mbali.

Kesho nitazungumza kwa kina kuhusu “Gubu ni sumu katika ndoa” — kwanini linatokea, madhara yake, na namna ya kulishinda kabla halijaharibu kila kitu.

K**a uko kwenye ndoa au mahusiano, hii ni mazungumzo ambayo hutaki kukosa.

Tuambie kwenye comments, unadhani gubu linaanzia wapi?


Mimi na Familia yangu tunawatakia Waislamu wote na watanzania  wote heri ya Sikukuu ya Eid El Fitr Mubarak.
20/03/2026

Mimi na Familia yangu tunawatakia Waislamu wote na watanzania wote heri ya Sikukuu ya Eid El Fitr Mubarak.

18/03/2026

Wanaume tuwe makini na kuhakikisha tunatenga muda wa kuwa karibu na watoto wetu.
Sikiliza zaidi

Wiki mpya ni nafasi mpya ya kujenga mahusiano bora.Biashara nyingi hukua si kwa sababu ya bidhaa tu, bali kwa sababu ya ...
16/03/2026

Wiki mpya ni nafasi mpya ya kujenga mahusiano bora.
Biashara nyingi hukua si kwa sababu ya bidhaa tu, bali kwa sababu ya watu wanaoaminiana, wanaoshirikiana, na wanaosaidiana kusonga mbele.

Anza wiki hii kwa kuwasiliana vizuri, kusikiliza zaidi, na kujenga uhusiano wa kweli na wateja, washirika na timu yako. Mahusiano mazuri huleta fursa mpya, ushirikiano imara, na hatimaye ukuaji wa kiuchumi.

Kila salamu, kila mazungumzo, na kila ushirikiano unaweza kuwa mwanzo wa mafanikio makubwa.
Nikutakie wiki njema yenye mahusiano mazuri na mafanikio ya kiuchumi. 💼✨

14/03/2026

Kuepuka Changamoto nyingi na kuhakikisha familia inakuwa yenye Furaha na amani ikihusisha uwazi na ukweli kati ya Wazazi na watoto wao.

13/03/2026

Mnaweza kuwa ndugu ila msiwe marafiki...
Sikiliza hapa...

Address

Tabata
Dar Es Salaam
23000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dr. Isack Chalo Mshauri Ndoa, Mahusiano & Maisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share