Daktari wa Biashara

Daktari wa Biashara Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Daktari wa Biashara, Business consultant, Dar es Salaam.

Daktari wa Biashara
"📊 Mtaalamu wa Stock & Mauzo
📦 Tunafundisha kudhibiti stock na kupunguza hasara💰 Jua faida halisi ya biashara yako📚 Elimu rahisi ya biashara kwa Kiswahili"

20/07/2026

Dead stock Ni Bidhaa Ambazo Zimekwama Stoo Kwa SABABU Hazina uhitaji mkubwa Sokoni ,

Bidhaa Hizo hufunga Mtaji Hutumia Nafasi ya Stoo/Dukani na Hupunguza Mtililiko wa Fedha ( Cash flow ) wa Biashara

Ili kupunguza hasara, Biashara Nyingi Hutumia Promotion/punguzo La Bei (Discount)au Mauzo ya Mwisho wa Msimu ili kuuza Bidhaa Hizo

Na kutoka Nafasi kwa Bidhaa Mpya zinazohitajika Zaidi,,



18/07/2026

Ukaguzi wa stock hukusaidia Kugundua Bidhaa zilizopotea

makosa ya rekodi na hasara zinazojificha kabla hazijaharibu Faida yako
Kagua stock yako mara kwa Mara ,Linda Mtaji ,Ongeza Faida,




17/07/2026

Mfanyabiashara unapopokea au unapouza Bidhaa Hakikisha unaingiza Bidhaa kweny Daftari au Mfumo wa Stock ili usiweze kujichanganya na kupata Hasara



16/07/2026

Mfanyabiashara unapopokea Bidhaa ulizoagiza kutoka kwa Supplier wako kwanza hakikisha K**a zimalingana na order yako,

Pili Hakikisha k**a Zina viwango ulivyoviitaji Hata k**a unamuamin san supplier make na yey Ni Binadam Anawez kukosea au kufanya Makusudi,,



15/07/2026

Mfanyabiashara inabidi uwe unatunza Taarifa sahihi za kiasi Gani Cha Bidhaa ulichonacho Dukani Store au

Ambacho Kipo Njiani kweny usafir sehem mbalimbali za maduka Yako "


15/07/2026

Mfanyabiashara inabidi ujue kutabiri Mahitaji ya Bidhaa ,jenutawezaje kutabiri

Uhitaji wa Bidhaa Fulani Sokoni kulingana na ufualiaji wa Bidhaa Zako utaweza kujua ni Kiasi Gani Cha Bidhaa kinachohitajika kwa siku Zijazo



10/07/2026

1: Stock ya ziada hii ni stock Ambayo inakulinda na Mabadiriko ya Ghafla ya uhitaji wa Bidhaa na usambazaji.
2:Vitu Vidog vidog vitakavyo kusaidia Biashara Yako iendelee kwa ufanisi zaidi Mfano k**a spare machine, vifaa vya usafi, vifaa vya usambazaji.
3: Malighafi ya kutosha Mfano k**a wew unatengeneza furniture uwe na Mbao na vitu vingine Ving.



08/07/2026

Moja ya Malengo ya usimamizi wa Bidhaa Ni kuhakikisha unatunza Taarifa sahihi za bidhaa yako na pesa za bidhaa na Matumizi,,

Kiasi ulichouza ulichotumia na Madeni ukiweza kufanikisha hili Basi Biashara yako itaendeshwa kwa ufanisi zaidi pia Faida itaongezeka pia utatoa Huduma Bora kwa wateja wako ""



07/07/2026

"Stock nyingi Zisizo uzika haraka Zinafunga Mtaji wa Biashara .usimamiz mzur wa Stock

unakusaidia kununua Bidhaa zinazohitajika kwa Kiasi sahihi na kufanya Pesa iendelee kuzunguka Badara ya kukaa kweny Rafu
Pesa Inazunguka haraka, hasara inapungua , Biashara inapata Nguvu ya kukua,

Zingatia usimamie stock yako K**a unavyosimamia pesa zako kwa sababu stock ni pesa iliyobadirishwa kuwa bidhaa
Kumbuka stock iliyolala ni Mtaji uliolala"



Address

Dar Es Salaam
11101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daktari wa Biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share