28/11/2021
[11/28, 10:48] 🧏 Online🤷♂️ typing....: Zaburi 1:1
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.(Bibili Takatifu)
[11/28, 10:55] 🧏 Online🤷♂️ typing....: Luka 10:23-24
23 Akawageukia wanafunzi wake, akasema nao kwa faragha, Heri macho yaonayo mnayoyaona ninyi. 24 Kwa kuwa nawaambia ya kwamba manabii wengi na wafalme walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi wasiyaone; na kuyasikia mnayoyasikia ninyi wasiyasikie. (Bibili Takatifu)