09/07/2023
OFA YETU NI KWAMBA UKINUNUA KUANZIA MIFUKO 6(300KG) YA GURUFEED CONCENTRATE,USAFIRI NI BURE KWA DAR ES SALAAM. KWA MKOANI TUNACHANGIA USAFIRI NUSU.
Ukinunua mifuko 3 ya GuruFeed Concentrate, usafiri tutachangia nusu kwa walioko Dar es Salaam na Kwa Mikoani tunakuchangia robo ya gharama.
Bei za vyakula ni k**a ifuatavyo:-
10Kg Starter ni 13,000/=
10Kg Grower na Layers ni 12,000/=
25Kg Starter ni 32,500/=
25Kg Grower na Layers ni 29,000/=.
50Kg Starter ni 65,000/=
50Kg Grower na Layers ni 58,000/=.
Pia kwa PARAZA bei ya leo ni 1,300/= kwa Kilo moja. Pumba gunia ni 23,000/=.
Chakula hiki unachanganya na pumba kwa uwiano wa 1:2.8 na palaza 0.2.
Hakikisha unapunguza gharama za vyakula ikiwezekana 50% ili umudu ushindani.
Malipo ya Mzigo yanafanyika kupitia Akaunti ya Benki 0150413681800 jina Guru Planet Limited au Lipa namba ya Tigo 7637358 jina Guru Planet Limited.
Kwa mawasiliano au kuweka oda piga simu 0657577309/0758061582
Tembelea www.guruplanet.co.tz kwa taarifa zaidi.
Among our services we deliver to esteemed clients includes;-
Business Consultancy in Poultry farming