20/04/2026
OMEGA3SALMONOIL
ni mafuta ya samaki yaliyotoka kwenye samaki aina ya salmon.
💧 NI samaki aliye maarufu sana na ghali kwa kumpata.
💧 Imetengenezwa na aina 8 za mafuta ya samaki aina ya omega 3 kwa ajili ya kusaidia afya ya moyo.
Tambua samaki uyu hapatikani kilahisi k**a feli anakaa katika kina kirefu cha bahari ya maji baridi ( deep cold oceans) ndo maana uwezi mpata kwa Tanzania. Hivyo kumpata mpaka hotel kubwa k**a hyatt regency.
FAIDA ZA OMEGA3SALMON OIL.
1. Afya ya Moyo: Inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kuboresha afya ya mishipa ya damu na kupunguza viwango vya mafuta ya damu (triglycerides). Kudhibiti shinikizo la damu na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na kiharusi.
2. Kumsaidia Mtu kuwa na Kinga Imara: inaweza kuimarisha mfumo wa kinga, kusaidia mwili kupinga maambukizi na magonjwa.
3. Afya ya Ubongo: inasaidia kuboresha afya ya ubongo,kumbukumbu na zinaweza kupunguza hatari ya matatizo k**a vile ugonjwa wa Alzheimer’s na kupunguza dalili za unyogovu na hali zingine za afya ya akili.
4. Kudhibiti Mwitikio wa Mwili: inaweza kusaidia kudhibiti mwitikio wa mwili, hivyo kupunguza dalili za hali k**a vile arthritis.
5. Afya ya Ngozi: inasaidia kuboresha afya ya ngozi kwa kuongeza unyevu na kupunguza dalili za ngozi kavu au uchochezi.
6. Afya ya macho: inasaidia kudumisha afya ya macho na inaweza kupunguza hatari ya matatizo ya macho yanayo hisiana na umri k**a vile macular degeneration na kavu ya macho.
*NANI ANATUMIA OMEGA 3 SALMON OIL ?*
💧 Mtumiaji namba moja ni mimi na wewe kwa sababu inaboresha mishipa ya damu na kusaidia afya ya moyo, na mifupa pia ukitumia inakusaidia kuepukana na magonjwa ya ya kurithi k**a mzio, asthma( pumu). N. K
💧 Watu wenye changamoto ya pumu anaweza kutumia bidhaa hii na herbal respiratory iih ni kwa wote mtu mzima na mtoto na ikamsaidia ila unampa na bidhaa zingine za pumu.
💧 Mazuri sana kwa mama wajawazito. Kwani yaenda kumsaidia mtoto kuwa imara kiafya ya akili