Welcome to Bible learning

Welcome to Bible learning Shinyanga

16/04/2022

Neema ya Mungu ipo pamoja nasi

04/08/2021
03/08/2021

Mwanzo 4;2:14 habari ya asubuhi ndugu zangu bwana wetu yesu asifiwe Leo tutaenda kubakikiwa na neno la Mungu katika kitabu Cha mwanzo 4:2:14 sio kila sadaka yaweza kumpendeza Mwenyezi Mungu lakini pia ukiendelea kusoma inaonyesha namna gani Chuki katika familia moja ndugu unaweza kujitokeza lakini Ndugu Amin Mungu ndiye rafiki wa kweli

01/05/2021
13/04/2021

Neno la bwana lilimjia noha na kueleza noha kwenda Ninawi lakini sikio la Noha halikuwa sikivu na kuakataa mpango wa Mungu je unajua kitu gani kilimkuta Noha

20/03/2021

Ebu tazama namna gani moyo umebeba mambo ya dunia wakati leo bwana yesu yuko hapa Mwenzenu najivunia kumpata yesu moyoni mwangu lakin wapo wenye furaha kupata kazi lakini hawana furaha ndani ya kazi zao ,wapo waliowapata wachumba mioyoni mwao hawana furaha je ushajiuliza ndani ya moyo wako umebeba nin? Ebu soma kumbukumbu la torati 23:24:36

07/03/2021

Tumaini katka bwana tena nasema tumaini binadamu wamekua chui,simba Muombe Mungu atakuwezesha

07/10/2020

Hesabu 13;25;33 kusudi la Mungu kwa mwanadamu

Send a message to learn more

Address

DanielDickson@gmaii
Dodoma

Telephone

+255657258968

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Welcome to Bible learning posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share