Uamuzi ni silaha ya mafanikio

Uamuzi ni silaha ya mafanikio Pata maarifa yatakayo kukuza kiroho na kichumi. Chukua maamuzi Sasa Ili ushinde hali ngumu zinazo kusonga katika maisha yako na uvuke kutoka sehemu A kwenda B

A spiritual, financial and social consultation firm

24/02/2026

Ikiwa lolote limeamuriwa likuangamize
Nawe tumia amri lisiweze kukuangamiza
follow page hii πŸ€βœοΈπŸ™πŸ‡§πŸ‡©πŸ‡¦πŸ‡©πŸ‡§πŸ‡³πŸ˜ŠπŸ‡¨πŸ‡¦πŸŽŒπŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡ΊπŸ‡ΎπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

18/02/2026

Maisha tunayoishi yawe ya mateso au furaha usisahau tuliyakukuta yakiendelea na sisi tukajiunga humo humo tukawa tunaishi maisha πŸ€”πŸ«€ ya mifumo yao pasipo kujua hiyo mifumo sio yetu Bali ya hao waliotangulia kuanzisha mifumo ya maisha πŸ€”tuamue na sisi kuunda mfumo Mpya wa maisha yasiyo ya mateso Bali furaha, like follow, twawapenda

10/02/2026

Ujasiri ndio msingi
Wa kujenga tabia ya kufanikisha
Mipango yakoπŸ‡§πŸ‡©πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡ΊπŸ‡ΎπŸ‡ΊπŸ‡²πŸŽŒπŸ‡§πŸ‡³πŸ‡¦πŸ‡©βœοΈπŸ™ , follow page hii, like, share, toa maoni asanteni sana

05/02/2026

Wamekuambia hakitadumu,
Usisikilize focus maana kimeamuriwa
Ukifanye kwa ajili ya maisha yakoπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡©πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ™βœοΈπŸ€πŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡©πŸ‡§πŸ‡³πŸ‡ΊπŸ‡ΎπŸŽŒ
follow page hii 🀝 shere ✍️ like πŸ™ toa maoni asanteni sana we love all majority πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¨πŸ‡¦

03/02/2026

K**a Leo hawakusomi kesho
Watakusoma usihofu, ni suala la
Muda tuuπŸ™βœοΈπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡©πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡² tunawapenda mashabiki wetu follow page hii 🀝 shere✍️like πŸ™toa maoni πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

02/02/2026

Juhudi yenye maarifa πŸ™inaleta
Ukuaji wa kile ukifanyachoβœοΈπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡¨πŸ‡¦ follow page hii like toa maoni asanteni kwa kuwa pamoja nasi

29/01/2026

Ushauri wangu usimkimbie
Bali , msaidie aache kicho kimtesachoπŸ™
Usimkatie tamaa πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸŽŒπŸ‡ΊπŸ‡ΎπŸ‡§πŸ‡³πŸ‡¦πŸ‡©πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡§πŸ‡©πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‘« πŸ«€ sisi ni washauri like, share comment follow page hii 🀝 tunawapenda sana wadau wetu tuonapo like share comment follow tunafurahi mno ...

28/01/2026

Jua chanzo ,ndipo utatue
Tatizo πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡©πŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡ΊπŸ‡ΎπŸŽŒπŸ‡ͺπŸ‡Ί
karibieni kwenye page hii
Inayojihusisha na mambo ya ushauri mbalimbali, like share comment follow I love you all people

27/01/2026

Akili ni ngao ya kukusaidia
Usiwaonee watu katika utawala wakoπŸ‡¦πŸ‡©πŸ‡§πŸ‡³πŸ‡ΊπŸ‡²πŸ‡¨πŸ‡¦πŸŽŒπŸ‡ΊπŸ‡ΎπŸ‡§πŸ‡©βœοΈπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ‡ͺπŸ‡Ί share ,like comment follow page hii 🀝 endelea kutufuatilia tunawapenda...

26/01/2026

Ikaribishe nguvu ya
Upendo , ifukuze nguvu ya
Chuki, Like ,comment follow page hii πŸ™πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡§πŸ‡©πŸ‡ΊπŸ‡ΎπŸ‡ͺπŸ‡ΊπŸŽŒπŸ‡¨πŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡²

23/01/2026

Siri ya maamuzi sahihi ni kuusikiliza u
Ulimwengu wako wa Roho πŸ™ nini kifanyike
Katika ulimwengu wa mwili.

Address

Dodoma

Telephone

+255620186474

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uamuzi ni silaha ya mafanikio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Uamuzi ni silaha ya mafanikio:

Share