13/01/2026
Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, yanafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kupigwa.
AzamFC dhidi ya Yanga SC katika dimba la Gombani Pemba.
Mechi hii itachezwakuanzia saa 10:30 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Ni Matajiri wa Chamazi ama Wananchi nani kubeba Kombe hili?