Wakawaka ya Ukweli

Wakawaka ya Ukweli Training & On farm Research on: Agro Tech.

Systems, Environmental Conservation & Climate change.building, renovations, Decorations,Manufacturing and supplier of different products.

Kwa mahitaji ya madirisha mazuri tunatumia vyuma Class B. Wasiliana nasi.Pia kwa majiko makubwa ya mfumo wa Gas na Fane,...
08/08/2021

Kwa mahitaji ya madirisha mazuri tunatumia vyuma Class B. Wasiliana nasi.
Pia kwa majiko makubwa ya mfumo wa Gas na Fane, pia majiko yamia ya kupikia chapati na mengine wasiliana nasi Sasa, Bei zetu ni za kishkaji!

Ni Vitanda imara vilivyoundwa na vyuma class B.Ukinunua hutajutia na mpaka kitukuu atakitumia. Wasiliana nasi Sasa kwa d...
08/08/2021

Ni Vitanda imara vilivyoundwa na vyuma class B.Ukinunua hutajutia na mpaka kitukuu atakitumia. Wasiliana nasi Sasa kwa dar unaletewa ulipo baada ya kujaza fomu ya makubaliano.

08/08/2021

Wapendwa washabik na wapenzi marafiki wa Page yetu, tumepata wawekezaji ambao watatumia page hii kutuletea bidhaa mbalimbali zakutengenezwa kwa mikono hapahapa nchini kwetu.ukipenda chochote tafadhali bonyeza tu hapo kwenye button iliyoandikwa WhatsApp.itakuleta moja kwa moja.karibuni

26/07/2021

Umiliki wa bidhaa hii,vyeti na page hii, taaluma ya uzalishaji na ufungashaji.VINAUZWA.Ikiwa una Nia yakufanya biashara unique. Usiyofanana na wengine njoo nikumilikishe kwa Bei ya ajabu kabisa. +255627306070.
Tunatoa ushauri nasaha na ubunifu kwa vijana wenye afya na walemavu.piga au WhatsApp namba hiyo.nikama nitakupa bure.

29/09/2017

Bado unapokea mawakala mikoani, Tafadhali chukua namba kwenye BO utupigie

20/06/2017

Asanteee sana mawakala mlio jitokeza kuungana na kampuni yetu Bado tunawaomba muendee kuwasiliana nasi. Ipo bidhaa mpya iliyoboreshwa nyingi zaidi kwa gharama Ile Ile.
Karibu sana

21/02/2017

Tunatafuta mawakala mikoa yote tafadhali wasiliana nasi kwa Maelezo

12/02/2017
Jipatie yako. Inasaidia urahisi wa kuwasha na kukoleza moto
12/02/2017

Jipatie yako. Inasaidia urahisi wa kuwasha na kukoleza moto

Products at packaging place
20/11/2016

Products at packaging place

Address

Buza Kanisani In The Buza Market Store No:16 Bloc D
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 04:00
Tuesday 08:00 - 04:00
Wednesday 08:00 - 04:00
Thursday 08:00 - 04:00
Friday 08:00 - 04:00
Saturday 08:00 - 01:00

Telephone

+255627306070

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakawaka ya Ukweli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wakawaka ya Ukweli:

Share